Uchawi wa Kizungu huooooooooooooo

There are no black dots, that's just an optical illusion
 
yapo lakini yanabadilishana na meupe ambayo ni orijinol

Hakuna vidoti vyeusi kabisa, kinacho tokea ni kwamba
ukisogeza macho yako rangi nyeusi ambayo ipo kwenye
miraba (ambayo ni dominant color) inaingilia (overlapping)
hivyo viduara vyeupe.
 
Haya watalaam wa fizikai na mialai na miakisi tuambieni katumia janja gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…