Uchawi waiponza Simba

Kutwa kutusakama kwa maneno yaliyotolewa na mchezaji ilhali wao wanaroga hadharani wamepigwa faini hadi na CAF!
 
Acha kupakà MATOPE SIMBA SC Vitendo vilivyofanywa na Majini FC vinahusisha wachezaji wao moja kwa moja sambamba na menejimenti nzima ni tofauti na Simba SC kwamba MASHABIKI wao ndio waliohusika kutokana na mihemuko ya kishabiki kitu ambacho uongozi ulirahani Kitendo hicho.Lakini MAJINI FC uchawi ni sehemu ya mipango ya Timu,ndio maana tunaona Mzee Mpili akisafiri na Timu kila iendako na kupewa makazi ya kuishi makao makuu ya Klabu pale KIDIMBWINI.
 
Ndugu mbumbumbu miaka yote Tff inaiadhibu Simba kwa ushirikina, basi kama Tff inawaonea CAF nao wame waadhibu kwa tabia iyo ya kichawi na kuliaibisha Taifa.
 
WACHAWI FC Banaaa
 
Kule South waliwasha moto mashabiki?MAKOLO BANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…