Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wewe ni mzee mpuuzi na muongo wa kutisha sana! hayo majivuno na majigambo yasiyo na maana wala ukweli wapelekee watu wako wa kwenye mihadhara yako ambao wanakuona kama mtume wao. TANU ilikuwa "mass party"ikiwahusisha watanganyika wengi sana ambao kwa kila siku waliongezeka idadi. Iweje wewe useme ni wewe pekee ndie unayejua historia ya uhuru.?
Mara ngapi humu jamvini umeoneshwa uongo na uzandiki wako, na wewe kwa aibu sana ukaishia kudai kuwa umeandika historia ya wazee wako na hivyo wengine waandike ya kwao? vipi sasa unakuja na majivuno ya kipumbavu ati wewe pekee ndie unayejua historia ya uhuru?
Unakuja na swali la kipumbavu ati "ninani hapa jamvini aelezae historia ya TANU?", Mohamed, mara hii umesahau kuwa ulidai kuwa uliandika historia ya wazee wako waliosahauliwa na sio historia ya TANU? umekosa mshipa wa aibu katika umri wako mkubwa? Mara ngapi umeoneshwa ushiriki wa watu wengine nje ya Gerezani na Tandamti katika harakati za TANU kupigania uhuru ukabaki ni vilio vya kipumbavu vya historia ya wazee wako?
Mohamed Said, nakwambia wazi kabisa kwamba wewe huna unalolijua kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyiaka zaidi ya uzandiki, uzushi, uongo, uchochezi, fitina, majungu na kuwakatisha tamaa vijana wa kiislam wa Tanganyika wasijiamini ili wewe uwatumie katika kujipatia umaarufu wakipumbavu ambao kwa umri wako mkubwa hautakuwa na manufaa yoyote zaidi ya kuchukiwa na wapenda amani wa nchi hii.

We have legitimate concern to defend our true history Gwalihenzi..

Acha zako hizo precautionary principles,
Trying to stop what moh said is doing now by fearing the future of our country's stability without realizing that moh said is not the source..

Acha jazba,
 
Mwanzoni pale nilipata huzuni na kuhisi ya kwamba utatuacha na kuondoka zako,ila nimefarijika kwa uwepo wako hadi dakika hii,kwa kweli mengi nimenufaika kwa elimu yako,,

Nawaonea huruma hao aliowasema boko haramu wanaojaribu kupiga kichwa ukuta na kuishia kuusikitikia ukuta badala ya kusikitikia vichwa vyao..
Hawakuwezi na hawatakuweza..

The Big Show,
Ahsante sana.

Nakupa zawadi hii mpe rafiki yetu.
Usisahau kumuuliza...

Nani anaetoa darsa.
Yeye au Mohamed Said?

Nani anatukana?
Mohamed Said au nani?

Huyu ninaemzungumza hapa Ahmed Rashad Ali alikuwa rafiki kipenzi cha Abdu Sykes
walijuana wakati wa Bank Holiday sasa tunaita Sport wakati wa Easter Wazanzibar na
Watanganyika wanatembeleana.

Walikutana Arab Association Club mwaka 1939 na wakawa marafiki wakubwa hadi Abdu
anaaga dunia.

Ahmed Rashad Ali na Abdu Sykes waliishi nyumba moja Cairo 1964.

Mzee Rashad ni mmoja wa watu walionipa ya ''ndani'' wakati natafiti kitabu changu.

Huyu Ahmed Rashad Ali alikuwapo siku Abdu alipofanya mkutano na akina Kenyetta, Kungu
Karumba, Bildad Kaggia, Achieng Oneko Nairobi 1950.

