Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kumbe waliopewa ban walikua wanamipa za usoni ;-)

Si ndio kwa maana nakuambia hao ni wa kuwapuuza tuh,,

Walichokalia wao ni kejeli na kuwafustruate wenzao ili wafungiwe kisha wao wapate nafasi ya kuongea ongea ujinga humu jamvini,wanashangaza saana,pindi wenzao wanatumia jukwaa hili kujifunza na kuelewa uhalisia wao wanatumia kama sehem ya kukejeliana na kutukanana,wapuuz tuh
 

Nguruvi3
Huyu mzee Muddy hawezi kujibu. By then, 1968 alikuwa 16. Alipokuwa anasikia chuo si ajabu it didnt really mean conventional university, lakini for the purpose of his sensational tales, yeye analazimika kusema ilikuwa university japo atasema it was confirmed by wazee wake.

By the way, katika pitapita zangu pale Tanga mjini mwaka 1992 kule barabara ya 21 au 22 northern side of Taifa road, nilibahatika kukuta nyumba moja ya kawaida sana, ikiwa imepigwa rangi nyeupe, na imewekwa milango ya kiofisi. Juu kulikuwa na bango likionesha ile nyumba ni university. Mlango mmoja ulikuwa na kibao kimeandikwa Chancellor's office. Kwa udadisi wangu nikagundua kuwa ni "islamic university". Pale nje walikuwepo vijana wa kirangi-kutoka Kondoa wakiuza machungwa. Wakaniambia wamekuja kusoma elimu ya dini na walikuwa na matumaini ya kupelekwa uarabuni for further studies. Nilipoulizia zaidi kwa wagosi wenyeji, nikaambiwa ule ulikuwa mradi wa kitapeli wa watu fulani just for attracting funds from somewhere.

Hiyo ni true story.

Anyway, my point is it is possible hicho chuo anachokikomalia mzee Muddy kilikuwa kiwe kama hicho nilichokiona Tanga na kingekuwa ni cha watu wa dini fulani tu. Obviously hata ningekuwa mimi ndio serikali miaka ya 60 au 70 nisingekubali kuanzishwa kwa chuo kama hicho.

Inawezekana pia kingekuwa cha waismalia ambao hawakubaliki na majority Sunni muslims. Na hapo ndio mzee Muddy anapokuwa mjanja. Kwenye kudai kudhulumiwa, mabohora, ismailia na hata waislam wa bakwata, wote wanakuwa waislam. Lakini wakitokea waislam katika simulizi zake ambao hawaelekei kwenye mitizamo yake ya chuki, hao atasema sio waislam au wanatumikia mfumo kristo.
 
Last edited by a moderator:

N,

Nimekusoma.
 

Nguruvi,

Ujenzi wa chuo Kikuu Tanzania na EAMWS ulikuwa umekubaliwa katika mikutano miwili
Muslim Congress iliyofanyika 1962 na 1963.

Madhumuni ilikuwa ni kuwakwamua Waislam kutoka dhulma waliyofanyiwa na ukoloni wa
kunyimwa elimu.

Hayo mengine wala sina haja ya kuyajibu.
 

DM,

Mambo yalikuwa hivi mwaka 1968:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Abdulwahid died in 1968 at a time when the country was torn in silent strife; there was tension between Muslims and the Christian dominated government in power.

The unity of the country, something which Abdulwahid had fought for throughout his life, was being threatened.

The unity of Muslims was on the brink of disintegration.

There had been mass detention of Sheikhs under the Preventive Detention Act of 1962.

Some of these Sheikhs were Abdulwahid's political allies when he was trying to set up TANU.

Some of them supported Nyerere in those difficult early days of the struggle. Abdulwahid's fellow member of the TAA political subcommittee, Mufti Sheikh Hassan bin Amir, who was held in high esteem by all Muslims, had been arrested on Nyerere's orders and deported to Zanzibar, his country of origin; the reason given for his deportation was that Sheikh Hassan bin Amir was ‘plotting to overthrow the government'.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] Sheikh Hassan bin Amir was among the few Muslim scholars who dared to stand against the government and to give his opinion on the government's negative stand on Islam.

Before his death reports had been reaching him that there was a systematic campaign within TANU, conducted by its new Christian leadership, to de-Islamise the party.

In the 1965 General Elections, TANU founder member Tewa Said Tewa lost his Kisarawe constituency to an unknown contestant, one H.A. Ramadhani Dollah.

Bibi Titi Mohamed, the only woman who built TANU and campaigned for Nyerere single-handedly, also lost her Rufiji seat to one A.M. Mtanga.

There were unconfirmed rumours of ballot rigging and a conspiracy against Tewa and Titi and certain names within the Party top leadership, including that of Nyerere were mentioned.

The two were respectively, president and vice-president of the EAMWS. [1]

To this day Tewa claims that he did not lose the election.

Election results were delayed for no apparent reason and were announced two days late.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752"] Abdulwahid knew the consequences of this Muslim division.

He had witnessed the power of Muslim unity during the struggle for independence.

