Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Huna mpya we makalio! usipo kaa vizuri mzee mzushi Mohamed Said atakufanya vibaya. Alianza kuitafuna akili yako akakuacha mtu! unajua kitakachofuatia?

Wala mimi sikutukani najua unachuki na uislamu nyuma ya pazia ya u ATHIEST wako lakini bila mzee MS usinge yajua haya kubali au kataa Nguruvi3 na mzee MS mfano wake ni umbali kati ya nyota na mchanga sawa bingwa wa matusi usiyepigwa ban
 

Naona unaongea kama umekatwa kichwa vuta subra takushushia orodha ya wakuu wa Wilaya, wakuu wa Mikoa, Mawaziri na Manaibu wake na dini zao.
 

Mkuu, Mwenyezi Mungu uwaleta baadhi ya binadamu duniani 4 a reason; chukulia binadamu kama Mohammed Ali akuwa mwadamu wa kawaida yule, kuna mambo mengi ambayo nikiyakumbuka najiuliza kwa nini hakupewa tuzo la Nobel badala ya kusema eti hawe Barozi wa michezo ya Olympic! Jamaa huyu ali-inspire binadamu wengi duniani hasa wale waliokuwa wananyimwa haki zao, hakuwa mwoga kusema ukweli - chukulia mbinu zake za ku-prolong mchezo wa mgumi ili watu wafaidi pesa zao wakati alikuwa na uwezo wa kumpiga mpizani K.O round ya kwanza! Ali alikuwa na ubunifu wa hali ya juu sana kuliko wapiganaji wengine including Joe Freizer, mfano Ali alikuwa anambatiza Freizer majina mabaya sana mpaka anachukia, ilichukua muda Freizer kugundua kwamba kumbe zile zilikuwa ni mbinu za kuwaongezea kipato ili wazungu wenye pesa waingie kwenye arena kushuhudia waswahili wanauana! Ali bwana, siku nyingine kampigia simu Freizer na kumweleza kwamba wakitaka kuongeza gate collection wajifanye wanakutana kwa bahati mbaya mitaani alafu watake kuzipiga kavu kavu mitaani, walinzi wao ndio wajifanye kuwathibiti kwa nguvu, Ali anasikika akisame tuache bwana twende uwanja wa (mpira/basketball kama nakumbuka vizuri) ili mashebeki wangalie mchezo bila malipo. Siku ya siku ilipo wadia watu walijaa uwanjani wengi kupindukia wakiwa na imani kwamba jamaa hawa wamatalizana - kumbe hile ilikuwa ni jana ya kuwachota akili Wazungu, Mungu ambaliki kiumbe huyu mahili/wakukumbukwa.

Mtu mwingine ni Nelson Mandela, kwanza Mungu alimpa kalama ya kutotaka kulipiza visasi na kusemehe, hulka hii inakosekana sana katika Viongozi wengi hasa wa Kiafrica hulka hii ndio usababisha watu kuonewa, kuwekwa gerezani na concentration camps kwa vizingizio vya kubuni tu!! Kulipiza visasi na kutosamahe ni traits mbaya sana. Je Mandela wakati alipo teuliwa kuwa RAIS angekuwa ni mtu wa aina niliyo taja hapo juu Africa Kusini si ungewaka moto? Niliwahi kumshudia kwa macho yangu nilipo kuwa nje ya nchi, alikuwa anahojiwa na BBC kwenye luniga muda mchache kabla hajafunguliwa - kitu kilicho nishtua ni pale alipo ulizwa kama atafuata siasa za ujamaa au la? Mandela bila ya kupoteza muda alisema alikuwa anapata habari kuhusu mambo yalivyo kuwa yanakwenda huko Tanzania, akasema nchi yake haitafanya makosa ya kuhiga siasa za ujamaa kama za Tanzania - looking back now inaonekana Mandela alikuwa amefanya homework ya kutosha ndio maana Africa Kusini inaendelea kupaa kimaendeleo na wazungu walio kuwa wamekimbilia Australia na Ulaya kwa kumuogopa Mandela wamerudi tena South Africa.
 
Nina habari nyingi za Nyerere na Mapinduzi ya Zanzibar.

Umeniudhi kwa hilo neno "Wapemba" ni kiashiria cha chuki
na ubaguzi.

Hizo ni sumu.
Sasa nijibu kuhusu huo "Upemba" nitoe darsa.

