Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Enzi hizo ndo sukari iliingia sumu.
Watanzania nia wezangu sukari imeingia sumu. Kauli ya Mzee wetu Ally Hassan Mwinyi
Na huku unalifikiria tatizo zito mbele yako.Unacheka?
Kichwa cha mwendawazimu.Timu yetu ya Taifa aliifananisha na nini?
🤣🤣🤣🤣Kichwa cha mwendawazimu.
Kwao ni Zanzibar au Mkuranga??Alishangaa sana kuona watu wa huku bara wanavyopora pesa nyingi za umma.
Akasema "kule kwetu Zanzibar ukisikia mtu keba (kaiba), ....keba ndala msikitini, keba mtandio harusini. Lkn huku bara ukisikia mtu keba, .....keba mabiliooooni ya fedha". (Lafudhi ya kizanzibari).
Kila mtu anajifunzia kunyoa.Kichwa cha mwendawazimu.
Aacha uongo alikuwa Mtwara siku hiyo.Ili kujipatia maendeleo aliwasisitiza watu wa Kagera "wakazane kwenye migomba"
Kutopeleka moto kwa wingi ndo kunachangia, ukiwa kitombi utakata moto chap.Huenda zoezi la upelekaji moto kwa wingi, na ulaji wa chakula bora kunachangia kuwa na maisha marefu.