Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

DOGofGOD

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,341
Reaction score
480
Katika bara la Afrika.Nigeria ndio inayoongoza kwa uchawi na vitendo vya kishirikina.Wasanii wakubwa, wafanyabiashara, wacheza filamu, watumishi wa Mungu, wanasiasa, watu maarufu nchini Nigeria achilia mbali wananchi wa kawaida wengi wao ni waumini wa imani za kishetani na washirikina wakubwa.

Mafanikio ya ghafla ya Chibu na mlolongo wa tuzo.Zinatokana na kujihusisha katika imani hizi za Kinageria.Safari nyingi za Chibu za kwenda Nigeria na kurudi zinahusisha pia kupata nafasi ya kushiriki katika ibada zao na kwa ajili ya kutoa sadaka na kufanya matambiko.

Collabo nyingi za domo anazoforce kufanya na wanigeria ni katika muendelezo wake wa kua karibu na wanamuziki maarufu ambao nao ni waumini wa imani hizi za kichawi.

Inasemekana hata utajiri alionao mkewe mtarajiwa Zari(thebosslady) chimbuko lake ni uko uko.Siri ya pete ya dhahabu anayoivaa domo mkono wake wa kushoto ambayo wengi wanadhani ni pete ya uchumba.Lakini ukweli ni kua ni pete aliyoipata nchini Nigeria na inabeba siri kubwa ya mafanikio yake.
 
Kwani wewe khasa mafanikio yao au hasara zao wewe zinakukera nini? unajua kua mshirikina sio mpaka wende ukaroge
kuwaonea wenzio kijicho mafanikio yao pia ni ushirikina,sasa wewe nawe pia mshirikina,kwanza ulijuaje kama na wewe humonao,au zamu yako bado na umechoka kusubiri ndio mana unaanza kusema wenzio?
 
Nimegundua hata wewe mchawi pia, tena uchawi wako wala sio wa mbali ni wa hapa hapa...... Mchawi wa maendeleo wewe❗❗❗

Mimi Simuonei Wivu.Ila Namshauri Hasitegemee Kafara Hazitamfikisha Kokote.Afate Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaotumia Vipaji Vyao Kupata Mafanikio.
 
acheni kumwaga povu q chief na rich mavoko walishawahi kulalamika kwamba daimond anaworoga na juzi babu tale alisema cloudz anaamini uchawi na anashiriki so we ukiamini usiamini does not matter lakini suala la uchawi wasanii wenzako walishalalamika zaaamani kwamba anawaroga ney wa mitego na daimond wanajuana vizuri saanaa kwenye hayo mambo ndo maana ney yupo karibu nae saanaa
 
mwisho wa siku mpende msanii unayempenda ila mr nice anajua hasara za ushirikina na mziki
 
Waaii. ...!! Hivi na juhudi alizonazo hazionekani!!? Kwendeni zenu, eti uchawi!! Kawangeni na nyie muwe juu..
Dalili za kuelekea kunyooka hizoooo...

Ndomana Mnaua Vipaji.Mnashabikia Mpaka Mambo Yasiyofaa.Mkiitwa Mamburulaz Mnatoa Povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…