Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
ZeroAkili ya mbongo huwa ni tope kweli. Unapewa mshahara kila tarehe 24 alafu unasema serikali inajitahidi kutoa mshahara mapema maana zamani walikuwa wanaweka kati ya tarehe 28 hadi 31. So what is the difference?
Tarehe 78 January 2021[emoji23]Hivi hii mishahara huwa wanagawaje? Yaani ni manuale anaingiziwa mmoja baada ya mwingine au ni mfumo tu unamwagwa kila mtu anapata chake kwa wakati mmoja?
Hali mbaya hapa hadi nafikiria ujinga.
Elewa andiko boss wangu,,,,ndo njia alochagua kama kipato chakoUsitegemee mshahara mkuu
Minaishauli serikali ipunguze mishara kwasababu watanzania tusipoonyesha uzalendo kwa taifa letu ni naniatakaye tusaidia ktk utekelezaji wamiradi mikubwa inayoendeshwa kwafedha zandanikikubwa ni nyongeza ya mshahara na Arrears