Wachimba Visima Tanzania
Member
- Dec 29, 2023
- 8
- 2
Kutokana na dollar kupanda zidi ya Tanzania shilling gharama imeongezeka kwasasa ni milioni 55.Ndio mlisema mnachimba kwa Milioni 45
Hiyo ni rate ya wiki iliyopita.Kutokana na dollar kupanda zidi ya Tanzania shilling gharama imeongezeka kwasasa ni milioni 55.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Tulisema wapi bossNdio mlisema mnachimba kwa Milioni 45
Sio kweliKutokana na dollar kupanda zidi ya Tanzania shilling gharama imeongezeka kwasasa ni milioni 55.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Sio kweliHiyo ni rate ya wiki iliyopita.
Rate ya leo ni mil 65
Wanakuandikia hivyo kutokana na kuwa haujaweka beiSio kweli
Hawa wadau wameweka bei ya zamani, Dec mlimfanyia Jamaa yangu kazi nzuri sana kwa 98 Milioni.Sio kweli
Weka basi bei ya ukweliSio kweli
Exchange rate brola (BRL ya BRICS) to dollar ni BRL = 0.2258 USD kwa rates za leo Kariakoo.Kutokana na watu kususia Dola kisa BRICS . Mie juzi nimewalipa milioni 32 kunichimbia kisima hapo Mlndizi
Vipimo vya local vipo ila sio vya kuamini asilimia ya kutowa dry borehole ni kubwa sana boss tumia hivi vya mzungu tu ijapokuwa ni hali ila accurate yake ni kubwa compared to local methodKuna vipimo vya local vya kupima maji kwa 50000 tu naweza kupata mkuu . Niko ARUSHA
Fedha nyingi sana hatuweziKutokana na dollar kupanda zidi ya Tanzania shilling gharama imeongezeka kwasasa ni milioni 55.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Usiwasikilize hao boss bei sio hizoFedha nyingi sana hatuwezi