Uchepukaji siyo mzuri, ni mbaya sana

Uchepukaji siyo mzuri, ni mbaya sana

Chabrosy

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,150
Habari,

Niende kwenye mada nipo likizo kikazi na familia yangu hapa Pwani,Kibaha picha ya ndege karibuni Chrismass nachinja Ng'ombe ok tuachane na ayo sasa bwana wakati nipo Arusha hapo ninapo ishi nina jirani yangu anampangaji wa kike ambae ni mdada anafanya kazi benk umri wake ni miaka 26-30 kitu kama iko.

Sasa huyu dada tunakaa sehemu moja lkn sijawai kuwa na mazoea nae kabisa ila mazoea yalikuja baada ya mimi sim bank yangu kuzingua baada ya kubadilisha line ya simu sasa ndo nikaenda pale bank ndo nikamkuta akanihudumia vizuri sana tukanza mazoea ni mrefu ivi mweupe mstaarabu sana na mkimya mno.

Kiukweli mimi sio mtu wa wanawake sasa iyo siku tulibadilishana no za simu tukawa tuna wasiliana sana sasa mm muda mwingine sirudigi nyumbani nalala uko uko kazini hata siku mbili au tatu ila siku nyingine hata nne.

Sasa akawa ananiuliza unafanya kazi gani nikawa namwambia mimi ni kibarua uko migodini Melelani uko nafanya vibarua tuu sasa akawa anataka,akawa ananiuliza umeoa nikamwambia ukweli mm nimeoa na nina watoto saba alishangaaa sana akaniuliza nina miaka mingapi nikamwambia nina miaka 39 akasema miaka 39 alafu una watoto saba nikamwambia ndio ila kiuhalisia nina watoto 6 japo mke wangu nilimkuta na mtoto mmoja hivyo yule dogo nae namuhesabiaga ni wangu tu mana nimemlea mimi(kijana angu tumeshapatana now tuko poa na mama ake yale maswala yake tulisha yasolve as family na tumesameehana niliwai kuja na ishu ya wife kunizingua kusu mwanae)..

Sasa tukanza kudate na huyu dada akawa anataka aje kwangu hapa napo ishi Arusha sasa mm napo kaa baada ya wife kuwa na mgogoro nae niliamua kununua kikiwanja kidogo na nimejenga kijumba kidogo tuu kina vyumba viwili yani kisebure na chumba master basi kisela zaidi mana wife na mwanae walivyonikwa nilipanga nisirudi home tena niishi uku uku Chuga ndo nikamia hapa sio muda mrefu ninakama mwezi na nusu ivi eneo ukubwa kama 30 kwa 40 eneo kama mnavyofahamu Arusha kupata Eneo mtu akuzie ni ishu sana mm nilinunua kwa jamaa mmoja ivi alikuwa na shida sana nafamiana nae.

Kiukweli nilikuwa sitaki aje kwangu uyu bibi ambae ni banker mana kwanza nimemdanganya mimi ni kibarua melelani uko na wakati sio kweli mimi ni mtumishi wa umma,kingine kwangu nikisema nimlete tuu akatakuta nguo zangu za kazini akijua tuu mm nafanya kazi gani atanza nipiga mizinga ya kufa mtu na kutaka niganda wenda akataka hata kuzaa na mim sasa iko kitu sitaki iko naona kwa jamaa zangu mm uwa nikiwa na mahusiano na mwanamke namwambia mm ni choka mbaya kibarua sina ajira rasmi yani inshort mm ni hoe hae asiniombe pesa uwa nadanganya sana kama ni mmachinga muuza viatu au kibarua migodini uko basi bhana tuendelee sasa.

Kuna siku alikuja kwangu akaishia njee eti akiniambiaga basi ningie ndani kwako namwambiaga ukingia ndani tuu wife atapewa taarifa nimeleta mwanamke hapa na atakuja mana wife na familia iko moshi hapo sasa mm na ww tukitaka kudate twende lodge na sio humu ndani lakini uyu dada ataki nilimkatalia nikamwambia uwezi ingia ndani kwangu mm ni mume wa mtu heshimu iyo ww ni mpango wa kando tu tutadate gest au lodge basi.kiuhalisia hata mke wangu iki kiwanja akijui hata hapa nilipo jenga hapajui na ajui kama naishi hapa wife bado anajua naishi kulekule Tengeru kumbe nisha ama Tengeru kitambo sana.

Juzi nipo zangu ndani nacheki game ya Morocco usiku ule si akagonga mlango nikafungua nikamwambia utakiwi kwepo hapa wife atambiwa wambea wengi akasepa ilikuwa usiku kabla ya hapo akanza kusema oooh si ninaingia saiz usiku saa 4 alafu saa 10 alfajiri natoka nikamkatalia mana atajua mm nafanya kazi gani.

Sasa wadau nimekuja kwenu huyu binti uwa na date nae sana uko lodge now nipo likizo nyumbani na familia nimemwambia nipo na wife anapiga piga misimu mpaka kero mpaka sasa wife atanistukia nimemblock kila sehemu ila wapi aisee anatumia mi namba mingeni yani kuna mijanamke mingine sio mielewa inaboa.

Sijui nafanyaje mana nashindwa kuenjoy na wife kwa sababu ya misimu simu yake jitu nishaliambia nina mke nina watoto 7 lkn alielewi tuu kazi kupiga piga misimu tuu jamani...

Juzi ananiambia mbona umenidanganya ww kumbe kazi yako sio kibarua melelani nikamwambia mm kibarua melelani nalipwa kwa siku 8500 kazi yangu ni kuchenjua mchanga iyo ndo kazi yangu anasema uwongo unanidanganya nikamwambia kama uamini basi.

Wazee huyu bidada nimfanye nn ndomana uwa sipendi kuchepuka kiukweli uchepukaji sio mzuri yani sina raha likizo hii si enjoy na my wife kwa sababu ya misimu yake kila mda tena no ngeni aelewi....
 
Kaka maliza ulochokianzisha Acha lawama mwanetu
 
Leo either Messi Ashinde au kijana Mbape.
 
Weka code new number isiingie
 
Haha we soja gani umri huo una mwanamke mmoja na hujazoea kuwa na michepuko wakati masoja michepuko ndio mambo yenu hayo
 
🤣 😎 🤣😎Juzi ananiambia mbona umenidanganya ww kumbe kazi yako sio kibarua melelani nikamwambia mm kibarua melelani nalipwa kwa siku 8500 kazi yangu ni kuchenjua mchanga iyo ndo kazi yangu anasema uwongo unanidanganya nikamwambia kama uamini basi.

Wazee huyu bidada nimfanye nn ndomana uwa sipendi kuchepuka kiukweli uchepukaji sio mzuri yani sina raha likizo hii si enjoy na my wife kwa sababu ya misimu yake kila mda tena no ngeni aelewi....
Dah...wewe ni me au ke?
 
Lini utakuwa ili uanze kuwajibika juu ya maisha yako ?
 
Back
Top Bottom