Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mkuu vibarazani huwezi kupata historia ya uhuru? Chukua mfano baba yako nyerere yupo barazani anapata upepo huku anapata chai au chochote kile (sitaki niseme kahawa)!, akakueleza mambo ya uhuru hutaamini kwa kuwa yupo barazani?

Itaitwa ngano/simulizi

Histiria ni huwa inajiumba, na haisimuliwi kwa makengeza hata siku moja,

Na zaidi historia ya NCHI haiandikwi na mtu mmoja tena mwenye mlengo wakipekee.
 
Asalaam Aleykum.

Walinilamba ban ya "ubaguzi wa ujinga".

Naona wagala mpaka sasa wanahaha na hawajaweza kukionesha walichokiweka kama kichwa cha habari, "kichwa kingine, utumbo mwingine".
 
G,

Nimeulizwa kama Nyerere kakisoma kitabu
changu.

Nikajibu alipewa mkononi.

Nikaulizwa Nyerere kapewa kitabu na nani.
Nikajibu na mtu sote akitufahamu.

Kejeli zikashuka.

Mimi kuondoa ngoma juani nikaona sina haja
ya kubisha na mtu.

Ndipo nikasema kwangu mimi kuwa Nyerere
kanisoma au vinginevyo si muhimu.

Juu ya hili Mwanakijiji akaendelea kunikejeli.
Ndipo nikamuuliza mbona tunafatanafatana?
Umeanza kuandika kitabu hiki Mwalimu akiwa hai na akili yake timamu. Ulijua unaandika ujinga mwingi kumhusu yeye. Haukutaka kum-consult ili kujiridhirisha na unachotaka kukiandika kumhusu yeye. Unamaliza kukiandika kitabu unatafuta watu kumpelekea kitabu kile. Unasubiri Mwalimu kwa hadhi yake akujibu simulizi zako hizi ulizoziita za wazee wako!

Hivi kweli Mwalimu angeamua kujibu yote anayoyajua kuhusu wazee wako hawa nchi ingebaki? Mwalimu asingetegemea simulizi au mafaili ya mtu mwingine. Ridhika tu na chambuzi ulizopata humu. Ni nzito na kutoka kwa watu wengi. Simulizi zako nyingi ziko hivi:
It was believed Tewa's appointment to Peking was not unconnected with his efforts to mobilise Muslims and to unite them under one strong organisation.

Akuamini nani?
 
ASANTE kwa darsa Mohamed Said,kumbe huyu,Africa yote ndio alikuwa mwafrika wa kwanza kuwa Docter!!!!!!!!!!!!!
"Dr Mutahangarwa was the first African to qualify as a medical doctor."
 
Last edited by a moderator:
Asalaam Aleykum.

Walinilamba ban ya "ubaguzi wa ujinga".

Naona wagala mpaka sasa wanahaha na hawajaweza kukionesha walichokiweka kama kichwa cha habari, "kichwa kingine, utumbo mwingine".
Posts zinapitiliza 8500 kichwa ni kingine, utumbo mwingine. Hakuna thread imewahi kuchangiwa na kunoga kama hii humu JF
 
Umeanza kuandika kitabu hiki Mwalimu akiwa hai na akili yake timamu. Ulijua unaandika ujinga mwingi kumhusu yeye. Haukutaka kum-consult ili kujiridhirisha na unachotaka kukiandika kumhusu yeye. Unamaliza kukiandika kitabu unatafuta watu kumpelekea kitabu kile. Unasubiri Mwalimu kwa hadhi yake akujibu simulizi zako hizi ulizoziita za wazee wako!

Hivi kweli Mwalimu angeamua kujibu yote anayoyajua kuhusu wazee wako hawa nchi ingebaki? Mwalimu asingetegemea simulizi au mafaili ya mtu mwingine. Ridhika tu na chambuzi ulizopata humu. Ni nzito na kutoka kwa watu wengi. Simulizi zako nyingi ziko hivi:
It was believed Tewa's appointment to Peking was not unconnected with his efforts to mobilise Muslims and to unite them under one strong organisation.

Akuamini nani?

WC,

Sikuandika kitabu kile ili niaminiwe.
Sikunyanyua kalamu ili Nyerere anijibu.

Nimeandika historia ya wazee wangu baada ya
kuona wamefutwa katika historia ya Tanganyika.

Wala siko humu kutaka niaminiwe haya nisemayo.

Mimi natosheka sana kuwa kuna wasilizaji sasa
wanakaribia 90,000 wako hadhir kusikiza historia
ambayo hawakupatapo kuisikia hata siku moja.
 
Asalaam Aleykum.

Walinilamba ban ya "ubaguzi wa ujinga".

