Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hautaelewa kamwe kwakuwa haupo tayari kuelewa!

Akili yako imedumaa kwa ngano za Mohamed Said!

Yericko,

Ngano iko wapi?

Nakuwekea tena kwa wepesi wa rejea wanasiasa waliokuwa
pamoja na baba yako kwenye TANU na wengine walimtangulia
katika siasa pale TAA HQ New Street, Dar es Salaam.

Unamkana nani katika hayo?
Nakuuliza tena.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ni ngano?
Hakuwepo hapo na akina Abdu Sykes na Joseph Kassela Bantu?

Unakataa nini?

Msome tena hapa chini baba yako na zingatia footnote ya Tanganyika
Standard 19th June 1953.

Historia ya baba yako katika siasa za Tanganyika ilianza kipindi hicho.
Au nayo ni ngano?


Yericko
,
Hebu jikumbushe:

[TABLE="class: cms_table_MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] My family was acquainted with one Dome Budohi, a Kenyan nationalist who was in Dar es Salaam during the struggle.

Budohi helped in the founding of TANU and his membership card was no.6 issued to him in July, 1954. He was arrested in 1955 by the colonial government on charges of being a member of Mau Mau, a peasant uprising in Kenya against the British.

I have many recollections of visiting Budohi in his cell at the Central Police Station building which now houses the headquarters of the Tanzania Railway Corporation (TRC).

I was at that time a child of not more than four years old. My first recollection of Budohi was that whenever we went to visit him we always found him reading a newspaper.

Budohi was later deported to Kenya and detained on Lamu Island. On being released from detention just before Kenya's independence in 1963, Budohi went to Uganda and worked with The Uganda Argus. I now understand why I always found him immersed in newspapers whenever we went to visit him in his cell during his period in remand in Dar es Salaam.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] I was able, through the assistance of one Maxwell, probably a Luo and an old friend of his who remained in Tanganyika, to trace Budohi in Nairobi in 1972. I visited him in Nairobi.

At that time he was staying at Ruiru a few miles from the city. Budohi had a portrait of Nat King Cole hanging in his sitting room. In 1974 I visited him again this time at his Ngei Estate house.

Budohi became my primary source of information on the early history of Tanganyika's struggle against the British. At that time, however, I had no intention of writing a book.

Yericko,
Soma tena na hapa chini:

There were also patriots from nearby Kenya such as Dome Okochi Budohi and Patrick Aoko who had been exposed to the problems of colonial settler politics of grabbing land from the people.

From them, Abdulwahid received very attentive ears and admiration for his ideas of transforming TAA into a more robust political organisation. Soon after the formation of TANU the two Kenyan nationalists were arrested by the government.

For six months they were interrogated and kept in remand at the Central Police Station chained in their cells.


Yericko,
Hapa napenda kukufahamisha kuwa Dome Budohi akifahamiana vyema na baba yako Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Soma hapa chini wapi walikutana:

[TABLE="class: cms_table_MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] In June, TAA headquarters announced its executive committee with J.K. Nyerere, President; Abdulwahid Sykes, Vice-President; J.P. Kasella Bantu, General Secretary; Alexander M. Tobias and Waziri Dossa Aziz, Joint Minuting Secretary; John Rupia, Treasurer and Ally K. Sykes as Assistant Treasurer. Committee members were Dr Michael Lugazia, Hamisi Diwani, Tewa Said, Denis Phombeah, Z. James, Dome Okochi, C. Ongalo and Patrick Aoko.[1]

The composition of the TAA leadership showed East African solidarity that existed during the struggle for independence.

Kenyan patriots were elected as office bearers side by side with Tanganyikans.

It is said that it was about that time, in the last months of 1953, that Abdulwahid talked to Nyerere seriously about forming an open political party to replace TAA.


Yericko,
Bado una hoja bado mie ni muongo?

Yericko

Nini unachokikataa katika haya?
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



[1] Tanganyika Standard, 19 th June 1953. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hahaahaa Ritz unahangaika sana!

Huamini kilichompata mwalimu wako kabisa!

Hukutegemea hayo niliyokupeni!

Yapo mengi sana naweza kuyashusha tukamaliza hata miaka miwili tunayafaidi!

Nashusha taraaaatibu!
 
Hahaahaa Ritz unahangaika sana!

Huamini kilichompata mwalimu wako kabisa!

Hukutegemea hayo niliyokupeni!

Yapo mengi sana naweza kuyashusha tukamaliza hata miaka miwili tunayafaidi!

Nashusha taraaaatibu!

Unamjua Dome Budohi,?
 

gombesugu
Swadakta kabisa al akhiy,

@Yericko atuambie sasa,aje atupe source ya taarifa zake,
Tunamsubiri...
 
Last edited by a moderator:

Tumeshakueleza tangu awali kuwa wewe ni MUONGO na MZUSHI mkubwa!

Unadanganya hata mambo ambayo wenye upeo mdogo kama akina RITZ wanakustukia??


Hotuba hiyo hapo juu inapingana na wewe!

Mwalimu anasema wazi alishaanza siasa tangu mwaka 1945, na alishahudhuria mikutano kadhaa ya AA ngazi ya Jimbo na TAA ngazi ya Taifa!

Mwaka 1948 alikuwa katibu wa Tawi la TAA kule Makerere Uganda,

Sasa unapofupisha wasifu wake kisiasa na kuanzia 1953 unafanya hivyo kwa faida ya nani?

