Ucheleweshwaji wa fedha za kujikimu wakati wa mafunzo ya Vitendo(Practical training)

Ucheleweshwaji wa fedha za kujikimu wakati wa mafunzo ya Vitendo(Practical training)

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
A

Anonymous

Guest
Shida nini Bodi ya mikopo?.

Wanufaika wa Samia Scholarship kwa wanafunzi endelevu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) hawajalipwa fedha zao za kujikimu wakiwa katika mafunzo ya vitendo (practical training) au Field ikiwa ni zaidi ya wiki nne sasa toka kuanza kwao kwa field. Hakuna sababu yeyote iliyotolewa kwa ucheleweshwaji wa fedha hizo na ni kwa baadhi ya Bank tu kwani wale wanaotumia Bank ya CRDB walikwishalipwa mapema sana.

Hali ya kiuchumi sio shwari kwao kwani hakuna chanzo kingine kina wa support kiuchumi baada ya Bodi kuwawekea Hiyo disbursement kwa mwaka 2023/2024 wa masomo

Screenshot_20240816-215729_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom