Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Jee, huo ndio ushahidi wako wa kutetea jikichwa la habari hapo juu? huo ndio "uchochezi" na "dhihaka" za Mohamed Said?

Unatia huruma unapojaribu na kushindwa kila hila za kuuupindisha mnakasha. Chakufurahisha ni kuwa kila mnapokuja na kona mpya mnakula darsa jipya.

Hamjaweza na hamtaweza kutetea jikichwa la habari hapo juu llinalojaribu kupotosha maana halisi. Ukweli ukidhihiri...
 

Ha haa haaa zomba, angalia sasa hivi watawaita Mods na Invisible waje waokoe jahazi.
 
Last edited by a moderator:
Ha haa haaa zomba, angalia sasa hivi watawaita Mods na Invisible waje waokoe jahazi.

Ninakuomba ulithibitishie jamvi hapa kama Mods wanaupande katika mnakasha huu!
 
Last edited by a moderator:
niliuliza siku za nyuma hapa kwa sheikh maalim mohamed said kuhusu baba wa taifa pamoja na wale wazee walifunga saum kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya uhuru wetu, kama ni hayo yalitokea sasa naaomba kwa niaba ya wanaukumbi wote wanieleze ilikuwaje wazee wetu wakaamua kufunga saum katika mapambano yale jee kulikuwa hakuna njia nyengine bila ya kuingiza mambo ya udini??
nb: yapo mambo mengine nimewahi kusoma ya kwamba kabla ya mikutano ya uhuru wazee wetu wakipiga fat'ha kabla ya kuanza mikutano na kumalizia kwa dua nzitonzito
AHSANTA
CC.JOHN RUPIA
 

Sheikh wangu majibu ya hayo maswali yana uhusiano na Articles za Geneva Convention kuhusu Military Occupation and conduct of wars. Usidhani wanaoyakwepa ni wajinga

Kwa wewe endelea na burudani yako;

The Daring Dobermans - Part 5 - YouTube

hayo mengine ni mazito sana kwako.
 

Zomba; Maswala ya mtoa hoja/uzi unamuuliza yeye. Sio mimi. Awali,wenzako walijaribisha sana kunitusi ili kuniondoa barabarani, lakini haikusaidia. Jitahidi Sheikh wangu labda wewe una matusi mapya. Navyojua mimi hamna tusi jipya juu ya mgongo wa ardhi hii. Lets go.
 
Gwalihenzi hili swali ni zuri sana kwako na huwezi kuchomoka zaidi ya matusi na dharau lakini Al Akhiy Gombesugu hajakosea ,leo nemeamini wewe ni debe tu mimi nilisema nyinyi ni sawa na kasuku ukasema nimetukana wewe kwako ni sawa kazi kweli kweli.
Boko haram, tatizo lako kubwa ni "inferiority complex" iliyokujaa kichawani. Hujijui wala hujiamini, umekuwa mjinga wa kutupwa. Kazi yako ni kuupokea na kuushangilia uzandiki wa mzee Mohamed Said na huyo kibaraka wake anayejikweza gombesugu. Onesha mchango wowote wa kitaaluma aliouleta hapa jamvini huyo gombesugu wako zaidi ya kusifia juisi za miwa na makalio ya ngamia! wapuuzi nyie! hamna mpya zaidi ya kujisifia sifa za kipuuzi.
 
Mkuu Nguruvi3, unamuua nzi kwa rungu! oh! naogopa ushahidi mie, ngoja nisepe zangu!
 
Nicholas,
Unafanya haraka kunihukumu.

Nijue kwanza.

Nimeandika vitabu vingapi, paper ngapi,
nimehadhiri vyuo vingapi...

Ukijiingiza katika unazi utashindwa mapema.
Lugha ya ukweli ungesema "nimeandika uchochezi na uzandiki kwenye vitabu vingapi, paper ngapi, na mihadhara ya uchochezi na fitna kwenye vyuo na misikti mingapi..."
 