Huyu hapa chini Ahmed Rashad Ali:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rashad was employed by Radio Cairo, the radio station set up by President Gamal Abdel Nasser soon after the 1952 Free Officers revolution to broadcast propaganda on behalf of liberation movements in African countries. Among the revolutionaries who worked with Radio Cairo was Sam Nujoma, later to be president of Namibia; Marcellino Dos Santos of Mozambique, and Reuben Kamanga, later vice-president of Zambia. Kanyama Chiume of Nyasaland was given airtime to broadcast to his country whenever he passed through Cairo. The broadcasting house was in Zamalek Street in central Cairo and the Egyptian government provided offices and diplomatic status to the liberation movements as well as bilingual secretaries.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 595, bgcolor: transparent"]Radio Cairo took a very radical and partisan approach in its broadcasts and came to be very popular in East Africa. Rashad’s name came to be synonymous with the radio station. Rashad also operated a pirate radio station-Radio Free Africa, also sponsored by Nasser. OnRadio Free Africa there were no diplomatic niceties in its broadcasts. A spade was called a spade. While on Radio Cairo Rashad played popular music, in Radio Free Africa he played martial music and other revolutionary songs from East Africa. And this is what added flavour to Rashad’s broadcasts to Africa. Rashad was so effective that Britain lodged a compaint to the Egyptian government that these broadcasts had to be stopped or Britain would halt economic aid to Egypt. Britain referred to Rashad as ‘that communist from Zanzibar’. Nasser ignored the threat and ordered Muhammad Faik, the Egyptian Minister responsible for African Affairs and Nasser’s right hand-man, to tell Rashad to continue with the good work. Nasser’s instructions to Rashad were that only the Queen of England was to be spared. All others were to be put under the hammer. It is an irony of history that some of the countries such as Kenya which Nasser supported turned their backs on Egypt and embraced Israel.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 595, bgcolor: transparent"]In the early days of the cold war following the end of the Second World War, Mashado’s glorification of the Soviet Union was unparalleled. Mashado was an ardent listener of Ahmed Rashad’s broadcasts on Radio Free Africa from Cairo attacking ‘imperialism and its lackeys’. It was from this radio station that Mashado got some of the material for his editorials and articles. The music of Abdulwahab and Um Kulthun added flavour to those highly-charged political broadcasts. In those days very few Africans could afford radio sets and it was therefore very common to find people in Dar es Salaam standing near an Arab shop or hotel, particularly in the evenings, listening to the radio broadcasts. Mashado’s paper and Rashad’s broadcasts became a source of moral support to TANU and provided a challenge against colonial propaganda machinery.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Boko Haram,
Ahsante sana.

Nakupa zawadi hii mpe rafiki yetu.

Huyu ninaemzungumza hapa Ahmed Rashad Ali alikuwa rafiki kipenzi cha Abdu Sykes
walijuana wakati wa Bank Holiday sasa tunaita Sport wakati wa Easter Wazanzibar na
Watanganyika wanatembeleana.

Walikutana Arab Association Club mwaka 1939 na wakawa marafiki wakubwa hadi Abdu
anaaga dunia.

Ahmed Rashad Ali na Abdu Sykes waliishi nyumba moja Cairo 1964.

Mzee Rashad ni mmoja wa watu walionipa ya ''ndani'' wakati natafiti kitabu changu.

Huyu Ahmed Rashad Ali alikuwapo siku Abdu alipofanya mkutano na akina Kenyetta, Kungu
Karumba, Bildad Kaggia, Achieng Oneko Nairobi 1950.

