Huo mchanga unapelekwa Zanzibar.Leo nilipokea wito wa kuitwa kituo kikuu cha polisi cha stakishari , Nikapita njia ya Segerea senior Seminary, wakati navuka mto msimbazi nikakuta maroli zaidi ya 7 yanajaza mchanga toka mtoni hapo.
Nikaangalia kwa masikitiko sana , huu uharibifu wa mazingira unaweza kuzua shida kubwa mbeleni .
Serikali ya Wilaya Ilala lazima isimamishe hii kinachoendelea kabla hatujayavuna mabua .
Basi makubwa maana madogo yananafuu
kamanda nguvumali:: ukiona ngumu kumeza peleka lori lako na, ww ukalijaze mchanga::=lipate site mazima hapo mto msimbaziLeo nilipokea wito wa kuitwa kituo kikuu cha polisi cha stakishari , Nikapita njia ya Segerea senior Seminary, wakati navuka mto msimbazi nikakuta maroli zaidi ya 7 yanajaza mchanga toka mtoni hapo.
Nikaangalia kwa masikitiko sana , huu uharibifu wa mazingira unaweza kuzua shida kubwa mbeleni .
Serikali ya Wilaya Ilala lazima isimamishe hii kinachoendelea kabla hatujayavuna mabua .