Uchina; Kenya na SGR


Tulikuwa na SGR plan yetu tayari in place chini ya JK na tulishasaini Memorandum of understading na Exim bank ya China, kwa mkopo ambao tungeulipa ndani ya miaka 20. Alipokuja bwana mkubwa huyu akapangaluapangalua arrangement iliyokuwepo, matokeo yake tunatumia pesa zetu nyingi kupeleka nje na maisha ya wananchi yanakuwa magumu kwa sababu pesa zinakwenda nje kufinance mradi huu
 
Fanya kazi kenge wewe ,au kama maisha yanakubana olewa
 
- Mkopo wa China ungetugharimu mara mbili ya huu wa sasa.
- Treni ingekuwa ya kiwango cha chini cha tani 25 badala ya 35.
- Tungechafua mazingira kwa kuwa treni ingetoa moshi mzito wa diseli.
- Treni ingekuwa inatingisika kwakuwa reli yake isingekuwa imechomelewa.
- Isingekuwa ya umeme.
- Isingekuwa na mwendokasi wa 120km/h.
- Tusingeweza kuajiri zaidi ya 90% ya wafanyakazi watanzania
 

  • Speed inategemea mashine uliyokuwa nayo, siyo mataaluma ya reli.
  • Kuchafua Mazingira kunategemea aina ya treni unayoburuza juu ya reli hiyo, ya makaa ya mawe, ya diesel au ya umeme, haitegemei mataaluma ya reli yanayotandazwa
Hivi huko shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Ule mkopo ulikuwa sawa sawa? Au ndio mkopo kama ule wa kujenga bomba la gas Mtwara Kinyerezi? Shida yetu sio mkopo, bali ni uadilifu wa kutumia nafasi za kuomba hiyo mikopo kujinufaisha binafsi na familia zao
 
Kwa upuuzi huh ndiyo maana nyuzi nyingine tuaishia kuziangalia tu, baba Wa taifa Alisha sema hakuna kitu cha bure sio wajomba zetu.
Ungekujua kinachoendelea angola, Zambia na kwengineko haya usingeandika u upuuzi wako, juzi tu rais kazungumza kuhusu mradi Wa bagamoyo na hao hao wachina, sijui ninani aliyeturoga
 
Speed inategemea mashine uliyokuwa nayo, siyo mataaluma ya reli.
Aina ya mataruma ya reli na jinsi reli inavyolazwa inaenda sambamba na aina ya speed ya treni. Zile za mwendo mkali huwa na reli zilizonyooka zaidi ili kupunguza centripetal force (msukumo wa kwenye kona) inayoweza itoa treni kwenye reli.

Pia treni za mwendo mkali zinakuwa na mataruma yaliyo karibu karibu ili kupunguza kiasi cha potential energy (kunesa nesa) kinayoweza tengenezwa na kuweza kuitoa treni kwenye reli ikiwa kwenye mwendo mkali.

Kuchafua Mazingira kunategemea aina ya treni unayoburuza juu ya reli hiyo, ya makaa ya mawe, ya diesel au ya umeme, haitegemei mataaluma ya reli yanayotandazwa
Huwezi ondoa emission (kwa 100%) ya injini ya diesel na makaa ya mawe ila ya umeme haina emission.
 

Reli huwa zina viwango vyake, ukisikia SGR tayari ni international standard ambayo imeshawekwa
 

Wala isikukatishe tamaa. Asilimia 80 ya sisi binadamu tunaoishi duniani, tunafuata upepo unavumia wapi. Asilimia 20 ndio wanaweza kufanya mambo ambayo yanaamua hiyo asilimia 80 ielekee wapi.
Wanaofanya mambo makubwa na yanayopendeza duniani sio wengi. Ila wakishayaweka sawa, hiyo asilimia 80 inaingia hapo na kutafuta sehemu nyingine ya kupigia kelele.
Kufikiria sio kazi rahisi sana.
 
Ule mkopo ulikuwa sawa sawa? Au ndio mkopo kama ule wa kujenga bomba la gas Mtwara Kinyerezi? Shida yetu sio mkopo, bali ni uadilifu wa kutumia nafasi za kuomba hiyo mikopo kujinufaisha binafsi na familia zao

Tatizo linakuja pale unapoweka question mark bila kujua mkataba unasemaje
Kwa mfano kwa nini uamini utawala huu unachokuambia badala ya kuamini utawala uliopita wakati serikali ni ile ile ya chama kilekile?

Usiniambie utawala huu ni msafi wakati sote tunajua kwa mfano wamenunua ndege kwa pesa ambazo hazijaidhinishwa na bunge wala kufanyiwa ukaguzi na CAG!

Sasa kwa nini kwa mfano umuamini JPM akisema mradi X una ufisadi badala ya kumuamini JK aliyesema mradi X ni safi?
Ni nani kati yao mwenye rekodi safi kumzidi mwenzie?
 
Ule mkopo ulikuwa sawa sawa? Au ndio mkopo kama ule wa kujenga bomba la gas Mtwara Kinyerezi? Shida yetu sio mkopo, bali ni uadilifu wa kutumia nafasi za kuomba hiyo mikopo kujinufaisha binafsi na familia zao

Awamu ya nne haijawahi kuwa na sound project iliyoisaini na tukawa comfortable kama nchi
 
Reli huwa zina viwango vyake, ukisikia SGR tayari ni international standard ambayo imeshawekwa
Inaonekana unajiongelea tuu vitu usivyovijua kiundani.

Hapo mwanzo nimekuelewesha kifizikia kwanini speed ya treni na aina ya reli vinakwenda pamoja. Sasa unakuja kuleta mambo ya upana wa reli (SGR) wakati huelewi kuwa reli mbili zenye upana mmoja (mfano SRG) zinaweza kuwa na uwezo tofauti wa kubeba mzigo (axle load).
 

Some of us are not politicians. Hii miradi inahusiana nini na chama cha siasa? Kama nia yako ni kutokea kwenye hii miradi, hilo ni suala jingine.
Tusiangalie mambo kama wote tumefichwa kwenye box moja. Siasa hizi hazina msaada wowote kwangu binafsi, maana wana siasa ndio wale wale. Unapigania kula yako tu. Period
 
Fanya kazi kenge wewe ,au kama maisha yanakubana olewa
Hoja hamna kazi matusi je kuolewa ndo suluhisho la maisha magumu??? wewe ulipoolewa umefukia climax ya mafanikio?? Je baba ako akikuambia maisha magumu nae pia utamuambia akaolewe??
 
Awamu ya nne haijawahi kuwa na sound project iliyoisaini na tukawa comfortable kama nchi

Nilishituka kusikia hata terminal III ya airport, asilimia 70 ya hela ilishatumika wakati kazi iliyofanyika haikuwa hata asilimia 40. How on earth could that be? Uvujaji wa mali ya umma ndio haiba yao wana siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…