Huyu hapa chini Ahmed Rashad Ali:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rashad was employed by Radio Cairo, the radio station set up by President Gamal Abdel Nasser soon after the 1952 Free Officers revolution to broadcast propaganda on behalf of liberation movements in African countries. Among the revolutionaries who worked with Radio Cairo was Sam Nujoma, later to be president of Namibia; Marcellino Dos Santos of Mozambique, and Reuben Kamanga, later vice-president of Zambia. Kanyama Chiume of Nyasaland was given airtime to broadcast to his country whenever he passed through Cairo. The broadcasting house was in Zamalek Street in central Cairo and the Egyptian government provided offices and diplomatic status to the liberation movements as well as bilingual secretaries.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 595, bgcolor: transparent"]Radio Cairo took a very radical and partisan approach in its broadcasts and came to be very popular in East Africa. Rashad's name came to be synonymous with the radio station. Rashad also operated a pirate radio station-Radio Free Africa, also sponsored by Nasser. OnRadio Free Africa there were no diplomatic niceties in its broadcasts. A spade was called a spade. While on Radio Cairo Rashad played popular music, in Radio Free Africa he played martial music and other revolutionary songs from East Africa. And this is what added flavour to Rashad's broadcasts to Africa. Rashad was so effective that Britain lodged a compaint to the Egyptian government that these broadcasts had to be stopped or Britain would halt economic aid to Egypt. Britain referred to Rashad as ‘that communist from Zanzibar'. Nasser ignored the threat and ordered Muhammad Faik, the Egyptian Minister responsible for African Affairs and Nasser's right hand-man, to tell Rashad to continue with the good work. Nasser's instructions to Rashad were that only the Queen of England was to be spared. All others were to be put under the hammer. It is an irony of history that some of the countries such as Kenya which Nasser supported turned their backs on Egypt and embraced Israel.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 595, bgcolor: transparent"]In the early days of the cold war following the end of the Second World War, Mashado's glorification of the Soviet Union was unparalleled. Mashado was an ardent listener of Ahmed Rashad's broadcasts on Radio Free Africa from Cairo attacking ‘imperialism and its lackeys'. It was from this radio station that Mashado got some of the material for his editorials and articles. The music of Abdulwahab and Um Kulthun added flavour to those highly-charged political broadcasts. In those days very few Africans could afford radio sets and it was therefore very common to find people in Dar es Salaam standing near an Arab shop or hotel, particularly in the evenings, listening to the radio broadcasts. Mashado's paper and Rashad's broadcasts became a source of moral support to TANU and provided a challenge against colonial propaganda machinery.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ahsante sana..

Wao wangeyajulia wapi mambo kama haya?
kama shukrani wanashindwa kuitoa kwa elimu huu basi waache zao kejeli na dharau,
kuna watu zaid ya 10,000 wananufaika na uwepo wako hapa..
 
Ahsante sana..

Wao wangeyajulia wapi mambo kama haya?
kama shukrani wanashindwa kuitoa kwa elimu huu basi waache zao kejeli na dharau,
kuna watu zaid ya 10,000 wananufaika na uwepo wako hapa..

Big Show,

Watazamaji wamepita 100,000...
Sio 10,000

10,000 ni ngoma ya watoto haikeshi.
Yule Allah hakumjalia wazee alonijalia mie.

Mimi nashukuru nimezaliwa wakati wa watu
hawa na Mola akanipa ile akili ingawa ya kitoto
ya kudadisi kila nilichoona na kusikia.

Hawa wote mimi nimewaona kwa macho yangu
wakinijua vizuri hadi nakuwa mtu mzima.

Namshukuru Allah kwa hidaya hii.
 
Sawia kabisa Moh Said...

Mimi nafurahishwa sana kwa jinsi unavomwaga data zako,yani hubakishi hata chembe,

Nakufananisha kama na mwanamasumbwi Mohammad Ally,jins unavojimwaga mwaga ni kama vile Ally anavodance dance ulingoni na kumtandika opponent wake taratibu bila papara wala pupa ili kuwasterehesha watazamaji,yani anajua fika pambano hili nalimaliza ndani ya round ya tatu ila analipelekapeleka hadi round za mbele ili watazamaji wafaidi pesa yao waliyoitoa..

Mpambano huu ulishaumaliza tokea mda mrefu sana,ila unawadokoa dokoa ngumi za mbavuni ili kuwatenza nguvu,
Wamechooka na hawajiwezi,wameshindwa kabisa..

Wanalia na kusaga meno..
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Nafyonza elimu taratibani kisha nakwenda zangu kazi yangu ni kucopy kwenye Laptop yangu.
 
Ahsante sana..

Wao wangeyajulia wapi mambo kama haya?
kama shukrani wanashindwa kuitoa kwa elimu huu basi waache zao kejeli na dharau,
kuna watu zaid ya 10,000 wananufaika na uwepo wako hapa..

HISTORIA anatoa,tunapata faida surprising enough anaipindapinda ili kukidhi agenda yake ya siri-matokeo yake fanatical blind followers yaani yes man amewapata sana
 
Padre Art Wille alikuwa akimlipa shilingi mia sita 600/= Mwalimu Nyerere akiwa tangu alipoamua kuacha kazi pale Pugu,

Mzee Nyerere aliwahi kusema kuwa Art alikuwa ni bosi wake muhimu,

Kumbuka Art alikuwa ni Padre wa kikatoliki akihudumu katika shirika la Maryknoll ambalo ndilo liliratibu safari ya kwanza ya Mwalimu pale UNO.

