Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kenyata kajenga nchi ya kikabila??
Una uhakika??

Sasa nyerere kajenga nchi ya namna gani kwa haya yanayotokea sasa??

Basi nyerere kajenga Nchi ya UDINI BASI...!!

DM,

Maneno haya hapo chini yamo katika kitabu changu:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"] [h=2]Conspiracy Theory[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"] At the moment there are two books in existence written by non-Muslims which proves that Christians have used their positions in the government to subvert Islam and Muslims.

Jan P van Bergen in his book, Development and Religion in Tanzania, (1981)
[1] divulges very incriminating information on former President Nyerere. The book gives details of how during his rule Nyerere used to have private confidential meetings with Bishops to discuss the future of Tanzania. In th

ose meetings Nyerere is reported to have assured Bishops of his continued support to Christianity.

The work reveals how Nyerere guaranteed Christians a privileged position and backed his promise by appointing them to important positions in his government and party.

This book was on sale at the Catholic Bookshop, Dar es Salaam, and was hurriedly withdrawn from sale after it was realised that it was revealing highly confidential and sensitive information on Islam.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] Jan P van Bergen, Religionand Development in Tanzania, (Madras, 1981). passim.

 
Kenyata kajenga nchi ya kikabila??
Una uhakika??

Sasa nyerere kajenga nchi ya namna gani kwa haya yanayotokea sasa??

Basi nyerere kajenga Nchi ya UDINI BASI...!!
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Conspiracy Theory

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]At the moment there are two books in existence written by non-Muslims which proves that Christians have used their positions in the government to subvert Islam and Muslims.

Jan P van Bergen in his book, Development and Religion in Tanzania, (1981)
[1] divulges very incriminating information on former President Nyerere. The book gives details of how during his rule Nyerere used to have private confidential meetings with Bishops to discuss the future of Tanzania.

In those meetings Nyerere is reported to have assured Bishops of his continued support to Christianity.

The work reveals how Nyerere guaranteed Christians a privileged position and backed his promise by appointing them to important positions in his government and party.

This book was on sale at the Catholic Bookshop, Dar es Salaam, and was hurriedly withdrawn from sale after it was realised that it was revealing highly confidential and sensitive information on Islam.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1]Jan P van Bergen, Religionand Development in Tanzania, (Madras, 1981). passim.
 

Mohamed Said

Ndugu yangu,facts kama hizi tusingezipata bila ya kuwa na watu sampuli yako,watu wenye uelewa na ujasiri wa kusimama hadharani tena bila kificho na was was wowote kuelezea kiunaga ubaga namna hii,

Ahsante sana..
 
Last edited by a moderator:

Gwalihenzi,

Mimi nimeandika historia ya wazee wangu ambayo kwa bahati nzuri
imefungamana na historia ya uhuru wa Tanganyika.

Hakuna popote niliposema kuwa kama si wazee wangu uhuru usingekuja.

Uongozi wa kwanza wa AA si mimi nimeulezea.

Kleist mwenyewe kaandika kumbukumbu zake na ukipenda na wasikizaji nao
wakitaka na waende pale Maktaba ya Chuo Kikuu sehemu ya East Africana
habari hizo zimehifadhiwa pale.

Mimi sijinukuu mwenyewe mimi naeleza yale niliyoandika na ninayoyajua.
Mimi siko humu JF kama mtuhumiwa hivyo nije na ushahidi kujitetea.

Narudia tena kusema si lazima uniamini.
Soma ikiwa unaona maandishi yangu ni ''ngano'' shika haamsini zako.

Hakuna atakaekulaumu.
 
Mohamed Said

Ndugu yangu,facts kama hizi tusingezipata bila ya kuwa na watu sampuli yako,watu wenye uelewa na ujasiri wa kusimama hadharani tena bila kificho na was was wowote kuelezea kiunaga ubaga namna hii,

Ahsante sana..

DM,

Katika moja ya dua zangu siku zote ni kumuomba Allah aniwezeshe
kuwaeleza Waislam yote ninayoyajua kuhusu historia yao na kuhusu
njama waliyofanyiwa ili wasinyanyuke wao na dini yao.

Najua si bure kuwa Allah amenitunuku mimi elimu hii na kunikunjulia
dunia nikitia mguu wangu sehemu ambazo sikutegemea kabisa.
 


