Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Tatizo tunalopingana humu ni pale"WAKUJA" kuingia mjini,na kumuacha "mswahili" palepale gerezani aki mark time-wakati mwenzio ana march on-hili ndio tatizo mnalotaka ku wipe off na single blow,wakati mshaambiwa solution ni skuli

Son...

Mnakasha unaurudisha ukurasa wa kwanza.
 
hivyo wewe ni mke wa ngapi?? kwa mumeo?? kwanini usisome tu ukapita-unatupoteza mood
 
Mkandara,

Ni kweli wote Wakirsto na Waislam walikuwa bus mmoja katka kuleta uhuru bahati mbaya au sujui makusudi kuna kundi limeshushwa kwenye bus. Alichofanya Mohamed Said kulirudisha kwenye bus.
Mkuu wangu hapo sikubaliani maana hakuna Mkristu yeyote zaidi ya Nyerere alotajwa ktk harakati za Uhuru wetu tena naweza kusema wapo waislaam wengi ktk historia yetu kuliko Wakristu isipokuwa kinachomuuma Mohammed Said niksifa alizopewa Nyerere kama kiongozi wetu..lakini ndivyo historia huandikwa siku zote kiongozi ama jemadari ndiye hupambwa kwa sifa za mafanikio sio askari wake na wala sii kwa kabila ama dini yake isipokuwa kama yeye binadamu na fikra zake.

Leo hii Mandela anasifika hakuna mfano wake lkn muda mwingi wa harakati yeye alikuwa jela ni kina Steve Biko na Oliver Tambo walokuwa mtaani. sasa unapotaka kuzifinya sifa za Mandela kwa sababu tu unataka Steve Biko ndiye aonekane na kwa kabila yake hapo ndipo tunaposhindana..
 
Na ndio maana tumekuelewa kuwa unatabngaza Udini...

Mkandara mtafute mdini hapa chini:

The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects. First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]

[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2] Ibid. p 37.
 

Mkandara,

Ikiwa umekusudia kitabu changu soma faharasha yake.
 

Mkuu wangu lakini unakubaliana na historia ya TANU iliyoandikwa chuo cha Kivukoni.
 
Sawa nikubali kwamba hilo lilikuwa azma la kanisa lakini mbona Nyerere alifanya kinyume akataifisha mashule na Hospital zao? akaondoa matabaka baina ya Waislaam na wakristu kiasi kwamba pande zote mbili walimchukia?. Wewe leo hii unaandika kitabu juu ya kumsaga Nyerere na sio kanisa lilivyojaribu kuleta Udini nchini na Nyerere akawazima bali unamfanya Nyerere sehemu ya propaganda hizo wakati wewe mwenyewe umesoma kwa nguvu ya mabadiliko ya Nyerere laa sivyo ungekuwa hujui hata kushika kalamu...

Labda nikurudishe nyuma kidogo, je unakumbuka ya kwamba AbdulWahid Sykes na Mwapachu walimpindua Kreist kukifanya chama cha TAA kuwa cha kisiasa badala ya kijiwe cha wazee wa Kariakoo..Na nani alomfuata mwenziwe kama sii hao wazee walomfuata Nyerere na kumpa nafasi kuwaongoza wakijua vema dini yake na kabila lake?... Leo hii wewe unashabikia kina Takadir na Hassan bin Amir ambao walitaka tutengane na wana historia yao kuwa wao ndio walokuwa na ukweli zaidi..

Mkuu wangu binafsi yangu, nakuona wewe kama mazao ya kina Hassan Amir, huna tofauti na Mtikila ambaye hadi kesho hampendi Nyerere kwa sababu aliondoa Utawala wa mkoloni ulowapa nguvu wakristu, hivyo pengine wewe na Mtikila mnaweza kushindana kuandika vitabu lakini sio sisi tulopanda bus la UMOJA wa Mtanganyika pasipo kujali dini wala kabila la mtu.
 
naona huu mnakash umefikia mwisho sasa Prof anaanza kuzungumzia choo

Huo mfano umepewa wewe baada ya kuwaponda waswahili. Munakasha unasonga mbele labda wewe ndiyo huna cha kuchangia picha zote umemaliza zirudie tena.
 
KUMBE TAA,hapo mwanzo ilikuwa kijiwe cha wazee wa kariakoo,kama ilivyokuwa SAIGON,asanteni sana kwa darasa
 
Huo mfano umepewa wewe baada ya kuwaponda waswahili. Munakasha unasonga mbele labda wewe ndiyo huna cha kuchangia picha zote umemaliza zirudie tena.
ziko picha zaidi kwenye archives za CIA,ku upload imekuwa ngumu-but i am working on how to crack this obstacle-nikiwa tayari nitashusha hadi picha za wazee wenu wa gerezani
 
Mkuu wangu lakini unakubaliana na historia ya TANU iliyoandikwa chuo cha Kivukoni.
Nakubaliana na historia yoyote maadam ina ukweli lakini sio kuongezwa chunvi ili kuwatenganisha watu baada ya!. Hata kina Mtenvu, Hassan Amir wana historia zao lakini walishindwa kutokana na azma zao...Historia inaanza tu na ukweli ambao ndio chimbuko na mafanikio ya Uhuru wetu, nani alikuwa kiongozi? na ndiye atapewa sifa zote..
 
KUMBE TAA,hapo mwanzo ilikuwa kijiwe cha wazee wa kariakoo,kama ilivyokuwa SAIGON,asanteni sana kwa darasa

Tulizana ujifunze sasa hata hiki kisa ulikuwa ukifahamu ngoja nikupe darsa kidogo.

Abdulwahid na Mwapachu bila kumshauri mtu yeyote wakitokea Tanga Club, New Street walivamaia ofisi za TAA na kufanya mapinduzi.

Walimtoa msobe msobe Clement Mtamila ofisini kwake.

Sasa unatakiwa kuuliza sababu gani iliwafanya wavamie ofisi.

Tulizana utapata mengi.
 
i refuse to believe kwamba wewe kama wengine hukwenda skuli-hivyo basi jifunze kusoma between the lines
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…