Kitu kingine mkuu: Nani alihusika kumtafutia Scholarship ya kwenda kusoma Scotland Mwalimu Nyerere, mfadhili mkuu alikwa ni nani?
 
HISTORIA anatoa,tunapata faida surprising enough anaipindapinda ili kukidhi agenda yake ya siri-matokeo yake fanatical blind followers yaani yes man amewapata sana

Sisi sio Fanatical blind sawa boss kwakweli nimemfuatilia mzee anaitwa BILAL WAIKELA nashukuru nimemfuatilia sana kwenye kesi ya sheikh Ponda amezungumza point nyingi sana na nimejua mengi aliyoyafanya Nyerere juu ya uislam
 
Kitu kingine mkuu: Nani alihusika kumtafutia Scholarship ya kwenda kusoma Scotland Mwalimu Nyerere, mfadhili mkuu alikwa ni nani?

In 1946 he took on his staff a young teacher called Julius Nyerere who had just graduated from Makerere, the future President of Tanzania. Walsh shared many ideas with Nyerere and encouraged him in his political career. In 1946 Walsh moved to Dar es Salaam, where he remained for a decade, having been appointed Education Secretary for the Tanganyika Bishops, representing the Catholic Missions at the government department of education. During this period he helped Nyerere get into Edinburgh University for studies in History and Economics. (Did Nyerere perhaps visit St.Boswell's during this time?) On his return Walsh encouraged him to work full time for political independence.
 
Buk,

Nakuomba usome kitabu changu kuna historia nzima ya viongozi wa TAA na TANU.
Yote kuhusu safari ya UNO yamo mle.

Nachelea kuleta ugomvi barzani.

Ok, kinapatikana wapi - kuna mambo muhimu nataka ku-compare na ku-contrast nayale niliyo wahi kusikia/pata kutoka kwenye reliable sources nyingine. Thanks in advance.
 
Mohamed Said if my memory serves me right,kuna wakati DAR kulikuwa na pirate radio ambayo ilikuwa against the government nadhani ilikuwa 70"s. Hii radio kweli ilikuwepo au nachanganya mambo
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mzee mpuuzi na muongo wa kutisha sana! hayo majivuno na majigambo yasiyo na maana wala ukweli wapelekee watu wako wa kwenye mihadhara yako ambao wanakuona kama mtume wao. TANU ilikuwa "mass party"ikiwahusisha watanganyika wengi sana ambao kwa kila siku waliongezeka idadi. Iweje wewe useme ni wewe pekee ndie unayejua historia ya uhuru.?
Mara ngapi humu jamvini umeoneshwa uongo na uzandiki wako, na wewe kwa aibu sana ukaishia kudai kuwa umeandika historia ya wazee wako na hivyo wengine waandike ya kwao? vipi sasa unakuja na majivuno ya kipumbavu ati wewe pekee ndie unayejua historia ya uhuru?
Unakuja na swali la kipumbavu ati "ninani hapa jamvini aelezae historia ya TANU?", Mohamed, mara hii umesahau kuwa ulidai kuwa uliandika historia ya wazee wako waliosahauliwa na sio historia ya TANU? umekosa mshipa wa aibu katika umri wako mkubwa? Mara ngapi umeoneshwa ushiriki wa watu wengine nje ya Gerezani na Tandamti katika harakati za TANU kupigania uhuru ukabaki ni vilio vya kipumbavu vya historia ya wazee wako?
Mohamed Said, nakwambia wazi kabisa kwamba wewe huna unalolijua kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyiaka zaidi ya uzandiki, uzushi, uongo, uchochezi, fitina, majungu na kuwakatisha tamaa vijana wa kiislam wa Tanganyika wasijiamini ili wewe uwatumie katika kujipatia umaarufu wakipumbavu ambao kwa umri wako mkubwa hautakuwa na manufaa yoyote zaidi ya kuchukiwa na wapenda amani wa nchi hii.

