Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

inaonekana umeshindwa kuelewa point niliyokuwa najaribu kuionesha; Mwalimu wenu hapa wa mantiq amesema wanaokula matunda ya Uhuru ni "nyinyi peke yenu"; manake ni kuwa hakuna Muislamu anayefurahia matunda ya Uhuru isipokuwa Wakristu. Kwenye mantiq ukiweza kuonesha inconsistency kwenye moja basi hoja nzima inaanguka isipokuwa kama imekuwa qualified. MS hajui kuqualify sentensi ndio maana nimesema mahali huko nyuma huyo aliyemfundisha Mantiq angecharazwa viboko!

Lakini la pili ni kuwa utaona nimewataja wale tu ambao wamejitambulisha na kuonesha imani yao ni Waislamu; Dau, Kikwete na wengine sijawasingizia; wamejitambulisha hivyo hadharani na wengine tunafahamu historia yao katika harakati hizi za kupinga 'dhulma' huku wao wakila na kufurahia matunda ya uhuru! Lakini kama wanaokula matunda ya Uhuru ni Wakristu 'peke' yao basi hawa wengine wote ambao wanajitambulisha kuwa ni Waislamu na wanakula matunda ya Uhuru kwa hakika si Waislamu bali ni Wakristu waliojifisha!

Mimi pia point yangu hujaielewa! ktk kila viongozi 10 nchi nzima Waislamu takriban 2 kati ya wenzao 8 nani wanaofaidi matunda ya uhuru? mfano hai angalia baraza la mawaziri Waislamu ni wangapi? wakristo? na wapagani? sasa wewe unatutajia Rais na makamu wake ati wanafaidi matunda! mbona huendi mbali zaidi kwani matunda ya uhuru sio Urais na Umakamu! angalia Mawaziri, manaibu na makatibu wakuu na manaibu wao! Wakuu wa Mikoa, wilaya, katibu tawala mikoa, wakurugenzi na vigogo wote wa mashirika ya umma na Serikali, Mabalozi, MaRPC wa mikoa na wilaya, wafanyakazi Serikalini na mashirika ya umma! viongozi wa Jeshi, Polisi na Magereza!, najua jibu lako litakuwa: utajuaje kama huyu ni Muislamu au dini nyingine? au utasema, ajira inazingatia taaluma na sio dini! au pia huenda ukajibu hivi: hata mamilioni ya Wakristo hawana ajira na hawafaidi matunda ya uhuru! wote tunasota sawia!
kama ni hivyo unashauri tuitoe CCM na kuwapa Chadema ili wananchi wote wafaidi matunda ya uhuru?

Mwanakijiji:

We unaona hapa hakuna tatizo? Kwanini Waislamu ndio wenye kuandamana kila wakati tangu enzi za Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete? au wanadanganywa na akina MS na Wenzake? kwanini ni viongozi wa Kiislamu na waislamu ndio wanakamatwa na kufungwa jela? kwanini Polisi huingia Misikitini na viatu wanapiga waumini wakiswali na kuwasweka rumande bila hata dhamana? ulishasikia Polisi wanavamia Makanisa na kupiga waumini wakiabudu? hapa najua utajibu hivi: Waislamu wanapenda vurugu wenzao Wakristo wameelimika, wastaarabu na hawapendi fujo! Jibu kama hili hata kiongozi wako wa kiroho alisema mwaka 2001 kuwa waliouwawa huko Pemba na Unguja walijitakia wenyewe kwani walibeba mawe na jiwe linaua kama risasi za moto!

Ndugu yangu Mwanakijiji:
Waislamu wana dukuduku na simanzi! chama chako kinamikakati gani ya kujibu hoja zao? changamkieni kura za Waislamu 2015 sio mbali la sivyo baada ya uchaguzi tutakuona ukija na makala mengine ya kuwasuta Waislamu kwa kuwauliza nilini CCM........................!
 
Kadogoo,

Ndugu yangu maneno mazito sana haya mie tajazia maneno machache tu.

"Uongo, kama vile nyasi juu ya maji huelea;
Atafutae lulu hana budi kupiga mbizi". John Dryden
 
Asante RITZ,

Mwenzako naangalia mashindano ya Farasi dubai Sport huko pembeni naona Wazee waliovaa vilemba wakiburudika na gahwa wa kashata!!!!
 
