Uchebe kaolewa na Shilole?

Uchebe kaolewa na Shilole?

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Vijana wa Dar acheni tabia ya kuolewa na wanawake hii aibu ya mwaka

Huyu kijana akapimwe mkojo
9195730af2c46b05d95e4ffd4ec4366b.jpg

8655379c487ba477a4f0e4a65a41b133.jpg

Screenshot_20180101-122358.png
 
Duh!! huyo mama ndio huwa anaonekana kwenye kipindi cha BIKO akiwa na furushi la mguu sasa mbona hapo kwenye picha anaonekani ni bonge la mhenga? kumbe hizi TV zinatudanganya
 
Duh!! huyo mama ndio huwa anaonekana kwenye kipindi cha BIKO akiwa na furushi la mguu sasa mbona hapo kwenye picha anaonekani ni bonge la mhenga? kumbe hizi TV zinatudanganya
Sio yeye
 
Back
Top Bottom