Sisi tunafanya ukatili Wa kuwa wenzetu albino hatushindi chochote!Cameroon are through to the Semi final.
Siku hizi wanakiita kichwa cha mwendokasi.Kumbe uchawi upo na unafanya kazi kwenye Soka!
.
Yatupasa na sisi wadau mbalimbali tuunganishe nguvu ili kuisaidia timu yetu pendwa inayoitwa Taifa Stars a.k.a ''Kichwa Cha Mwendawazimu''.