Uchochezi ni nini?

shabani mmanga

Senior Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
138
Reaction score
116
Kwa mwenye kujua nini hasa maana ya neno "uchochezi"
Kwa upande wangu ni kufanya ktu kiwe katika hamasa ya juu kabisa " yaani mambo ni moto". Sidhani kama kila uchochezi huwa ni kosa kama inavyoonekana sasa.
 
Uchochezi ni kama vile ukiwahi nyumbani kucheki sultani na beki 3 wako alafu 'nkeo' awe yupo kazin
 
Uchochezi ni kwa Maimatha kumwita Jokate eti ni Mama wa Taifa; tena hadharani!! Sijui alikuwa anamaanisha nini Maimatha....
 
uchochezi ni anything against maslahi ya ccm
 
Uchochezi ni kwa Maimatha kumwita Jokate eti ni Mama wa Taifa; tena hadharani!! Sijui alikuwa anamaanisha nini Maimatha....
Lakini sijawahi sikia cheo cha second lady wala kuona mke wa rais mja mzito. Huenda maajabu yanaanza.
 
Kwakua Mimi sitaki kuchochea ngoja nisiandike chochote cha uchochezi kwenye huu Uzi wa uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…