Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Siezi fanya hivyo aisee.

Pia niseme msihalalishe kosa 100% huenda ni katika kujitetea tu kwa huyo mwanaume.
Wapo wanaoweza sasa ndio maana pia wanakutana na vikatazi vishirikishi..😂
 
Ndio maana mwaka jana hakupost mkuu Hali ilikuwa mbaya [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wach nisiingilie ugomvi wa wana ndoa.
Ngoja niende zangu breakfast
 
Kumiliki biashara haimaanishi mtu sio Mario.
Ni sawa uone mdada anafanya kazi halafu ujiaminishe hadangi au hana sponsor.
Humjui tu ila ni mtu mwenye uwezo wa kumudu hata kutunza familia na kumbuka kabla ya shishi alikuwa na mke na watoto. Naangalia watu wanavyomwuongelea na ninavyomjua ni tofauti kabisa. Usilolijua na usiku wa kiza. Mie alikuwa fundi wangu namjua sana
 
Huyu tunaye muongelea hapa ni Uchebe ambaye yote uliyoyaandika hafanyi anafanyiwa kasoro kimoja tu ambacho hata wengine wana uwezo wa kukifanya na ndio maana analala nje hata siku mbili
 
Sasa hivyo vikatazi vishirikishi umeviona mwisho wake?
We mbona unatetea au na wewe ndo hao wakulala nje siku 2..?😅
Haya keshatiwa kisago dada wa watu kesi itapelekwa itakavyopelekwa lkn unafikiri status ya huyo shilole itakuwa nzuri pia..??

Hayo tuwaachie wenyewe.. ushaanza kunishinda sasa usipoangalia nawe ntakuanzishia kibano mi bwingwa wa kung'ata..😂😂
 
Hivyo kwa upande wako kipigo ndo suluhisho cha matatizo? lol

Wacheni kunyanyasa wanawake nyiee.

Akikukosea kama huna njia nyingine ya kupata suluhu ni bora umuache aende na si kipigo.
utaoa na kuacha mara ngapi
 
Kumiliki biashara haimaanishi mtu sio Mario.
Ni sawa uone mdada anafanya kazi halafu ujiaminishe hadangi au hana sponsor.

Uchebe wala sio marioo kwa kumuangalia tu. Sidhani hata kama sasa hivi akiulizwa ashawahi tumia nini cha Shilole zaidi ya labda kuishi kwenye nyumba yake (i am assuming) anaweza jibu.

Ila kwa kutegemea eti Shilole atampa heshima ya mume kwa jinsi alivyo. Alipohojiwa na Salama juzi kati Shilole alisema ole wake mtu amuibe mumewe maana “amemtengeneza” mwenyewe.

Hadi Salama akamuuliza unavyosema hivyo una maana gani? Unadhani mumeo hajisikii vibaya?

Jibu lake ni kuwa wananchi hatukumjua Uchebe kabla ya kuwa na yeye. Sasa tujiulize, Uchebe kwa kumuangalia tu, ni mwanaume wa kutaka umaarufu yule? Uchebe alibugi kwakweli, atafute saizi yake!

Shilole ajiangalie aidha machaguo yake ya wanaume au namna anaishi na waume zake. Huwezi pigwa tuuu kila relationship unayoingia!
Binafsi namshauri abaki tu single ale maisha, mahusiano katika muktadha wa kitanzania yamemshinda.
 
Humjui tu ila ni mtu mwenye uwezo wa kumudu hata kutunza familia na kumbuka kabla ya shishi alikuwa na mke na watoto. Naangalia watu wanavyomwuongelea na ninavyomjua ni tofauti kabisa. Usilolijua na usiku wa kiza. Mie alikuwa fundi wangu namjua sana
Sasa kama anajimudu kwa shilole kafuata nini kaacha watoto wabichi wabichi?
 

Ni kweli huwa analala nje kwakuwa wewe humfikishi, afanyeje sasa, madhara ya mi-chips yenu na vinguo vya kubana
 
Mkuu rudia kusoma alichoandika Insta
 
Mwanamke kupigwa ni lazima.

Haya mambo ya sijui mwansmke hapigwi yapo dar tu.. kwetu usukumani kipigo ni destury.. na wake zetu wanatupenda tu..

Ndugu wanaume.. tujitahidi kuwapiga hawa viumbe. Tena ikiwezekana ni muhimu kununua gunia mbili za mkaa kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…