Jamani mi nahisi ishu ya kuchelewesha utangazaji wa matokeo kuna kitu behind it,hasa ikizingatiwa kuwa hilo linaonekana kujitokeza kwenye yale majimbo yenye utata mtupu.Hizo hesabu hata kama ni manual na calculation ni manual sidhani kama ingeweza kuchukua muda mrefu kiasi hicho.Hili linapingana na ahadi ya tume ya uchaguzi kwamba uchaguzi huu utatumia technology ya hali ya juu ya mawasiliano.Hiki ni kizungumkuti.