Uchimbaji wa kisima

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,240
Habari zenu wakuu,...
Ninataka kuanza biashara ya kuku mwakani,possibly mwezi wa pili.
Location ni mkuranga (pwani) ila ni porini sana na upatikanaji wa maji
kule ni sifuri,....
Ningependa kujua gharama za uchimbaji wa kisima (kama kuna bei rahisi na ubora
wa kampuni zinazochimba visima) kwani so far
kwa taarifa nilizopewa na wadau ni kwamba natakiwa kua na sio chini ya 6,000,000/=
kwa uchimbaji pamoja na pump,....

Na pia vipi pump,ni vyema nikanunua hapa au kuagiza toka nje ya nchi ni bora zaidi?
kama ni hapa wapi zinauzwa pump nzuri na zenye nguvu zaidi?

Nataka kisima ambacho kitaweza kunipa like 200,000 litre za maji kwa siku
kwani tofauti na ufugaji wa kuku nitakua nalima matunda na mboga mboga pia
target ya soko ikiwa ni dar kama kawaida.

Mawazo yenu ni ya muhimu sana
 
Kuna topics zishatangulia za kuchimba visima, zitafute.
 
Well thanks,atleast kwa kuanzia ungenipa link to the topic pls
Ipo katika Business forum page ya mwanzo tu,Topic ni GHARAMA YA KUTENGENEZA KISIMA DAR,imeanzishwa na Ladyswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…