Ufuatao ni mchanganuo wa shele zetu
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]SHULE
[/TD]
[TD]DIV I
[/TD]
[TD]DIV II
[/TD]
[TD]DIV III
[/TD]
[TD]DIV IV
[/TD]
[TD]DIV 0
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ARAFAH ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]7
[/TD]
[TD]36
[/TD]
[TD]66
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]PEMBA ISLAMIC COLLEGE
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]21
[/TD]
[TD]11
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AMANAH ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]26
[/TD]
[TD]10
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ZUHRA ISLAMIC SECONDARY SCHOOL
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]23
[/TD]
[TD]43
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AL-FURQAAN ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]19
[/TD]
[TD]73
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]WALIUL ISLAMIC BOYS
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[TD]23
[/TD]
[TD]9
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UBUNGO ISLAMIC HIGH SCHOOL
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]15
[/TD]
[TD]36
[/TD]
[TD]38
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]KUNDUCHI GIRLS ISLAMIC HIGH SCHOOL
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]7
[/TD]
[TD]20
[/TD]
[TD]80
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ARAFAH ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]7
[/TD]
[TD]36
[/TD]
[TD]66
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CHAMAZI ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]39
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MIVUMONI ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]8
[/TD]
[TD]25
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]THAQALAIN ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]15
[/TD]
[TD]43
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UNUNIO ISLAMIC HIGH SCHOOL
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]21
[/TD]
[TD]14
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AL-KHEIR ISLAMIC GIRLS SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]19
[/TD]
[TD]18
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]KIRINJIKO ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]20
[/TD]
[TD]62
[/TD]
[TD]45
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MATANGINI ISLAMIC SEMINARY CENTRE
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]37
[/TD]
[TD]103
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]KIPATA ISLAMIC SECONDARY SCHOOL
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]38
[/TD]
[TD]8
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]BUBUBU SECONDARY SCHOOL
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]87
[/TD]
[TD]173
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AHLULBAYT ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]4
[/TD]
[TD]39
[/TD]
[TD]14
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]NUR ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]57
[/TD]
[TD]18
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MUDIO ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]15
[/TD]
[TD]19
[/TD]
[TD]30
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AL-HARAMAIN ISLAMIC
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]29
[/TD]
[TD]113
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MAZIZINI ISLAMIC SECONDARY SCHOOL
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]36
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]KATORO ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]10
[/TD]
[TD]40
[/TD]
[TD]120
[/TD]
[TD]4
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AT-TAAUN ISLAMIC GIRLS SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]36
[/TD]
[TD]40
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AN-NOOR ISLAMIC BOYS SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]9
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MHUMBU ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]21
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]KALOLENI ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]26
[/TD]
[TD]11
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MAZIZINI ISLAMIC SECONDARY SCHOOL
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]36
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AHLULBAYT ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]4
[/TD]
[TD]39
[/TD]
[TD]14
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ALGEBRA ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]7
[/TD]
[TD]21
[/TD]
[TD]62
[/TD]
[TD]3
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]LUQMAN ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]16
[/TD]
[TD]17
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SONI ISLAMIC SEMINARY SECONDARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]26
[/TD]
[TD]10
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CHAMAZI ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]6
[/TD]
[TD]3
[/TD]
[TD]39
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]NYASAKA ISLAMIC SECONDARY SCHOOL
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[TD]20
[/TD]
[TD]55
[/TD]
[TD]82
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] BILAL ISLAMIC SEMINARY
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[TD]30
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MARKAZ ISLAMIC SEMINARY SECONDARY SCHOOL
[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]4
[/TD]
[TD]14
[/TD]
[TD]17
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]ILALA ISLAMIC SECONDARY SCHOOL
[/TD]
[TD]1
[/TD]
[TD]11
[/TD]
[TD]14
[/TD]
[TD]22
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]WALIUL ISLAMIC BOYS
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]2
[/TD]
[TD]5
[/TD]
[TD]23
[/TD]
[TD]9
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sweke, Hakika nimekasirika. Watu wakiondokewa na mtu wao ni wa kufarijiwa. Haiwi kitu cha kusukuma agenda zetu. Yeye ajiweke mahali pa ndugu walopoteza jamaa yao ndiyo labda kama ana akili atajua ninachomweleza. Nilikupa jibu kuwa mimi nimetoa paper kuhusu hiyo sheria ya ugaidi University of Ibadan, Nigeria mwaka wa 2006. Ila nilisahau kukuambia hiyo conference walifadhili US na Iran kwa pamoja.Naona umehamaki...Unaikumbuka ile sheria ya ugaidi niliyokudokezea?
Utatishika vipi huku hata akina Sheikh Ilunga wanadunda mitaani bila hofu yoyote katika huu mfumoKristo. Mohamed Said, uliwahi kuonya sana kwamba mambo yako jikoni yanachemka, je muda umefika?...vyombo vyote mmekamata lakini hamuishi kulalamikia mfumo Kristo.Dullah,
Huyu ni mtu wa ovyo sana.
Anadhani mimi anaweza kunitisha...
Anifikishe mahali niwakane ndugu zangu Waislam.