Father Richard Walsh alimlea Nyerere na kumpatia nafasi Scotland.

Father Richard Walsh alikuwa na ushawishi mkubwa katika maisha na fikra za Nyerere.

Hapo hapo mkuu wa Nauru, naona una nodo kali kwenye ghala lako ulizihibuwa wapi! Charring Cross, Piccadily au Oxford Street - haya twendelee na mada...
 
Sasa angalau wewe tunaweza kuzungumza na kujadiliana. Ngoja niangalie madai yako kwanza na kuyaonesha kama yana ukweli au la. Unasema:

Mimi pia point yangu hujaielewa! ktk kila viongozi 10 nchi nzima Waislamu takriban 2 kati ya wenzao 8 nani wanaofaidi matunda ya uhuru?

Ili niweze kujibu swali hili ni lazima nikuulize umepata wapi hizi namba kuwa kila kati ya 'viongozi 10 nchi nzima' Waislamu ni 2. Una maana yakuwa asilimia 80 ya viongozi Tanzania ni Wakristu na asilimia 20 ni Waislamu. Kabla hatujafikia kwenye nani anafaidi matunda kwanza nisaidie hii namba ya ratio umeipata wapi na vipi?

mfano hai angalia baraza la mawaziri Waislamu ni wangapi? wakristo? na wapagani? sasa wewe unatutajia Rais na makamu wake ati wanafaidi matunda! mbona huendi mbali zaidi kwani matunda ya uhuru sio Urais na Umakamu! angalia Mawaziri, manaibu na makatibu wakuu na manaibu wao! Wakuu wa Mikoa, wilaya, katibu tawala mikoa, wakurugenzi na vigogo wote wa mashirika ya umma na Serikali, Mabalozi,

1. Nadhani hujaelewa sana dhana ya nani mwenye nguvu;katika mifano yote hii 'hai' anayewateua ni Rais; Baraza la Mawaziri, mabalozi, wakuu wa mikoa wote wanateuliwa na Rais. Rais ni Muislamu. Yeye ndiye mwenye nguvu. Kama mfumo ungekuwa unawapendelea Wakristu Rais asingekuwa Mkristu. Unaposema 'viongozi' hujatuambia kwa mfano ndani ya CCM Waislamu ni wangapi?

2. Lakini pamoja na hilo unapata wapi wazo kuwa uongozi wa nchi ni kugawana kwa kuangalia dini? Hili halijawahi kutokea nchini. Hata mara moja hatujaangalia parity katika uongozi. Ukishakubali 'parity' ya dini wengine watauliza vipi makabila. Kwanini dini ndio iwe kigezo kikubwa zaidi?

MaRPC wa mikoa na wilaya, wafanyakazi Serikalini na mashirika ya umma! viongozi wa Jeshi, Polisi na Magereza!, najua jibu lako litakuwa: utajuaje kama huyu ni Muislamu au dini nyingine? au utasema, ajira inazingatia taaluma na sio dini! au pia huenda ukajibu hivi: hata mamilioni ya Wakristo hawana ajira na hawafaidi matunda ya uhuru! wote tunasota sawia!

Sasa, kama unajua jibu langu kwanini unaniuliza. Hata hivyo jibu langu siyo ulilodhania. NI lazima tuweke swali kwa usahihi kwanza kabla hatujajaribu kulijibu swali hilo.
kama ni hivyo unashauri tuitoe CCM na kuwapa Chadema ili wananchi wote wafaidi matunda ya uhuru?

Suala la kuitoa CCM madarakani si kwa ajili ya kuleta parity ya kidini katika uongozi. Tutakuwa ni watu wa ajabu kama lengo letu litakuwa ati tuwaingize wengine ili Waislamu na Wakristu wagawane sawasawa madaraka. La hasha; tunataka kuwaondoa CCM madarakani kwa sababu utawala wao umeshindwa. Simple as that.

Mwanakijiji:

We unaona hapa hakuna tatizo? Kwanini Waislamu ndio wenye kuandamana kila wakati tangu enzi za Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete? au wanadanganywa na akina MS na Wenzake? kwanini ni viongozi wa Kiislamu na waislamu ndio wanakamatwa na kufungwa jela?