Oh! gombesugu a good friend and a distinguished scholar! thank you very much for your good and scholarly words

Gwalihenzi ukiambiwa wewe ni tutusa unasema unatukanwa lakini kwangu mimi naona ni sawa kukuita hivyo huyu al akhiy Gombesugu aliyeomba aletewe ushahidi kunalipi la maana umeandika ukasema na yeye kwamba hana lamaana aliloleta vipi hapo juu kwenye post yako mbona unamsifia au ulikuwa umeshapata hii kitu
 
Congregation and People of Tradition for Proselytism and Jihad[SUP][2][/SUP] (Arabic: جماعة اهل السنة للدعوة والجهاد Jamā'a Ahl al-sunnah li-da'wa wa al-jihād), better known by its Hausa name Boko Haram (pronounced [bōːkòː hàrâm], "Western education is sinful"),[SUP][.
Eti tafsiri hii ni sahihi kuhusu Boko Haram? [/SUP]
 


Shariff Ritz,

Salaam Al Akhiy.

Shukran nyingi mno kwa bayana yako hii. Hii bayana imenyambua mengi mno tulokua tunajaribu kuwafanua macho/kuwafahamisha hawa jamaa zetu,lakini yaelekea bado wana kiza kingi maskini!?

Huyo Yasmin Alibhai Brown,ni mtu mwenye kuheshimika sana khasa kwenye Mainstream Media za Western World...pia ni Colummnist mahiri mno.

Ni mmojawapo ya Ugandan Asians wachache wenye kujua ukweli mwingi wa yale yaliyofanyika pale Uganda during 70's,na yuko very close na Waafrika wenzie wanataaluma wengi duniani.

Nilikwenda kumuona alipohudhuria/kuhutubia Kongamano hapa Wirtschafts Universitat Wien...miaka michache ilopita.

Hayo majambo mengi mno alozungumzia yoote yameandikwa, tena kuelezwa kwa kirefu na Dr Ghassany kwenye Kwaheri Ukoloni! Kwaheri Uhuru!

Lakini najua kuna watu ma-Racist hapa jamvini,nafikiri hata yule Dr Ghassany Mswahili safi kabisa... wao watakuambia ati yule ni Mwarabu/Mkoloni tena anafuga Watumwa!ahaha!!

Insha Allah,tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.
 

Nguruvi POLE bwana; Hapa mimi nafaidi na kuchekelea neno JIKICHWA kwa maana hilo neno na mwenziye BICHWA wamekatiwa hati miliki na umma wa kuanzia SAKURA/KIPUMBWI mwisho HALE. Ukilikuta HANDENI ni kwa bahati mbaya. Bonde hilo. Kazi kweli.

Tusubiri majibu ili tuanze;

1. TUAMBIWE NANI ALIKUWA IN-CHARGE WA MAJESHI YOTE ZENJ WAKATI ULE WA MAPINDUZI? NI MZENJ AU MTANGANYIKA?

2. TUAMBIWE WALIPOTEZA MAISHA WAZENJ WANGAPI KABLA NA BAADA YA NYERERE KUTOA ASKARI (100) WA KUTULIZA GHASIA?
3. KISHA TUREJEE ARTICLES 47-49 ZA GENEVA CONVENTION KUHUSU MILITARY OCCUPATION AND CONDUCT OF WARS ILI TUJUE DHAMANA YA MAISHA YA RAIA WA ZENJ KWA ASKARI (FFU) WA TANGANYIKA ILIANZA LINI? NA WANGAPI WALIULIWA WAKATI HAWA FFU WANAWAACHIA WAUWAUWAJI

4. FINNALY KUTOKANA NA HIZO ARTICLES ZA GENEVA TUPIME NANI HAKUWAJIBIKA KATIKA KULINDA MALI NA MAISHA YA RAIA NA ANASTAHILI KUBEBA LAWAMA KUHUSU ATRCOCITIES ZA HAYA MAPINDUZI (NI NANI, NI ASP, OKELLO, UMMA PARTY AU TANU/NYERERE?)

Nina hisi hatutapata majibu ya yale maswali ya awali. Na haya ya nyongeza (phase two) ili tuanze a very detailed discussion huenda ikawa ndio kabisa.
 
Last edited by a moderator:


JokaKuu,

Salaam ndugu yangu.