Mpuuzi sana huyu.
Hatazami watu wa kutisha?
Dar es Salaam hii mimi wa kutafutwa kwani sijulikani?
Mtego wake umekamata chui badala ya paa.
Anaogopa sasa hata kuusogelea mtego wake.
View attachment 83668
wewe nimeshakupuuza kitambo sana...
Utatishika vipi huku hata akina Sheikh Ilunga wanadunda mitaani bila hofu yoyote katika huu mfumoKristo. Mohamed Said, uliwahi kuonya sana kwamba mambo yako jikoni yanachemka, je muda umefika?...vyombo vyote mmekamata lakini hamuishi kulalamikia mfumo Kristo.
BD, Kweli povu limenitoka. Siyo uungwana kuicheza shere maiti. Habari zangu kuwa CIA\FBI wewe unazijua leo. Ngoja nikuonjeshe kidogo na ndiyo maana nikakwambia fungua uzi nikupe taarifa zangu. Miaka minane iliuopita waliingia katika email yangu kunitaarifu kuwa ninatembelea tovuti wasizozipenda... Baada ya mwezi nikatoa paper Chuo Kikuu Cha Ibadan kuhusu ugaidi. Jamaa walikuwapo na wakanisikia nilivyokuwa nawakanyaga. Cameras were rolling pamoja na digital tape recorder zao... Tunajuana sana... 2011 wakanialika US kuhadhir kwenye vyuo vyao viwili na nikasomesha madarasa mawili ya undergraduate. Huko pia nikawakanyaga kama kawaida yangu and cameras were rolling... Fungua uzi tujadili mambo haya kuna mengi ya kujifunza.Ha ha haaa naona mzee wa Gerezani umekasirika na povu linakutoka. Mzee Mohamed, amini nakuhakikishia hii wiki haiishi bila ya wewe kupewa misukosuko kama ya swaiba wako Ponda. Hivi unahabari taharifa zako zimeshafika ubalozi wa Marekani ndani ya Bongo na sasa zimeshatuwa mikononi mwa CIA na FBI huko America? Yaani this time uchomoi....na ukichomoa bongo basi kwa wamarekani huchomoi. Wee subiria uone.
@DULLAH MSAVIVOR, ama utakuwa mtoto mdogo sana ama uelewa wako ndio ule ule wa akina zomba. Nchi ya Cuba ilipata uhuru wake toka Hispania miaka mingi tu kabla ya hao jamaa kuzaliwa. Hawa wanajulikana tu kwa kufanya mapinduzi miaka mingi tu baada ya Cuba kuwa huru. Baba wa Taifa (Founding father) la Cuba anaitwa Carlos Manuel de Céspedes...angalia usimeze kila ngano inayotolewa humu kama historia kama hizo za Mohamed Said.
Mohamed Said wewe na wafuasi wako kila mnaposhindwa hoja mnakimbilia kutaka watu waanzishe uzi mwingine, kwani wewe unaona hatari gani kuanzisha huo uzi kama una nondo za kutoa na hapa hazifai kuwepo?
Mohammed Said huwezi kujificha kwenye Uislamu wakatu unachochea chuki dhidi ya Wakristu, makanisa na Watanzania wenzako. Miezi kadhaa nyuma kwenye ule mnakasha mwingine niliuangaliza hilo kuwa ni uchochezi wako wa kujenga uhasama na faraka baina ya Watanzania utakuja kuzaa matunda. Karibu watu wote ambao wanadai Waislamu wamedhulumiwa wote wanatumia maandishi yako kama ushahidi.
Naweza kusema kwa uthabiti tu kuwa you the ideological power behind the current rise in animosity between Christians and Muslims. Kwa kweli unatumia dini ya Kiislamu kama cover tu ya kufanikisha kile unachokitaka - a separation between the two communities. Separation ambayo tayari umefanikiwa ni kuwafanya baadhi ya vijana wa Kiislamu (labda wapo na wazee) wasiwaangalie tena Watanzania wenzao kama wananchi wenzako bali wawaangalie kama "maadui wa Uislamu". Yote haya ni matokeo ya mafundisho yako.
Uchochezi wako dhidi ya legacy ya Nyerere umepandikiza chuki ya ajabu na kejeli ya baadhi ya Waislamu dhidi ya Nyerere. Maandishi yako ni ushahidi wa hili. Sasa ungekuwa umeandika kama mwanahistoria labda kazi yako ingekubalika kidogo kuwa ina chembe ya usomi wa kihistoria. Lakini hukutaka kufanya hivyo; ulitaka kuleta hisia zako za chuki dhidi ya Ukristu na Wakristu kwa kutumia historia. For this reason you have twisted history, made up stories and without any sense of personal responsibility unafaidika na mfarakano mkubwa ambao umetokea katika jamii.
Wakati unadai unapinga dhulma dhidi ya Waislamu wewe mwenyewe unakaa na kuangalia wakati baadhi ya Waislamu wanafanya dhulma kwa kutumia ushawishi wa maneno yako dhidi ya Wakristu. Qurani Tukufu haiiti watu kuchochea dhulma bali kutafuta suluhu na upatano. Siyo hivyo tu lakini kutengeneza mazingira ya msamaha na kupatana baina ya watu badala ya kuwachochea watu kisasi na chuki zaidi.
