Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
zomba
twashangaa,eti sisi tukeshe hapa,tukeshe kwa ajili yake yeye??
yeye mdandia nasaba za watu ana nini??
Mohamed Said,ndie haswa anaetufanya tukeshe hapa 24/7,na ikibid hata 365 sisi tutakesha hapa,na si yeye,,
Yericko tunampa heko kwa kumwita mkwasi wa historia ndugu yetu kipenz Mohamed Said,
Yeye ajivunie kuwa verified user tuh,hana lolote,mtupu kichwani kama boxi..
halafu eti anakulinganisha na zomba , kwamba wewe kwa zomba si kitu wala si chochote.
ngoja ntakinunua nikisome, wapi vinapatikana?Z,
Sijapata kokote kuzungumzia habari ya vyeo.
Ingekuwa vyema ukasoma kitabu changu kwanza kabla ya kuja jamvini.
Kwa staili hii yako unapoozesha mnakasha.
Tafsiri ya majibu haya nikuwa uwanja wa hoja umeshindwa
ngoja ntakinunua nikisome, wapi vinapatikana?
Sasa kumbe hata kitabu hujakisoma,upo hapa unabisha bisha na kukejeli unabishia kitu gani??
Au unataka nawewe uonekane kuwa upo na unabwabwaja bwabwaja tuh?
Hujui kilichomo kwenye kitabu,umekaa kukimbilia na kushabikia mambo kwa kufuata mkumbo bila kujisimamia wewe mwenyewe tukuweke kwenye kundi gani??
As time goes,mnazid kuuonesha ujinga wenu wazi wazi,,
Nakushauri usipoteze muda na sisi,hautatuweza.
ngoja ntakinunua nikisome, wapi vinapatikana?
zomba
twashangaa,eti sisi tukeshe hapa,tukeshe kwa ajili yake yeye??
yeye mdandia nasaba za watu ana nini??
Mohamed Said,ndie haswa anaetufanya tukeshe hapa 24/7,na ikibid hata 365 sisi tutakesha hapa,na si yeye,,
Yericko tunampa heko kwa kumwita mkwasi wa historia ndugu yetu kipenz Mohamed Said,
Yeye ajivunie kuwa verified user tuh,hana lolote,mtupu kichwani kama boxi..
kwa hiyo kina tofauti na hizi ngano zilizokosolewa hapa?DM,
Hiki kitabu changu kwa kweli hakisomi mtu sharti ataathirika.
Hii ni ibra ya historia hii.
Nasema haya si kwa kujisifu ila kwa kutokana na watu ambao
wamezungumza na mimi baada ya kukisoma hiki kitabu.
Ningeweza kuweka majina yao hapa wote mngestaajabu.
Huu ndiyo ukweli wa mambo.
Inaonesha umejisahau kuwa tuko kwenye "dot com age", haina haja ya wao kukutumia "tape/cd" wanakurushia tu kupitia internet. Ongea nao, usihofu, halafu Mwambie Yericko Nyerere anipe contacts zake na mimi namrushia "equivalent" ya dollar 100 kwa Mpesa.
Dot com.
Naelewa sana. Inaniwia vigumu kufahamu "mtoto" wa Nyerere, Yericko Nyerere kushindwa kupata hotuba ya Mzee wake.
Na hii ndio inawezekana kabisa ikawa ndio sababu yake/yenu ya kushangazwa ni vipi Mohamed Said ajuwe habari za wazee wake, mpaka inawafanya muwe mna-haha.
Mnasikitisha sana.
Nilikuwa napenda sana kuuliza kama umejifunza mantiki; lakini kama umejifunza na bado unaandika unavyoandika itabidi tumtafute Mwalimu wako tumuulize alikufundisha mantiki gani...
nimeshakupuuza wewe muathirika wa mfumo kristo.Sasa kumbe hata kitabu hujakisoma,upo hapa unabisha bisha na kukejeli unabishia kitu gani??
Au unataka nawewe uonekane kuwa upo na unabwabwaja bwabwaja tuh?
Hujui kilichomo kwenye kitabu,umekaa kukimbilia na kushabikia mambo kwa kufuata mkumbo bila kujisimamia wewe mwenyewe tukuweke kwenye kundi gani??
As time goes,mnazid kuuonesha ujinga wenu wazi wazi,,
Nakushauri usipoteze muda na sisi,hautatuweza.
"Our own responsibility for Tanganyika has been a short one, of only some 40 years. We took the country over as a mandated territory after the First World War and continued to look after its wellbeing until after the Second World War, when the United Nations came into being and it became a Trust territory. We have carried on with it as a Trust territory ever since."