Nasubiri jibu lako.
 
Bukyanagandi,

Hebu tupe darsa kitoka kuhusu hilo la serikali ya kikoloni kuwa muwakilishi wa madhehebu ya Kikatoliki katika wizara ya elimu.

Mkuu usiwe na wasi wasi, yote ntayawasilisha jamvini kwa mpagilio makini - kumbuka dossier yangu bado hiko jikoni. Labda nikumbushe kwamba haitakuwa kama ya Tony Blair iliyo husu WMD (kisingizio cha kuanzisha vita na Saddam Hussein).
 
Mohamed Said ni mchochezi wa kutupwa, ataendelea kuwapika chuki vijana wa kiislamu siku mambo yakiharibika yeye atakimbilia ulaya na si arabuni huko kwa wapambe wake, mzee said ni mmoja kati ya jamii za waswahiili (wapwani) waliolelewa katika maisha ya uarabuni usihiri, uzembe na chuki kama zilivyo jamii nyingine za waswahili, hivi unategemea nini kwa kwa mtu anaye swali kwa mtoro kituo cha uislamu wa itikadi kali na ushabiki wa kiislamu? inabidi sasa mzee saidi ajiulize nini madhara ya hiyo mbegu anayoipanda ? Jibu ni rahisi , Buselesele ,Zanzibar, Mbagala, Tunduru nk.
 
Nina habari nyingi za Nyerere na Mapinduzi ya Zanzibar.

Umeniudhi kwa hilo neno "Wapemba" ni kiashiria cha chuki
na ubaguzi.

Hizo ni sumu.
Sasa nijibu kuhusu huo "Upemba" nitoe darsa.

Nasubiri jibu lako.

Mohamed Said,

Shusha mipini unauliza gahawa uswahilini.
 

Wewe kweli Yoso nakushauri soma taratibu huu uzi saizi upo post ya #520 kuna mengi utajifunza kuliko kukurupuka kuandika usichokijua.

Hujui Msikiti wa Mtoro una miaka mingapi hapo ulipo mpaka ukajengwa upya na ukafunguliwa na Rais wakati ule.

Usipende kuokota maneno mitaani na kuyaleta JF bila kuyafanyia kazi.
 

Asante sana.Hivi ndivyo tunavyotakiwa tufikiri matatizo yetu kama Taifa.
Lakini cha ajabu kuna watu wachache wamewajaza ujinga wenzao, na kuwaburuza kama
zigo la uchafu.

Eti wakanong'onezana akina Ponda na akina Mohammed Said "wapite misikitini ili achaguliwe Kikwete".Hapo Lipumba kawekwa kando (hana maana kwa wakati huo).

Hapo ndipo nakubaliana na Nguruvi, kuwepo Muislam wizara fulani hakumletei neema Muislam wa
Masasi au Newala. Na vilevile kuwemo Mkristo Wizara ya Kilimo hakuniletei neema ya mavuno shambani kwangu.

Hawa Wakubwa tu, deals wanapiga bila kuangalia Dini zao. Kama ni manufaa ya wao kuwepo katika nafasi
hizo ni kwa ajili yao na familia zao na labda marafiki zao (across the board Wakristo kwa Waislam).

Hawa wafuasi wa akina MS watabaki kushindiliwa chuki huku wenzao (MS & Others) wananeemeka. Tena
kadri chuki inavyozidi ndivyo wanavyopata credit. Kesho utasikia ile Wizara na mikoa kadhaa wapewe
Waislam (huku wana majina ya jamaa, marafiki, ndugu zao mfukoni) akina Jongo wanabaki kuandamana tu.


Wajinga ndio waliwao!
 
Mohamed Said,

Shusha mipini unauliza gahawa uswahilini.

Ritz,
Hawa ndugu zetu ni wa kwenda nao taratibu sana.

Inawezekana hawajui kitu.

Itakapokuja kujua ukweli tutakuwa tumepiga hatua
na nchi yetu itakuwa salama na fitna hizi za ubaguzi.

Ngoja tumsikie kauli yake kwanza Insha Allah.
 

Buk,

Angalia Insha Allah movie moja ya Mandela ''Invictus'' ikiwa hujaiona.
Morgan Freeman akicheza kama Madiba.

Utamjua Mandela.
 
