Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Fuatilia takwimu uone idadi ya wakamaria wanaoamua kujiua baada ya kupoteza pesa kwenye makasinoMichael Jordan angekua ashakufa kitaaambooo!!
Ndo maana unaambiwa uweke unachoweza kukipoteza, tatizo Ni pale unapoitegemea Kama chanzo Cha kukuimgizia kipato hapo ndipo tatizo linapokua kubwaFuatilia takwimu uone idadi ya wakamaria wanaoamua kujiua baada ya kupoteza pesa kwenye makasino
Kwa hiyo mi niache kubet eti nianze kufatilia idadi ya wakamaria waliojiua,uko serious kweli? mbona unakua kama Mugalu?Fuatilia takwimu uone idadi ya wakamaria wanaoamua kujiua baada ya kupoteza pesa kwenye makasino
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo unaweza kujifanya umeacha kubeti ukakosa chanzo kingine cha mapato ukafa kwa njaa...hayo mambo ya mapigo ya moyo ni ajali kazini[emoji205]
[emoji23][emoji23][emoji23]afu inategemea ile millionUnaweka jerojero tena kwa machale pia unajiita mkamaria..?
[emoji23][emoji23][emoji23]afu inategemea ile million
Unaweka jerojero tena kwa machale pia unajiita mkamaria..?
Hatari sana mzee babaAiseeeh, kamari imenitia hasara sana sitaki hata kuiona mwaka 2020 mwanzo corona iliposhika kasi job tulisimama kidogo, muda mwingi sana nilikuwa nyumbani na vichenchi nilikuwa navyo basi nikaanza kucheza kamari weee nikuwa napigwa mpaka nilikuwa natetemeka, toka niliporudi job siitaki kabisa kusikia kitu kinaitwa kamari.