Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
ujima, ushamba na imani potofu dhidi ya mafunzo na mazoea ya kisasa football hauna maana yeyote 🐒Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imeipiga faini ya milioni 1 klabu ya Simba SC kwa kosa la mashabiki wake kumwaga vitu vyenye asili ya unga katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kabla ya wachezaji hawajaanza kufanya mazoezi siku moja kabla ya mchezo.
Tukio hilo limetafsiriwa kama vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina jambo ambalo ni kinyume na matakwa ya kanuni ya 47:1 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti wa klabu. #EastAfricaTV
Nakubaliana wewe Kwa hoja yako. Ushamba na uzamani unaziponza hizi timu.ujima, ushamba na imani potofu dhidi ya mafunzo na mazoea ya kisasa football hauna maana yeyote [emoji205]
Ni kujiabisha na kujidhalilisha tu...
R I P laigwanani comrade ENL
TFF Wana Shida mahali Fulani, Simba inafanya makosa ya aina hii karibu misimu yote na adhabu zinakua ndogo.
Ilitakiwa waje na adhabu ya kupunguza point Moja au goli Moja na faini.
Simba walishawahi kulitia Taifa aibu kwa vitendo vya namna hii.
Waulize Bodi ya LigiUnga na ushirikina vina uhusiano gani?
Lete wewe hizoMbona unaruka ruka habar vipi shomari kapewa adhabu ya nini?
Clement mzinze kapewa adhabu ya nini?
Punguzen ujinga
Mzize na kibwana shomari?TFF Wana Shida mahali Fulani, Simba inafanya makosa ya aina hii karibu misimu yote na adhabu zinakua ndogo.
Ilitakiwa waje na adhabu ya kupunguza point Moja au goli Moja na faini.
Simba walishawahi kulitia Taifa aibu kwa vitendo vya namna hii.
Bado wewe kurogwa akili ikukae sawaSimba wachawi sana