Naona wagala mpaka sasa wanahaha na hawajaweza kukionesha walichokiweka kama kichwa cha habari, "kichwa kingine, utumbo mwingine".
Pole sana kwa ban ndugu yangu mpendwa Zomba, furaha yangu ni kukuona upo hewani tena,

Karibu kwenye mnakasha huu kwamara nyingine mkuu
 
Umefanikiwa kiasi gani katika hili la kuwaweka kwenye historia ya Tanganyika? Wamebaki na watabaki kwenye kitabu chako tu. Hao wasikilizaji 90,000 tumechangia sote kuwavuta humu au wanakusoma wewe tu?
 
WC,

Sikuandika kitabu kile ili niaminiwe.
Sikunyanyua kalamu ili Nyerere anijibu.

Nimeandika historia ya wazee wangu baada ya
kuona wamefutwa katika historia ya Tanganyika.

Wala siko humu kutaka niaminiwe haya nisemayo.

Mimi natosheka sana kuwa kuna wasilizaji sasa
wanakaribia 90,000 wako hadhir kusikiza historia
ambayo hawakupatapo kuisikia hata siku moja.

Ni kweli unasema hukuandika kitabu hicho ili uaminiwe?

Je ulikituma kwa Mwalimu ili iweje?
 
Asalaam Aleykum.

Walinilamba ban ya "ubaguzi wa ujinga".

Naona wagala mpaka sasa wanahaha na hawajaweza kukionesha walichokiweka kama kichwa cha habari, "kichwa kingine, utumbo mwingine".

Zomba umerudi bado Ritz.
 
Pole sana kwa ban ndugu yangu mpendwa Zomba, furaha yangu ni kukuona upo hewani tena,

Karibu kwenye mnakasha huu kwamara nyingine mkuu

sidekick zomba afadhali umerudi,maana wakati mwingine tone ya lugha ya Mohamed Said inaacha a lot to be desired,it seems the burden on his shoulders imekuwa unbearable,na anonyesha hallmarks zote za kicks of a dying horse
 
Last edited by a moderator:
Kama nulivyofanikiwa kukuweka katika uzi huu ndivyo nitakavyo kuweka katika andishi la kitabu ikiwa nitataka iwe hivyo.

Sioni sababu ya kushindwa, ikiwa tangu tarehe 12/1/2013 nimefanikiwa kukupa makazi yakudumu katika uzi huu kwa masaa 24/7, nitashindwaje kwa andishi la kitabu?

Faida unayoipata hapa ni robo tu ya kitakachu kuwamo kwenye andishi la kitabu hicho.

Yericko,

nakupa heko kwa kuanzisha mjadala huu,

ila anaenifanya nikeshe hapa 24/7 ikibid hata ikiwa 365 ni ndugu yangu Mohamed Said,

na si wewe,wewe una nini??

zaid ya kudandia dandia hoja za watu tuh??

umekimbilia hadi nasaba isiyokuhusu sembuse kujenga hoja??

Huna lolote la kututambia..
 
Last edited by a moderator:
Asalaam Aleykum.

Walinilamba ban ya "ubaguzi wa ujinga".

Naona wagala mpaka sasa wanahaha na hawajaweza kukionesha walichokiweka kama kichwa cha habari, "kichwa kingine, utumbo mwingine".

zomba a.k.a Mzee wa hints..

Waleikum salaam warahmatullah wabarakatuh,,

Wagala washaanza kulia na kusaga meno kwa kuuona ujio wako..
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuwa wengi wanaosema Mohamed Said,ni mchochez nimewafatilia ni watu wa iman ya upande wa pili,na wengi wanaosema Mohamed Said yuko sahihi na kafanya kazi iliyotukuka wanaonekana ni Waislam,,

sasa tujiulize ni Jihad against Crusade?kama si hivyo ni upande upi umekuja kwa hoja zenye kushibisha akili na ubongo?

Na ni upande upi hasa ni wachochezi?

Nachelelea kusema ya kwamba elimu iliyotolewa na Ndugu yangu Mohamed Said haina kifani,wengi tunakiri na kushukuru kwa uwepo wake huyu Bwana Mkubwa..
 
Last edited by a moderator:
naomba ushahidi wa hapo nilipoweka rangi.
Soma vizuri utauona ushahidi. Ushahidi si kutoka kwangu ni kutoka kwa Mohamed.
Mo anasema ''radical muslims opposed Nyerere....'' na wakaunda AMNUT ili kumpinga kwa sababu ya ukristo.
Walijaribu kumondoa madarakani waliposhindwa wakaunda AMNUT.

Masalia ni Jamaiatul ambayo ndiyo ilikuwa pamoja na EAMWS.
Kwahiyo ushahidi anao Mo mimi ni mshereheshaji tu.
 
Back
Top Bottom