Na hakuna atakae washikia bakora..

Kama wana uwezo na wao waandike wanayoyajua..
 


Na sisi tunathamini mchango huu,tunamshukuru sana Allah kwa neema hii,

Na tunathamini sio tu kwa kuwa anaelezea ni Muislam mwenzetu la hasha,tunafarijika kwa kuwa tuna iman na wewe kwamba awali ya yote una hofu na Allah s.w,so huwez kuja kuongea uwongo na uzushi kwani Allah s.w anaweza kuja kukuuliza siku ya Qiyama,kwaiyo sisi tunathamin na tunapata uelewa wa hali ya juu sana kuhusu uhalisia ulivyo sasa na nini kimepelekea hadi watu fulani kufutwa kwenye historia ya nchi hii,na wengine kufikia hatua ya kunyimwa fursa katika nchi yenye usawa na demokrasia kama wanavyosema..
 

sasa ukweli mmekwisha ujua, sasa nadhani maneno hayatasaidia kinachotakiwa mchukue hatua... Ninachotaka kuona ni hatua kuchukuliwa, kitabu kipo sokoni miaka 15 sasa mbona sioni hatua yoyote?
 

Tumeshalisema mara mia hapa kuwa AA haikuasisia na Klest, bali Mwalimu Cesil Matola Myao kwa kabila chini ya Sir Cameron
 
Tumeshalisema mara mia hapa kuwa AA haikuasisia na Klest, bali Mwalimu Cesil Matola Myao kwa kabila chini ya Sir Cameron

Yericko,

Mimi sina tatizo na hilo kama vile nisivyokuwa na tatizo na historia ya TANU.

Kuna wasemao TANU imeasisiwa na Nyerere St Francis College Pugu.

Hakuna ugomvi.

Ila nami asinikataze mtu nikisema TANU kaasisi Abdu Sykes na mikutano ya
siri wakifanya nyumbani kwake mjini Dar.
 
Reactions: Ami
Mashabiki wako wanaokuamini ndio wanao kuja na ushabiki na kutulazimisha kukuamini kama wanavyotaka wao! hio haiwezekani. Kama kreist aliandika kuhusu uongozi wa AA kwa mtazamo wake, wapo wengine walioandika kwa mtazamo mwingine. Kwa hiyo kama wasomi ni juu yetu kuyachambua mambo kisomi ili tupate "balanced information". Nakupata "balanced information" yatupasa tujiondoe kwenye ushabiki wa kiitikadi na dini yaani tuwe "objective". History deals with facts, it is the duty of a historian to analyse these fact and not historical opinions. Kwa hiyo basi, kusema watanganyika walipambana na ukoloni wa mwingereza ni "historical fact", kwamba Nyerere alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa TANU ni "historical fact". Ukisema kwamba kama sio wazee wa kiislam wa Tandamti na Gerezani kumkaribisha Nyerere Dar es Salaam na kumuonesha ukarimu wote pamoja na kumnunulia kitoweo, basi asingeijua TANU na kuja kuwa kiongozi wake, hiyo ni "historical opinion" ambayo wala sio msingi wa historia, naweza nikaaminini au nikatupilia mbali.
Kwa mtazamo huu Mohamed Saidi upo sahihi kabisa kututaka kuto amini masimlizi yako, kwani sehemu kubwa ya masimlizi hayo ni "Historical Opinions"ambazo si wajibiki kuziamini.
 
sasa ukweli mmekwisha ujua, sasa nadhani maneno hayatasaidia kinachotakiwa mchukue hatua... Ninachotaka kuona ni hatua kuchukuliwa, kitabu kipo sokoni miaka 15 sasa mbona sioni hatua yoyote?

Mkuu wa Chuo,

Hatua hazitangazwi hadharani.
Utaona mambo yanabadilika.

Hali si kama ilivyozoeleka.

Hapo jua hatua zilishachukuliwa
tena zamani sasa na ni matokeo
ya hatua hizo.
 
sasa ukweli mmekwisha ujua, sasa nadhani maneno hayatasaidia kinachotakiwa mchukue hatua... Ninachotaka kuona ni hatua kuchukuliwa, kitabu kipo sokoni miaka 15 sasa mbona sioni hatua yoyote?

