Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Hadi sasa hali ni ngumu tumezoea mishahara tar 23 na inapo tokea tar hiyo inaangukia weekend serikali huwa inatoa kabla ya hapo ili kuepuka kuutoa kwa tarehe za mbele.
kwa wenye uelewa na walioko jikoni je, ucheleweshwaji hutokana na watumishi waliopo wizara husika au makusanyo yanakuwa bado hayajafika kiwango kinachotakiwa kugawanywa.
kwa wenye uelewa na walioko jikoni je, ucheleweshwaji hutokana na watumishi waliopo wizara husika au makusanyo yanakuwa bado hayajafika kiwango kinachotakiwa kugawanywa.