Uchawi watawala AFCON 2017

Uchawi watawala AFCON 2017

Ha ha ha daah ndumbaz,pamoja na kufanya yote wametolewa,funzo...ni kwamba ndumbaz haina msaada wowote kupata matokeo bora..
 
Kuna matatu:
1. Ni Glucose
2.Anawajengea hofu wapinzan
3.Ndumba yenyewe
 
Kumbe uchawi upo na unafanya kazi kwenye Soka!

.

Yatupasa na sisi wadau mbalimbali tuunganishe nguvu ili kuisaidia timu yetu pendwa inayoitwa Taifa Stars a.k.a ''Kichwa Cha Mwendawazimu''.

Nimependa apo "kichwa cha mwenda wazimu"" hahahahaha hahahahaha hahahahaha
Cpendagi ujinga
 
Hiyo ni chumvi anaondoa nuksi au dawa ya uchawi kama uliwekwa
 
Ghana hawatofautini saana na wale Wasanii wa Kahole Sanaa Group! Just For Laughs [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom