Uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu

Uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu

The Inspire55

Member
Joined
Oct 14, 2020
Posts
12
Reaction score
22
Katika uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi na kupata faida kidogo au hasara.

changamoto hii hutokana na uzembe wa mtalaam mwenye dhamana ya kuchenjua makinikia hayo yenye dhahabu kwani wengi huangalia maslai yao binafsi ilihali wanajua kilichomo kwenye lundo ni hasara na hivyo hupelekea kutoa makadilio ya faida na hasala kimakosa.

Tuepukane na kazi za mazoea kama tunataka faida katika biashara hii, Kwa huduma ya kupata mkemia, mtafiti, huduma za uuzaji wa kemikari na utengenezaji wa processing plants, na ushauli wa kitalaam kuhusiana na sekta hii tuwasiliane kwa namba zifuatazo
0769261057
0753021057
 
Mkuu nadhan kwanza ungejaza nyama Uzi wako Ili watu waje Kwa mfano tupe majibu haya

1. Gharama za kujenga processing plant ya tank 10 na ya tank 20

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nilivyo muelewa mleta mada hawezi akalijibu swali lako mujarabu, kwasababu yeye ni CHEMICALS SPECIALIST. Hili swali lako lilipaswa lijibiwe na PROCESSING PLANT SPECIALIST.
 
Back
Top Bottom