"Uchizi" una uhusiano gani na kupenda mjini ??

samsun

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
7,386
Reaction score
5,965
Habari za mida hii wadau, mimi nashangazwa na jambo moja kila ninapoenda naliona jambo hili hivi VICHAA (wagonjwa wa akili) kwanini wanapapenda sana mjini kuna uhusiano gani hapo ...... Niliona nilipokuwa Mwanza mjini, nimeona A town,nimeona Mbeya mjini na nimona Mtwara mjini hapa Dar ndio usiseme,mjini wamejaa wao naombeni jibu. Kwanini vichaa (wagonjwa wa akili) wanapapenda sana mjini ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…