Acha uongo usionamfano, kumbuka wewe tayari ni mzee unayepewa heshima ya UBABU sasa sijui kama kuna watu wanakuja kwako kufaidi matunda ya ubabu huo au unadharirika tu??


Jf sio uwanja wakueneza ngano zako na watu wakakupokea tu, hapa watu tunaijua historia ya nchi hii kuliko chochote na nirudie kukwambia kuwa mimi binafsi ninavyo vielelezo ambavyo huenda hakuna Mtanzania yeyote wa karne hii ya ishirini na moja mwenye navyo!

Hapa sio uwanja wa ngano ndugu!
 


Yericko,
Hapana sababu ya kughadhibika.

Tueleze historia ya Nyerere kuanzia 1945 hadi alipofika TAA New Street, 1952.
Hili ni bora kuliko kuniita muongo.

Ukifanya hivyo utalinogesha jamvi na faida kubwa itapatikana In Sha Allah.
 


a.k.a mtoto wa nyerere

tupe basi source ya taarifa zako hizi,
mwenzetu unazitoa wapi??kwa maana hata ile hotuba ya baba yako wa kuibia hatujaiona hadi leo,
tunahitaji chanzo cha mabandiko yako.
 
Yericko,
Hapana sababu ya kughadhibika.

Tueleze historia ya Nyerere kuanzia 1945 hadi alipofika TAA New Street, 1952.
Hili ni bora kuliko kuniita muongo.

Ukifanya hivyo utalinogesha jamvi na faida kubwa itapatikana In Sha Allah.


Tena atupe na vyanzo vyake pia,

Asije hapa na mauchafu uchafu yake kama yale ya ugaidi,huku akitegemea jamaa zake kina Nguruvi na Mag3 wampe backup ya likes zao za kikanjanja...
 

Wewe umemuitaje Ally Sykes baada ya wewe kujiita mtu wa Tarime? Wewe niite upendavyo kwangu haina shida una jipya.

Al Habiby gombesugu, naambiwa nimewatusi wa wa Mara kwa kusema wana asili ya Kenya, wewe ulimnasihi nini kuhusu kauli yake dhidi ya Sykes lakni siyo matusi. Ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:
Yericko,
Hapana sababu ya kughadhibika.

Tueleze historia ya Nyerere kuanzia 1945 hadi alipofika TAA New Street, 1952.
Hili ni bora kuliko kuniita muongo.

Ukifanya hivyo utalinogesha jamvi na faida kubwa itapatikana In Sha Allah.
Niwie radhi maalimu kama nakukwaza mkuu,

Kauli yangu huwa inasimama wima hasa inapojikita kwenye ukweli halisi!

Nimekazia usemi wangu kwakuwa juu ya Mwalimu Nyerere na ujio wake kisia tulishaueleza hapa hapa kuwa ulianza siku nyingi tena nyingi sana, Abdul Sykes angali kinda la nyumbani kwa Klest Sykes!

Akikikutana na akina Dosa Azizi, akihudumu jimbo la Tabora, hiyo ni 1945

Tusonge mbele!
 

Toa source usipende kuropoka baba yako hapo juu kasema kaanza siasa mwaka 1952 na wazee wa mzizima.
 
Yericko,
Hapana sababu ya kughadhibika.

Tueleze historia ya Nyerere kuanzia 1945 hadi alipofika TAA New Street, 1952.
Hili ni bora kuliko kuniita muongo.

Ukifanya hivyo utalinogesha jamvi na faida kubwa itapatikana In Sha Allah.

Hajui lolote masikini ya mungu ngoja tusubiri darsa.
 

1.Ally Sykes mwenyewe msome alivyojieleza chimbuko lao. Usniulize mimi. Aliyeanza kuitaja tarime ni wewe. sio mimi. nimekiri tuu kuwa ni kweli natoka huko na WALA SIJUTI. Sasa whats the big deal? Kama una inferiority complex na ulikotoka ni suala lako. Maswala ya Gombesugu tumemalizana, nimeshamjibu. Muache.

2. Kwa wewe sio mara ya kwanza kuandika "deragatory" remarks juu ya wakazi wa Mara na yote kwa kutamba kuwa umesafiri sana kule na unajua tabia zao na NDIO MAANA wako NYUMA KIMAENDELEO (recall that posting). Hapa huna haja ya kuomba msaada wa Gombesugu. Unachoficha ni kuwa umeshaambukizwa chuki ya watu wa Mara kwa sababu Julius alitoka kule. Kwa hiyo wale wote wanaotoka kule kwako ni "Makureish au Mayahudi". Ritz utaondoka kwenye mgongo wa ardhi hii UTAWAACHA. Chuki haituzuii kuishi. Hugawi Rizki wala shari.

3. Umejitokeza hadharani na kusema nimekashifu uislamu, kudhania waislamu wata-rise wanishutumu NIMESEMA MNUKUTANGAZA RASMI WEWE NI MUONGO, TOA HIZO POSTINGS NILIZOFANYA HIVYO

4. Wewe ni Mwongo, ndicho nachorudia kusema. Ungekuwa na hata chembe ya uadilifu usingethubutu singizia watu vitu ambavyo hawajasema. Inakuhadaa chuki na hamaki ya kudhani sote humu lazima tuwe PLATOON YA MZEE MS. Kila anachosema tuseme hewala. JIBU NI HAPANA na ndio maana mko-online

5. weka POSTING NILIYOKASHIFU DINI YOYOTE ULIMWENGU HUU IWEKE HAPA.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…