Ritz kama unavyojiita sina cha kujifunza kutoka kwa Mohammed Said kwani nimesoma machapisho yake mengi tu, kwani ukiangalia mengi yale anayoongelea ni uzushi tu , na hulka ya culture aliyolelewa ya kuwa na chuki, dharau hasa kwa wabara hususan wakristo , nimekuwa ninashi miaka mingi tu na hizi jamii za kipwani, uswahili na madahilo ya kama ya mzee said yameenea pwani yote kuanzia , mikindani, kilwa ,rufiji , bagamoyo, pangani hadi unguja maeneo yote hayo ni mihimili ya uswahili, ubabaishaji,dharau,,ucha mungu feki, usihiri nk mimi sioni cha maana katika machapisho yake zaidi ya kubomoa umoja wa kitaifa tuliorithi toka kwa waasisi wa taifa, basi wewe Ritz( kibaraka wa mohammed said) endelea kumjibia comment zetu.
 

Nini maana ya uswahili? Neno ili unalitumia sana.
 
Kabla ya kujibu swali lako naomba unijibu kwanza kwa nini watu hupenda kusema ile mitaa pale uswahilini sana hivi wanaamanisha nini? usitake kupotosha mada .
 

Kama Mohamed Said anaandika uongo na uzushi ni wakati muafaka kwako wewe kuandika ukweli ili tupime tuone, unapokuja na porojo kupinga tu bila kuweka meneno ya ukweli ambayo yatathibitisha uzushi wa Mohamed Said bado unakuwa hujafanya kitu.
 
Huna mpya we makalio! usipo kaa vizuri mzee mzushi Mohamed Said atakufanya vibaya. Alianza kuitafuna akili yako akakuacha mtu! unajua kitakachofuatia?

Inaonesha upeo wako hapo ndipo ulipoishia..

Huoni haya Gwalihenzi ndugu yangu kwa kauli hizo?unashindwa kabisa kuhandle jazba zako??

Hapo sasa utakuwa unaharibu ladha ya elimu tuipatayo kwenye mjadala huu..
 
Kabla ya kujibu swali lako naomba unijibu kwanza kwa nini watu hupenda kusema ile mitaa pale uswahilini sana hivi wanaamanisha nini? usitake kupotosha mada .

Watanzania bana mie nimekuuliza unapenda sana kutumia neno Waswahili ni maana ya hilo neno badala ya kunijibu na wewe tena unaniuliza tena swali. Hebu jibu tuendelee na mjadala.
 
Manyema gentleman and devout Muslim!
Waikela anasema mwaka 1955 alikuwa mmoja wa TANU founding members in Tabora

Na yeye huyu mmanyema atakuwa aliasisi TAA na AA kama Mzulu Sykes mwaka 1929, ambapo ndio hasa TANU ilianzia according to our master storyteller Mohamed Said.
 
Last edited by a moderator:
Wala mimi sikutukani najua unachuki na uislamu nyuma ya pazia ya u ATHIEST wako lakini bila mzee MS usinge yajua haya kubali au kataa Nguruvi3 na mzee MS mfano wake ni umbali kati ya nyota na mchanga sawa bingwa wa matusi usiyepigwa ban
Wewe mtoto, matatizo yako ni kumsujudia huyo mzee wako muovu, kwa ujinga wako unaamini kila kitu anachokiandika au kukisema huyo mchochezi wako, akili yako umeiua kabisa na hivyo unashindwa kufikiri wala kuchambua mambo, najua hata ikitokea mzee Mohamed akikuongopea kuwa yeye ndio baba yako mzazi utalipokea hivyo hivyo! Kwa taarifa yako hakunajipya alilolileta hapa huyo muongo wako zaidi ya uchochezi na unafiki tu. Hana historia aliyoileta hapa zaidi ya kuwadunisha vijana kama nyie kuwa hamuwezi kufikiri wenyewe na kutatua matatizo yenu zaidi ya kuwasingizia watu wengine. Na wewe kama zuzu umeingia mkenge, pole sana bwana mdogo. Hao akina Nguruvi3, Mag3, Mzee Mwanakijiji, Jasusi, Ngongo at al unaowaona wabaya kwa sababu wana mkosoa huyo fatani Mohamed Said ungewasoma kwa kutumia akili yako badala ya ushabiki wako ungekuwa mbali sana kifikra na kielimu badala ya kung'ang'ania ujinga na upofu anao kulisha huyo mzee wako muovu na rafiki wa uovu na fitina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…