IT hapo haina kasoro, ni hawa jamaa wanataka kuchakachua sasa wanachelewesha makusudi...Mbona kwenye majimbo wanayojua CCM wanashinda moja kwa moja huko kucheleweshwa hakupo??? Mmesikia sababu za Segerea eti wamechanganya makaratasi ya ku record data, sasa hiyo ni IT au ndio wanataka kuchakachua kijanja???