A
Anonymous
Guest
Mimi ni mdau niliyesoma Chuo Kikuu cha ZANZIBAR Tunguu Mkoa wa Kusini Zanzibar, nalalamikia kwamba katika kipindi hichi Wanafunzi tuliomaliza Mwaka 2024 - 2025 katika kozi tofauti chuoni hapo tunacheleweshewa kupewa vyeti vyetu pamoja na transcript ambazo zinatusaidia katika kutafuta ajira na tushaenda mara kadhaa kuzungumza na uongozi wa chuo kuhusu kutoa vyeti kwa haraka hatujapata majibu ya kueleweka na tunapitia katika kipindi kigumu kwasababu fursa nyingi zinatupita kwasababu ya kuchelewesha kwa utoaji vyeti chuoni hapo.