Uchawi wa macho ukoje na nini tiba yake?

Noma sana na Kuna Ile kama unakula ugenini unabebanisha mguu mmoja hivi unakula mpaka unamaliza unaenda zako na Kuna kutanguliza Jina la Yesu Yesu Huwa ashindwi na chochote
 
Jamaa alikazia macho mkungu wa ndizi ukakatika kama mtu aliyekata kwa panga. Macho yaliyoangusha mkungu wa ndizi binadamu vipi? Uchawi upo!
 
Ni kweli tahadhari ni muhimu, sasa utatambuaje ikitokea bahati mbaya kichanga wako kalogwa, dalili ni zipi?
 
Jamaa alikazia macho mkungu wa ndizi ukakatika kama mtu aliyekata kwa panga. Macho yaliyoangusha mkungu wa ndizi binadamu vipi? Uchawi upo!
Uchawi balaa, hiyo rekodi iliandikwa pande za wapi?
 
Noma sana na Kuna Ile kama unakula ugenini unabebanisha mguu mmoja hivi unakula mpaka unamaliza unaenda zako na Kuna kutanguliza Jina la Yesu Yesu Huwa ashindwi na chochote
Ahsante kwa kutuongezea maarifa mengine ya namna ya kuepa mabalaa.
 
Papaaa mukuubwaaa Nina ndugu yefu ni Kama amerogwa au kufungwa akili, nakuja pm ili tukajaribu hukoo

Kama ni tabibu mzuri na ndugu atapona maana kafikia hali mbaya, Basi nitakupa zawadi nzuri ndugu yangu.🙏🙏
 
Dalili za mtoto aliyelogwa: kulia bila sababu, kukonda, mapele kama sutra, madonda ya ajabu nk. Hakika haponi kwa dawa za kawaida, kalumanzila anaweza kumchanga na kutoa uchafu wa ajabu mf. Kucha, nywele, vikonokono vidogo nk. Na mtoto anapona. Ukihangaika nae hosipitali ujiandae na mazishi yake. Hayo mambo nimeyaona na kushuhudia.
 
Namna gani mtu avunje uchawi unaomsumbua maishani? Nitafurahi nikipata jibu lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…