Abdulwahid also knew the force, fear and people behind the unholy alliance.

He knew about the conspiracy and the personalities working behind the scenes against Muslim unity.

Abdulwahid's former allies had come to fear that, after independence, Islam which had been the ideology of resistance against colonialism was becoming a threat to the future of Christianity in free Tanzania.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1]After a silence of almost thirty years Titi Mohamed revealed that it was Nyerere who was behind her downfall, the
reason being that she had opposed him in the TANU-NEC when he was seeking a mandate from Muslims in the TANU
leadership to ban the EAMWS. See article in Rai of 29 th December, 1994.
 
MM,

Mchango mzuri umeuvuruga kwa kejeli zako.
Nami nitakuacha kama ulivyo.

Mzee ni wewe ndiye unayefanya michango ya wengine wote haina maana wala haipaswi kutajwa. Wale wazee wa Dar waliotoa mchango unawatukuza lakini wengine michango yao unapuuzia. Unataka watu walioleta vyakule kwa Nyerere wakumbukwe tena kwa laziima lakini habari za wazee wetu wengine mikoani waliotoa michango mbalimbali wapuuzwe. Lakini cha kuudhi zaidi ni kuwa badala ya kuonesha michango hiyo kama sehemu ya nationalism; wewe umefanya michango hiyo ni kati ya ile ya "Waislamu" na ya wale "wengine"...

Sikuwa nakejeli, I was serious...
 
Mohamed,
Lakini swali bado ni je, Nyerere hakuwakwamua waislamu kwa kutaifisha shule wa wamisheni? Je, hilo halikusaidia kwa kiasi fulani kuongeza idadi ya waislamu waliopata nafasi za masomo ukiwemo wewe?
 
Kama angekuwa ameandika kuhusu wazee wake na kuipeleka hiyo histohisia yake kwa watu wa Gerezani na Tandamti ikaishia huko wala sisi tusingepata shida hata kidogo. Tatizo ni pale anapoanza kupotosha na kujenga dhana kwamba ukombozi wa Tanganyika bila hao wazee usingewezekana! na mbaya zaidi ni pale anapojenga taswira mbaya ya udini. Wale wazee wa D'salaam walishiriki harakati za ukombozi kama watanganyika na sio kama waislam na ndio maana walifanya kazi na wasio waislam bila shida. Mohamed Saidi anadanganya anapozungumzia uongozi wa kwanza AA, hayo yamewekwa wazi katika mnakasha huu, nakushauri urudie kosoma michango ya watu humu ndani. Mohamed Saidi haishii hapo, anaondoka na hadithi zake hizo na kuzipeleka kwenye mihadhara yake ya kidini kwenda kumpakazia Nyerere kwamba ni adui wa uislam! Kwamba Nyerere alishirikiana na kanisa kuukandamiza uislam! tunapo mwambia atoe ushahidi anakuja na maandishi anayojinukuu mwenyewe kwenye kitabu chake! au atakwambia msome Sivalon (kwani Sivalon alikuwa msemaji wa kanisa?) au atakuja na hoja dhaifu kama hizi za kwako kwamba na nyinyi muandike historia ya wazee wenu! Hiyo sio sahihi hata kidogo. Acheni ushabiki !
 
Nani alishtuka Abdu kukutana na Kenyatta? Mshtuko wenyewe utokane na nini? Kenyatta kama Abdu wote hawakuwa na elimu. Kenyatta kajenga nchi ya KIKABILA hasa katika ukanda huu.
 
Hebu nikuulize, hivi Kikwete naye alisoma madrasa? Sasa ufisadi kajifunzia wapi?

Jasusi;Ha ha haa unajifanya hujui kikwete kasoma wapi mbona jibu ni rahisi kawaulize wale walio sema Kikwete ni chaguo la mungu ndio utajua elimu yake kaipata wapi, madrasa hazifundishi ufisadi
 
Mohamed, unaposema huna haja ya kujibu maana yake si kuwa huna haja bali huna jibu.

Tunajua kuwa AMNUT walitaka kumuondoa Nyerere madarakani bila sababu ya msingi isipokuwa dini yake.
Hiyo ilikuwa 1958 kabala ya uhuru na kwa maneno yako.
Hili ni kundi dogo kwasababu kundi kubwa lilimuunga mkono. In other words aliungwa mkono na waislam. Period!

Mwaka 1968 kwa kupitia Wapakistan waliotoka Mombasa ambao walijificha chini ya mwamvuli wa EAMWS, walitaka kuigawa nchi. Hawa pamoja na Jamaiatu Issilamiya fil Tanganyika ni masalia ya AMNUT.
Ni masali hayo hayo ndiyo yanaleta taabu hadi sasa.

Masalia haya ya AMNUT yanauaminisha umma kuwa waislam walianza kumchukia Nyerere. Hili kundi linatumia neno Uislam kujumisha kila mtu ili kuleta wingi hata kama tunajua kuwa kuna waislam wema kwa mamilioni waliompenda sana Nyerere.
Kwahiyo si sahihi na ni uongo uliotamalaki pale mtu anaposema waislam walianza!