Hapo hakuna tatizo lolote kwa upande wangu...lakini nakusihi kwa mara ya mwisho,unapoamua kuninukuu/quote,tafadhali hakikisha unaweka post yangu yoote.

Kwa sababu hapo juu tayari umeshaninukuu vibaya na kupotosha kabisa nilichokusudia au kusema.

Nilisema nipo chini ya uangalizi wa kitaaluma wa Sheikh Mohammed! Ok!?....sasa wewe unaanza kuniwekea maneno utakayo wewe sio!?

Kama Kiswahili kinakupa taabu,tafadhali niambie tubadilishe lugha nyingine. Kwani mtu anapoomba au kuwa chini ya usimamizi/uangalizi wa kitaaluma wa mtaalamu/Scholar mwingine,ndo haruhusiwi kuhoji au kuuliza jambo lolote!?

Shule zipi au Univ. zipi ulizofundishwa utumbo huu ndugu yangu!?...kwa kifupi maelekezo yangu kwako hayana contradiction yoyote ile,nafikiri wewe tu unajichanganya mwenyewe!

Onyesha au lete ushahidi wowote wa posts zangu za awali,huku ukionyesha kwanini ilinilazim kutoa jibu hilo,au nani nilikua najadiliana nae tena kwenye hoja ipi!?...halafu uthibitishe huo weledi wangu umepotoka kivipi kama ulivyodai!?

Kwa kifupi,nakuomba wewe binafsi unithibitishie huo uchochezi,ugaidi na uhaini wa Sheikh Mohammed,au kwanini wewe binafsi unamuona yakuwa yeye ni Mdini!?

Ahsanta sana.
 
Sheikh wangu majibu ya hayo maswali yana uhusiano na Articles za Geneva Convention kuhusu Military Occupation and conduct of wars. Usidhani wanaoyakwepa ni wajinga


Wickama,

Najua wewe Law/International Law sio fani yako...kwa hiyo hayo mambo yako ya google mentality halafu kuanza kumsumbua kichwa Sheikh Mohammed,kwa kifupi unajisumbua ndugu yangu!

Nakujulisha yakuwa,sisi miaka mingi saana tangia Nyerere alipoondoka tu kwenye kiti cha urais,tulishajitayarisha kumfungulia kesi za zile atrocities/genocide alizofanza/alizoamrisha pale Unguja 1964.

Vipengele vya Geneva Covention Articles vinajulikana/tunavijua kupita hivyo unavyokhis. Jiulize mwaka 1986 wewe binafsi ulikuwa wapi!?

Sasa mwaka huo huo,Wazanzibary walikua tayari tumeshatayarisha kesi kwa kutumia baadhi ya vipengele hivyo hivyo wewe unavizungumzia leo hii!?

...baada ya miaka mingi na Legal technicalities/mitigation nyingi kunyambuliwa...kesi ilikua isikilizwe na Judge Yahya Rubama!

Mara ghafula,tunaambiwa Judge Yahya Rubama amefariki!?...

Kuna vingi mno,nyinyi hamuwezi kuvijua....kwa sababu nyinyi ni wageni!

Niwie radhi kama nimekukera kwa kukwambia kweli.

Ahsanta sana.

Cc;Ritz
 
Kweli shule yako ni ndogo sana bwana mdogo! yaani hata kejeli huijui inafananaje! na huyo mjinga mwenzio anakuwea "like" ya nguvu kama zezeta fulani! hebu kasome tena ujumbe huo ulikuwaje na yeye alijibu nini! Poleni sana wajinga nyie.
 
Hivi jaji akifariki kesi huwa inafutwa?
 

Al Habiby gombesugu,

Taendelea kumwaga Basmat wanaukumbi wajipakulie wale mpaka wasaze, ndugu yangu wakati mwingine navunjika mbavu kwa kucheka humu ukumbini.

Kuna kichwa kimoja cha Madrassa Dr Harith Ghassany walahi kinanikosha sana bayana zake siku zote ukweli upo katika upande unaonewa.

Kuna kituko kingine watu wanataka kufananisha SUA na Harvard University ni sawa sawa uzipambanishe RTC Musoma na Real Mardrid hata refa hatoke Tarime hawawezi kushinda. Ha haa haa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…