Mkuu wa Chuo,
Si kila kitu kinawekwa hadharani.
 

Upi ukweli kati ya hayo mkuu? Kizazi hiki kipya kinatakiwa kulishwa yaliyomema na yahaki, sasa ikiwa wewe waamini lako nami naamini langu, je malimwengu waamini lipi?

Ndugu yangu Mohamed Said, ukweli utabaki kuwa kiongozi muasisi wa AA ni Cesil Matola, kiongizi muasisi wa TAA Klest Sykes akishirikiana na mwanae Abdul, Kiongozi muasisi wa TANU ni Julius Kambarage Nyerere na si mwingine yeyote, aliiasisi mtaa wa Lumumba na sio St. Frances Pugu,

Kumbuka na elewa hapa ili uwe mwasisi ni lazima uwe kiongozi mkuu wa chama hichonpale kinapoanzishwa ama kubuniwa au kwa lugha nyingine huitwa kuzaliwa kwa chama.


Tuache kupotosha historia ya kweli iliyojiumba yenyewe bila mawaa.
 

Yericko,

Hapana tatizo.

Katika maktaba kitabu changu kipo katika catalogue na category moja na
kitabu cha Kivukoni.

Vitabu hivi viwili vyote vinaelezwa ni vitabu vya historia ya Tanganyika.

Msomaji au mtafiti wa historia ya uhuru wa Tanganyika itabidi asome vitabu
vyote viwili.

Huu ndiyo usomi.
Hukubaliani na aliyosema mwenzako unakuja na kitabu kueleza unayoyajua.

Bila ya kuja na kitabu kikajibu kitabu changu...
Uwanja katika maktaba utabakia wangu peke yangu.
 
DM,

Mimi nimewasihi sana kuandika yake wanayoyajua katika historia
ya uhuru wa Tanganyika.

Wameshindwa.
Hatujashindwa, usiokote mpira ungali haujavuka mstari wa goli.

Mimi binafsi ninauwezo wa kuandika kitabu cha kufifisha kitabu chako kwa mda wa siku 14 tu tangu nikitoe, lakini sioni haja hiyo ya kuwavuruga watanzania wakati uwezo wa mimi kukukanya wewe hapahapa jukwaani upo.

Historia ya uhuru tayari ipo, na haijaandikwa maramoja tu, vitabu vingi vimeeleza kwa mapana yake, masimulizi mengi yamejipembua vyakutosha hivyo kuidanganya jamii huko unakofanya hakusaidii taifa bali kulihatarisha tu,

Kuwadhihaki wazee wetu waliotuletea uhuru na kuchochea chuki miongoni mwa jamii za kitanzania hakufai na kukemewe na kila mmoja hasa hizi chuki za kidini.
 
Mohamed unachanganya habari, kwani wewe umeandika kitabu cha historia ya uhuru wa Tanganyika au umeandika historia ya wazee wako wa gerezani?

Msingi wa mjadala huu ni maudhui ya kitabu chako ulichokiita ni cha wazee wako wa gerezani aghalabu kitabu hicho kinajipa jukumu la kuinjilisha habari za uhuru kwa tanganyika yote.

Hapa ndipo mzio wa hoja na mabishano haya.
 
Ushahidi kwamba Abdu alikutana na Kenyatta ni maandishi yako tu? Hata kama walikutana, cha mno nini hasa! Weka ushahidi ulio juu ya maandishi yako haya ambayo baadhi yetu tunayatilia mashaka.

Mwalimu tunayemfahamu baadhi yetu asingeweza kukujibu upuuzi wako huu. Wewe umesimuliwa, Mwalimu alikuwepo, anajua alivyoishi na kufanyakazi na wazee wako hawa. Mwalimu ni sehemu ya HISTORIA ya NCHI hii. Asingeweza kuiandika historia bila kuonekana amejipendelea.

Mzee Mohamed, HISTORIA ya NCHI haiwezi kuandikwa na mtu mmoja, anakaa chumbani kwake na mkewe, anaibuka na mambo ya ajabuajabu, halafu anataka watu woote waamini alichokiandika kwa kuwa kimetoka kwa wazee wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…