Narudia, Uislam ni dini na imani. Uislam upo kwa mtu na wala hakuna application form ya kuwa mwislam.
Hizi organization ni vyombo tu vya kurahisisha mawasiliano, in the end atabaki mja na mola wale.
Hakuna taasisi au mtu aliye na haki ya kufanya vetting who is a moslem who is not.
Hivyo mnapo ongea ongeleeni nafsi zenu na si nafsi za watu wengine.

Kwamba kulikuwa na Muslim congress ya kuwakomboa waislam kutokana na madhila ya ukoloni kuna shaka kubwa sana.
Huwezi kujenga chuo kikuu ukiwa huna shule za msingi wala sekondari. Sijui wangesoma akina nani.

Lau kana unataka kusema chuo kikuu cha dini labda lingeweza kugonga akili za watu makini.
Hata hivyo hali ya sasa katika madrasa haishirii kuwa kungekuwepo na tofauti na hali ilivyo.

Miaka dahari imepita na ni 15 tangu utoe kitabu. Huu ni muda ambao ungekuwa unaongelea maendeleo ya chuo kikuu badala ya kuwaelezea watu hadithi.

The time has come to cut off the vicious circle of failure.
Innuendos, fabrication, hatred and escapism will never solve the problem.

The problem which is within Swahilis and not Shia, Bohora or Ismaili must be confronted perfect and squarely by the same Swahili.
 

Naomba kuuliza umesema 1968 kupitia Wapakistan waliotoka Mombasa walitaka kuigawa nchi, tunajifunza kutoka kwenu tufahamishe hilo kundi la Wapakistan kaka lilikuwa linaitwaje.
 
Nani alishtuka Abdu kukutana na Kenyatta? Mshtuko wenyewe utokane na nini? Kenyatta kama Abdu wote hawakuwa na elimu. Kenyatta kajenga nchi ya KIKABILA hasa katika ukanda huu.

WC,

Angalau sasa katika maelezo haya sijaambiwa naleta ngano.

Ile ya kwanza niliona mshtuko na nikaambiwa mimi mwongo
nilete picha ya Abdu na Kenyatta walopiga katika mkutano ule.

Mliona haiwezekani Abdu Sykes kufanya mkutano na Jomo
Kenyatta 1950.

Fikra zenu zilikuwa zinaamini kuwa hakukuwa na siasa katika
TAA hadi Nyerere alipofika New Street 1953.

Na niliposema kuwa Kaunda akiandikiana na Ally Sykes barua
1953 ikawa sasa huyu Mohamed ama kweli bingwa wa uongo.

Taratibu mtajua kuwa mimi siwezi kuwa na kipaji kiasi cha
kuweza kutunga historia kama ile nikaifanya ni kweli na
publishers wakaniamini na kuchapa kitabu kisha na majarida
ya kisomi wakakitangaza kitabu.

Sasa inakuja hoja kuwa je Nyerere alikisoma kitabu kabla hajafa?
Nimejibu kuwa kitabu alikabidhiwa mkononi.

Nikaulizwa Nyerere kapewa kitabu na nani?
Nikajibu na mtu ambae akitujua sote.

Kejeli zikafumka.

Nikasema kuwa Nyerere kasoma au hakusoma kitabu changu kwangu
mimi hilo si kubwa kwa hiyo tusivutane.

Ila napenda wasikizaji wajue kuwa yote nisemayo hapa JF ni kweli kabisa.
Wao wana akili wapime watatambua.

Njia ya mwongo ni fupi.
 

Nguruvi,

Ungesoma kitabu changu kuna mengi maswali ungepata majibu.

Muslim Congress iliazimia kujenga shule za masingi na upili na zilianza
kujengwa.

Yote nimeeleza katika kitabu.
Utanichosha ndugu yangu.

Hebu jitulize kwanza nenda
kasome kitabu kisha rejea hapa.
 
Nani alishtuka Abdu kukutana na Kenyatta? Mshtuko wenyewe utokane na nini? Kenyatta kama Abdu wote hawakuwa na elimu. Kenyatta kajenga nchi ya KIKABILA hasa katika ukanda huu.

Kenyata kajenga nchi ya kikabila??
Una uhakika??

Sasa nyerere kajenga nchi ya namna gani kwa haya yanayotokea sasa??

Basi nyerere kajenga Nchi ya UDINI BASI...!!
 

Nguruvi,

Ungesoma kitabu changu kuna mengi maswali ungepata majibu.

Muslim Congress iliazimia kujenga shule za masingi na upili na zilianza
kujengwa.

Yote nimeeleza katika kitabu.
Utanichosha ndugu yangu.

Hebu jitulize kwanza nenda kasome kitabu kisha rejea hapa.

Maalim Haruna Mungu amrehemu alikuwa akisema, ''Utalii na hayo
mabuku yako maana hizo ndizo silaha zako za kwenda katika vita.''

Nguruvi unakuja kwenye uwanja wa mapambano mikono mitupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…