Uchina; Kenya na SGR

Nilishituka kusikia hata terminal III ya airport, asilimia 70 ya hela ilishatumika wakati kazi iliyofanyika haikuwa hata asilimia 40. How on earth could that be? Uvujaji wa mali ya umma ndio haiba yao wana siasa?
Wanasiasa usiwaamini anaweza kujipinga mpka yy mwenyewe kesho wakati leo umemuamini
 
Nilishituka kusikia hata terminal III ya airport, asilimia 70 ya hela ilishatumika wakati kazi iliyofanyika haikuwa hata asilimia 40. How on earth could that be? Uvujaji wa mali ya umma ndio haiba yao wana siasa?
Nakwambia Magu anamezea tu ila ana Siri nyingi sana za mkwere na hapendi kumu upset . Mkataba wa gas , bagamoyo vyote ni kilio awamu zilizotugharimu sana Tanzania ni awamu ya nne ikifuatiwa na ya Tatu hasa kwenye kukwapua na kuuza miradi ya awamu ya kwanza na miradi ya madini ila kati ya wote nne ni vunja jungu
 
Kwani Mkwere naye wakati wake angeamua kumshughulikia kwa ishu ya nyumba za serikali, Kivuko cha bagamoyo leo hii angekuwa hapa alipo?. naye angoje atakeykuja afukue kaburi la trilion 2.4 ndipo utakapojua kuwa usijifanye mtakatifu wakati una yako
 
Awamu ya nne imefanya makuu ya kupendeza hakika itakumbukwa daima

Kama yapi? Shortcut zilizokuwepo ndio zinatugharimu leo. Kulikuwa na wizi uliopitiliza. Kulikuwa na kutowajibika kuliko pitiliza. Unajua ilikuwa kama ni mkutano wa Kambale...baba ana sharubu, mama sharubu, mtoto sharubu, babu sharubu. Haijulikani nani ni nani.
Tungeendelea vile nchi ingekuja kuanguka. It could become a failed state.
 
Kwani Mkwere naye wakati wake angeamua kumshughulikia kwa ishu ya nyumba za serikali, Kivuko cha bagamoyo leo hii angekuwa hapa alipo?. naye angoje atakeykuja afukue kaburi la trilion 2.4 ndipo utakapojua kuwa usijifanye mtakatifu wakati una yako
Moral authority yakufanya hivyo ingetoka wapi wakati wizi ulikuwa umetamalaki? na hauchukuliwi hatua?
 
Design ya reli pia ina-matter! Reli ya Kenya ilivyo treni haiwezi kukimbia over 120km/h!
 
Mataluma nayo yanachangia speed...

Jiulize kwanza una utaalam gani kuhusu reli,sio unakosoa watu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…