Izzi JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 553 Reaction score 1,144 Dec 5, 2016 #1 Pale unapolipia kodi ya nyumba kwa M-Pesa Tsh. 1,800,000/=.Kisha ukiwa umejipumzisha baada ya kumaliza kutuma hela kwa 'fazahausi', unapokea meseji ya uthibitisho: Usiulize uchizi unaanzaje. Mimi.. ninashukuru.
Pale unapolipia kodi ya nyumba kwa M-Pesa Tsh. 1,800,000/=.Kisha ukiwa umejipumzisha baada ya kumaliza kutuma hela kwa 'fazahausi', unapokea meseji ya uthibitisho: Usiulize uchizi unaanzaje. Mimi.. ninashukuru.
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Dec 6, 2016 #2 Hahaha