This is, as I say, most satisfactory; and the main credit for it goes to the Prime Minister of Tanganyika, Mr. Julius Nyerere. No doubt many of your Lordships know him. He is a man of great wisdom and charm, very skilful in negotiation and, perhaps I should say, moderate in his presentation of his demands. The result of all that, and the peaceful way in which the country has been led to its present state, has been a natural one-namely, that one is predisposed to try to help him forward on the road that he has set
Its Prime Minister is only 38 years of age to-day. He took his final degree at Edinburgh University, and although only 38 has already been in office for a long time in Tanganyika. I should like to pay a great personal tribute to him for the manner in which, at the various stages of the negotiations-on one or two points I think there was a little difficulty-as the noble Earl has said, he nevertheless emerged very satisfactorily in the end.
First, the Governorship of Sir Donald Cameron. He was a great Colonial Governor; a far-sighted man and one who had genuine sympathy for the native population for whom he was responsible.
So in the space of 42 years we have achieved our target and Tanganyika is gaining its independence peacefully and without the recriminations and troubles which have unfortunately been experienced in some other Colonial territories. A great deal of the credit for this satisfactory situation must be given to Mr. Julius Nyerere, who is the undisputed national leader. He is a good Christian ("Kwa MS na vijana wake lazima wahemuke hapa, lakini hivi ukisema Kikwete is a good muslim is there something wrong?"), a man of high principles and strong convictions, who has shown himself not only to be an outstanding political leader but also to be a statesman. One of his achievements has been to preserve the tribal system, which is still strong in Tanganyika and which means so much to the ordinary African in his day-to-day life. But he has done this without allowing it to become a power in national politics. A lesser man could not have recognised the part still to be played in the life and prosperity of the country by non-Africans.
Mohamed Said katika hadithi zake zote anajaribu kulazimisha jambo lisilokuwepo. Kana kwamba uhuru wa Tanganyika ulipatikana kwa kutumia nguvu. Wakati ni ukweli ulio wazi kwamba uhuru ulipatikana kupitia intellectualism. And guess who provided the necessary intellect by then!!!!! Leo tutaweka darsa kwa wale wanaolishwa ngano na kuziamini bila hata kufikiri wala kufanya utafiti.
Kwanza historia ya uhuru wa Tanganyika haianzii kwa Kleist Sykes, that is a lie "an absolute lie". Historia ya uhuru wa Tanganyika inaanzia kushindwa vita wajerumani: Kama wasemavyo wakoloni wenyewe hapa chini:
To make a long story short ni kwamba baada ya Tanganyika kuwa Trust territory under UN charter, kilichotakiwa kufanywa na watanganyika ni kuonyesha kuwa wako tayari kujitawala. And guess what, A Tanganyikan presented a case before a UN on behalf of the people kuwa tuko tayari kujitawala. Hapo hakukuwa na dini wala baba yake kabila bali ni hoja ya why should Tanganyilka be independent. UN walituma wawakilishi wao kuja kuhakiki and they went all around Tanganyika na ndipo hapa role ya vyama vya wakulima kama vile KNCU, RNCU, KCU vilipoplay part yake. MS awaeleze wawakilishi wa UN walifika gerezani na walikutana na nani?
And guess who made our case, hii ni kwa mujibu wa wakoloni waliokuwa wakisisitiza kuwa hatuko tayari kujitawala:
More:
The statement below has a lot to do with Nyumba inayodaiwa kupewa AA:
Wakoloni wanaendelea:
In short hakuna cha bastola ya Abdu wala mgomo uliyoorganiziwa na Babu ya MS au kifimbo cha Nyerere ndiyo vilimuondoa mkoloni. Time was up and the case was stated and proven. And the guy who did it made it because of intellect and wisdom that was acquired thru education period. Hizi habari za kina kiatu sijui Nyerere alikula dinner na nani au alilala wapi is just spicing of the whole event!
Post ifuatayo nabandika the hansard kutoka bunge la uingereza yenye jina:
TANGANYIKA INDEPENDENCE BILL
HANSARD 1803–2005 → 1960s → 1961 → November 1961 → 16 November 1961 → Lords Sitting
HL Deb 16 November 1961 vol 235 cc732-58
Ingieni humo mpate darasa.
Waaaooo thank you god!
Karibu sana mkuu, nilikumisi sana rafiki yangu,
Samahani yako nimeipikea kwamikono miwili kabisa,
Tupo tunasonga mbele mkuu