OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sasa mtu halali siku mbili why unaishi nae? Si Bora muachane bila ugomvi?
Shadeeya nakusalimu!Duuh! Hivyo ni kweli aliwahi mchakaza vile lol.
Wanaume punguzeni vipigo aisee na pia yawapasa mjue kipigo si suluhisho la kutatua tatizo cha zaidi linaeza kuwa ndio mchochezi wa kuongeza matatizo na hata mifarakano isiyokwisha.
Na hicho ndo kwa upande wangu naona kimetokea kwa Shilole.
Duuh!! Hivyo ni kweli aliwahi mchakaza vile. lol.

is the process of shifting naniliu from one place to anotherShilole ni nini??
Uchebe akihojiwa na kituo kimoja cha radio anasema picha zilizopostiwa mtandaoni ni za mwaka jana na kwamba mwaka huu hajampiga Shilole kabisa.
Anasema madai ya Shilole kupigwa siku ya sabasaba si ya kweli, kwa sababu hiyo siku Shilole hakulala nyumbani.
Ili kuthibitisha hilo amesema atafutwe akaguliwe kama ana jeraha lolote la hivi karibuni. Anadai Shilole ni mzima kabisa wa afya na hana jeraha.
Uchebe anaeleza kuwa Shilole amekuwa na desturi ya kutokulala nyumbani hata siku mbili na akirudi hataki kuulizwa alikua wapi? Na hio ndio "source" ya ugomvi wao wa mara kwa mara.
Ni ShiloleShilole ni nini??
Tutaamini vipi? Mwenzie Shilole ana ushahidi na yeye mwenyewe Uchebe kakiri kumpiga. Bado niko palepale hakuna kosa linalohalalisha kipigo cha namna hiyo....kwanza mpaka mtu anafikia hatua ya kulala nje ni wazi hakuna ndoa hapoKhantwe siunaona sasa maujinga ya kusikiliza upande mmoja.