Unajua mtu anakuwa na hasira kwa sababu nyingi! mojawapo labda katukanwa na kudhalilishwa na hawara au changudoa hasa siku kama ya leo weekend! hivyo msishangae kuona watu wengine wakitukana ovyo bila sababu yoyote! kakasirishwa tu! mtu wa aina hii tumsamehe na tumshauri anywe maji huku amekaa au akaoge ili kupunguza hasira!

RITZ,
Vipi leo unaangalia mashindano ya farasi Dubai sport?
 
In 1946 he took on his staff a young teacher called Julius Nyerere who had just graduated from Makerere, the future President of Tanzania. Walsh shared many ideas with Nyerere and encouraged him in his political career. In 1946 Walsh moved to Dar es Salaam, where he remained for a decade, having been appointed Education Secretary for the Tanganyika Bishops, representing the Catholic Missions at the government department of education. During this period he helped Nyerere get into Edinburgh University for studies in History and Economics. (Did Nyerere perhaps visit St.Boswell's during this time?) On his return Walsh encouraged him to work full time for political independence.

Thanks 4 the info. Hapa inaonekana Walsh ndiye aliyemfanyia mpango, je Walsh alikuwa ni Padri/Bruda/Flera (Wahaya uwaita Ma Flera au Flatera sijui kama nimepatia) lakini sijapata jibu kuhusu aliyekuwa anagharimia masomo yake huko Edinburgh, kumbuka wakati huo Scholarship za British Council zilisha anza siku nyingi mfano wakina Malleale, Oginga Odinga na mzazi wangu waliwahi kufaidi nafasi hizo, kumbuka vile vile kwamba Waingereza wengi (England,Wales na Scotland save North Ireland) na Serikali ya Uingereza wengi wao ni Anglican which means dini ya huko haikuhusika kama sikosei.

Alafu kitu kingine ambacho kimenishtua kidogo, ni hili la Serikali ya Kikoloni kuwa na muwakilishi wa madhebu ya Kikakoliki katika wizara yake ya ELIMU - hapa walikuwa na lengo gani?
 
Kitu kingine mkuu: Nani alihusika kumtafutia Scholarship ya kwenda kusoma Scotland Mwalimu Nyerere, mfadhili mkuu alikwa ni nani?

Hana uwezo wa kujibu ilo ngoja nikujibu mie.

Father Richard Walsh ndiyo aliyempatia nafasi ya masomo Nyerere nchini Scotland.
 
Mohamed Said if my memory serves me right,kuna wakati DAR kulikuwa na pirate radio ambayo ilikuwa against the government nadhani ilikuwa 70"s. Hii radio kweli ilikuwepo au nachanganya mambo

Kama nakumbuka vizuri niliwahi kuambiwa kwamba RADIO hiyo ilikuwa kwenye meli za Wareno iliyo kuwa inazunguka zunguka katika Bahari ya Hindi karibu na pwani ya Tanzania ikisambaza propaganda dhidi ya Serikali ya Kambarage kutokana na msaada wake wa ukombozi wa Msumbiji kama sikosei.
 
Hana uwezo wa kujibu ilo ngoja nikujibu mie.

Father Richard Walsh ndiyo aliyempatia nafasi ya masomo Nyerere nchini Scotland.

Nashukuru sana mkuu, kumbe Walsh alikuwa ni Padri, haya tuendelee na mada.
 
Mohamed Said,

Akiondoka kwenye huu uzi wasomaji wanaukimbia akirudi wasomaji wanaongezeka kwa kasi ya ajabu.

Kweli Mohamed Said Khabari ingine unawapa watu darsa bure bwereree!

Kuna watu wapo humu kwenye huu uzi wameanzisha nyuzi zao zina miaka mitatu mods bado wamezibeba ukizisoma wasomaji hawazidi hata 7000.

Kila utakapojifanya kupambana na Mohamed Said kwenye masuala ya historia ya Tanganyika nipo unapozidi kujichimbia kaburi mwisho wa siku wanatabaki kuuliza maswali tu.
 
NA WEWE vipi umesoma shule za mapadri halafu huna fwadila?????
 
Back
Top Bottom