Uchawi wa Biashara ni Wateja, tumia gharama zozote kulinda "ulio nao"

Hongera sana. Siyo washikaji wanaongea eti motivational speaker. Upuuzi mtupu. Haya ndio madini. Huwa unajitoa sana kushauri mwamba. Mwenyezi Mungu Akupe haja ya moyo wako. Muungwana sana chief. Ahsante
 
Uswahili kama chuma ulete na kumwagiwa madawa ya ajabu mlangoni. Hakika nakuambia pamoja na somo lako zuri, kila aliyefanikiwa ana Siri yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa wengine tuna kila kitu yaani wateja na bidhaa lakini likifika suala la kubadilishana bidhaa na hela hapo mazingaombwe yanatokea...mpaka sasa nina mwaka na nusu tangu nianze biashara yangu mpya sijatia hata senti tano mkononi....huu ni ukweli wa kutia uchungu sana.....Yaani ulozi ninaushuhudia kwa macho yangu......nimeshazunguka kwa manabii, waganga wengi nk mpaka sasa bado wamechemsha
 
Unafanya biashara gani mkuu?
 
Controla wewe ni superr
 
Hakika huu uzi ni uzi bora wa biashara .
Hongera mtoa sana controla.
 
ASANTE SANA. Mimi nataka kufungua stationery naombeni mnishauri nitafute fremu iliyo karibu na bara bara au ndani kidogo? Kwasababu stationery nyingine ziko scatted (mbali mbali) ila zinafika 6
 
Na pia watu wananiambia ukitaka kufungua biashara usikae kizembe zembe tu uwe unajua VITU VITU LIKE KUIROGA BIASHARA YAKO ASA HAPA NAKUA SIELEWI WHAT DOES IT MEAN??
 
umenifungua akili ingine ya ziada hongera kwa somo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…