Uchawi wa kimapenzi mkali kabisa yaani ni balaa

Tangazo eeh
 
baada ya muda you need to renew ama ukubali mapenzi yaishe... its a love temporary solution - sasa kwa nini ujiingize kwenye shimo la matatizo mamna hii.
 
Ukimuona aliyelishwa limbwata utamuonea huruma. Hata kama ni tajiri au mkubwa ofisini, nyumbani ni "ndio" kwa kwenda mbele, hajui kusema hapana.
ukiona uchawi umempata m2,ujue huyo nae huwa ni mshirikina wa kiwango cha chini,kwani kama unamtegemea MUNGU asilimia mia moja,hakika uchawi hauwezi kukupata,na utashaa kuna baadhi ya wa2 wanaokuroga bila wewe kujua wakianza kukuita wewe ni mchawi,why kwa sababu wanashangaa jitihada zao za kukuloga zinagonga mwamba,tatizo le2 2nachanganya mambo,huku unaenda kwenye nyumba za ibada huku unaenda kwa mganga,kwa styl hiyo ukikutana na mwenye nguvu kushinda wewe umeisha kwa YESU KRISTO alisema,"ukiwa na IMANI hata kama ndogo kama mbegu haradani utahamisha milima"na akasisitiza kingine kuhusu kumix IMANI aka-say"ni bora kuwa MOTO au BARIDI kuliko kuwa VUGUVUGU"
 
Kuna uchawi unaopatikana Tanga tu.
Zongo na USINGA. Hii nayo wanafanyaje?
 
Wanasema mchawi wa mapenzi ni wewe mwenyewe. Jinsi unavyo m treat mwenzako, maneno matendo. Extra mile unayokwenda kumfanyia mambo mbali mbali. Unavyomjali, unavyombembeleza nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…