A
Anonymous
Guest
Tangu mahafali ya Chuo Kikuu Mzumbe (ndaki kuu) ifanyike tarehe 24/11/2024 mpaka leo tarehe 17/12/2024 chuo kimeshindwa kuwapatia wahitimu vyeti vyao na kila tunapofuatilia majibu yamekuwa yasiyoridhisha.
Ni jambo lisilo la kawaida kwa taasisi kubwa ya elimu kufanya ucheleweshaji huu wa kizembe ikiwa lengo la kupata elimu ni kuletea waliosoma ukombozi.
Wahitimu waliohitimu mwaka huu kwa uzembe huu wa chuo wanapishana na ajira ambazo walitakiwa waungane na wenzao kuzipambania.
Mfano, leo tarehe 17 ilikuwa ni deadline kuomba ajira za afisa ardhi daraja la pili ambapo mhitimu wa sheria angeweza kuapply, pia tarehe 20 mwezi huu ni mwisho kuomba kazi za ualimu zilizotangazwa na sekretarieti ya ajira ambapo mhitimu aliyefanya graduation mwaka huu angekuwa na sifa kama chuo kingetoa vyeti kwa wakazi.
CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI KUU ITOE VYETI MARA MOJA KWA MAANA NI JAMBO LA UZEMBE KUTOKUVITOA HADI SASA KWA MAANA VYUO VINGINE VYETI HUTOLEWA SIKU YA GRADUATION.