Ucheleshwaji wa fedha za Industrial Practical Training (field)

Ucheleshwaji wa fedha za Industrial Practical Training (field)

Civil engineer 23

New Member
Joined
Mar 15, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Habari wana JF nimepokea malalamiko kutoka kwa mwanafunzi X wa diploma in engineering under government sponsorship.

Awali kama serikali ilivopendekeza kufutwa kwa Tuition fee kwa wanafunzi hao wa uhandisi ngazi ya stashada pia inafuatiwa na kupewa hela ya kujikimu wakati wakiwa mafunzo kwa vitendo yapata 6000/= kwa siku sasa ucheleshwaji wa izo hela ikiwa wiki ya 5 kati ya 10 za mafunzo.

Swali:
Je, hiyo haitohatarisha wanafunzi hawa kufanya field zao katika mazingira magumu na je mabinti wengi si ndo mwanzo wa kurubuniwa?

Naomba kuwasilisha wahusika waliangalie ili suala.

Cc: Student from Dar es salaam institute of technology (DIT)
 
Back
Top Bottom