Mzee Said, Qurani yenyewwe inakuambia hakuna aliyerafiki karbu sana na Waislamu kama Wakristu na sababu pia ni kuwa ndani yake wamo mapadre na watawa. Kwanini uendekeze kujenga chuki badala ya kuurudisha ule urafiki wa asili kati ya Wakristu na Waislamu? Ninasoma hapa maneno ya baadhi ya Waislamu (au wanaojitambulisha kuwa ni Waislamu) jinsi ambavyo inaonekana kuwa hawajui mapenzi yalliyopo baina ya Waislamu na Wakristu...
Sura 5:82
لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَة ً لِلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُمْ مَوَدَّة ً لِلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَى ۚ ذَلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانا ً وَأَنَّهُمْ لاَ يَسْتَكْبِرُونَ
Sahih International
You will surely find the most intense of the people in animosity toward the believers [to be] the Jews and those who associate others with Allah ; and you will find the nearest of them in affection to the believers those who say, "We are Christians." That is because among them are priests and monks and because they are not arrogant.
Swahili
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
Hebu sikiliza kwa makini. Yaliingizwa Tunduma kutoka Afrika kusini. Watu wa TRA wakaita polisi. Polisi wakalizima hilo suala wakatokomea nayo kusikojulikana. Baadhi ya masanduku hayo yalikamatwa Musoma. Bahati nzuri watu waliokuwa macho pale walizuia yasiingizwe kwenye mfumo wa uchaguzi, na ndio maana Chadema walishida pale. Umeelewa?
Mikataba ya Barrick imesainiwa kati ya 1993 na 1995 which means mazungumzo yalianza long kabla ya hapo. Wameanza production 2000. Lakini wameingia Bulyankulu tangu 1996 wakati raia wetu walipofukuzwa na wengine kuzikwa hai, kwa mujibu wa LEAT.
Barrick walikuja Tanzania 1977 kutafuta uwekezaji. Nyerere akawaambia 60-40. Wakaondoka na kumsubiri atoke mamlakani. Hata kabla ya kuondoka aliwaambia wana CCM wenzake, akiwemo Kikwete, Mwinyi na Mkapa, kwamba madini hayo yasichimbwe mpaka Watanzania watakapokuwa tayari kielimu kusimamia uchimbaji wake. Mafisadi walipoona wamepewa usukani wa kuendesha nchi wakafanya vitu vyao. Walivyoona kelele zinazidi wakaharakisha harakati za kumkolimba. Kwa hiyo usihusishe uoza huu na Nyerere. Hakusaini mkataba wowote wa aina hii.
Barrick walikuja Tanzania 1977 kutafuta uwekezaji. Nyerere akawaambia 60-40. Wakaondoka na kumsubiri atoke mamlakani. Hata kabla ya kuondoka aliwaambia wana CCM wenzake, akiwemo Kikwete, Mwinyi na Mkapa, kwamba madini hayo yasichimbwe mpaka Watanzania watakapokuwa tayari kielimu kusimamia uchimbaji wake. Mafisadi walipoona wamepewa usukani wa kuendesha nchi wakafanya vitu vyao. Walivyoona kelele zinazidi wakaharakisha harakati za kumkolimba. Kwa hiyo usihusishe uoza huu na Nyerere. Hakusaini mkataba wowote wa aina hii.
Naelewa kwa nini inakuwa vigumu kwa baadhi yenu kuamini ukweli kama unatofautiana na dhana zenu. Yes, Barrick came to Tanzania in 1977 seeking to mine gold but left after Nyerere gave them stiff terms.Una ushahidi wa hayo au unafurahisha jamvi tu?
Waje 1977 awaambie hivyo, waje tena sijui 1994, kikaragosi wake awakubalie na yeye yuko hai? unaelewa unachokiongea lakini?
Kama vilikuwa vipodizi kwa nini TRA walilazimika kuita polisi? Kwani TRA hawajui vipodozi ni nini?ngoja nichangie hapa kidogo
naona hapa ni tatizo la kumezeshwa maneno
na bila kufanya utafiti,hili lipo kwa watanzania wengi
sakata hili aliyelisema wa kwanza ni slaa wakati wa kampeni 2010
kwamba kuna makontena yameingizwa yakiwa na karatasi za kupigia kura
uchunguzi ulipofanyika ikabainika taarifa iliyotolewa si sahihi
kwanini nimeamua kuweka sawa taarifa hii?
sababu makontena hayo hayakuwa na karatasi za kupigia kura,
bali vipodozi.Muingizaji wa vipodozi hivyo,namjua vizuri sana
na ni mtu wa karibu yangu mno.Familia zetu ni ndugu,
na hata alipotakiwa kuonesha documents zinazothibitisha
uhalali wa umiliki na uingizaji wa vipodozi hivyo tulikuwa pamoja
samahani kwa kuwatoa ktk mada husika