Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Katika kuliekezea tatizo hilo, Mzee Mwinyi alitumia lugha rahisi iliyoeleweka kwa kila mtu: SUKARI IMEINGIA SUMUš¤£š¤£š¤£š¤£
"Sukari imeingia sumu, hasa pale tunapo ppp...papenda" alisema mzee Mwinyi
Enzi hizo ndo sukari iliingia sumu.
Watanzania nia wezangu sukari imeingia sumu. Kauli ya Mzee wetu Ally Hassan Mwinyi