Maswali yako yote ndani yake hayana ukweli; Waislamu siyo watu pekee wanaoandamana nchini - jaribu kuangalia TV utaona makundi gani mengine yanaandamana! kuanzia wazee wa Jumuiya ya EA, wanafunzi, wafanyakazi, wanasiasa n.k! Kuhusu viongozi wa Kiislamu pia halina ukweli; kwani kina Slaa, Mbowe na wengine waliokamatwa na kina Mtikila aliyefungwa kisiasa labda kuliko Mtanzania mwingine yeyote ni Waislamu hawa? So, maswali yako hayana ukweli.

kwanini Polisi huingia Misikitini na viatu wanapiga waumini wakiswali na kuwasweka rumande bila hata dhamana?

Hilo la kuingia msikitini na viatu nitawaachie wataalamu wengine wa dini; lakini kama umeangalia vyombo vya habari utaona kuwa polisi na maafisa wa Usalama wameingia misikitini kila mauaji yanapofanyika huko (Iraq, Afghanistan na hata Pakistani). Je polisi Waislamu wanaruhusiwa kuingia na viatu? Je mwalifu akifanya uhalifu akakimbilia Msikitini au Kanisani ina maana vyombo vya dola vinatakiwa vikae nje na kumsubiria atoke? Vipi kama akiingia huko akawa ni hatari kwa wale waliomo mle? Hili nitawaachia wataalamu wa dini walijibu lakini binafsi sijawahi kushangaa kwani nimeona polisi wakiingia na viatu kwenye misikiti kwenye nchi za Kiislamu!

ulishasikia Polisi wanavamia Makanisa na kupiga waumini wakiabudu? hapa najua utajibu hivi: Waislamu wanapenda vurugu wenzao Wakristo wameelimika, wastaarabu na hawapendi fujo!

Unajua kama unataka majibu yangu niache niyajibu usiyadhanie kwani hauko kichwani mwangu. Umeuliza maswali mazuri lakini unadhania naweza kutoa majibu ya kijinga.
Jibu kama hili hata kiongozi wako wa kiroho alisema mwaka 2001 kuwa waliouwawa huko Pemba na Unguja walijitakia wenyewe kwani walibeba mawe na jiwe linaua kama risasi za moto!

Ooh boy; hilo unatakiwa kumuuliza Pengo kwani anasimamia maneno yake mwenyewe. Binafsi nilipinga wakati ule kama sasa hivi na ninaamini Mkapa angeshtakiwa kwa makosa ya dhidi ya Binadamu. Ningelikuwa na uwezo ningemvua kinga ya Rais ili ashtakiwe - kumbuka Mkapa ni Mkatoliki pia! Bahati mbaya unafikiria kwa kuangala dini ya nani aliuawa! WEngine kilichotuudhi kama ilivyotokea Mwembe Yanga ni mauaji ya Watanzania wenzetu. Wengine wanaweza kuwa wanajali kwa sababu waliouawa ni "waislamu"; hicho kinawauma zaidi!

Ndugu yangu Mwanakijiji:
Waislamu wana dukuduku na simanzi! chama chako kinamikakati gani ya kujibu hoja zao? changamkieni kura za Waislamu 2015 sio mbali la sivyo baada ya uchaguzi tutakuona ukija na makala mengine ya kuwasuta Waislamu kwa kuwauliza nilini CCM........................!

Chama changu unakijua?
 
Thanks 4 the info. Hapa inaonekana Walsh ndiye aliyemfanyia mpango, je Walsh alikuwa ni Padri/Bruda/Flera (Wahaya uwaita Ma Flera au Flatera sijui kama nimepatia) lakini sijapata jibu kuhusu aliyekuwa anagharimia masomo yake huko Edinburgh, kumbuka wakati huo Scholarship za British Council zilisha anza siku nyingi mfano wakina Malleale, Oginga Odinga na mzazi wangu waliwahi kufaidi nafasi hizo, kumbuka vile vile kwamba Waingereza wengi (England,Wales na Scotland save North Ireland) na Serikali ya Uingereza wengi wao ni Anglican which means dini ya huko haikuhusika kama sikosei.

Alafu kitu kingine ambacho kimenishtua kidogo, ni hili la Serikali ya Kikoloni kuwa na muwakilishi wa madhebu ya Kikakoliki katika wizara yake ya ELIMU - hapa walikuwa na lengo gani?

Bukyanagandi,

Hebu tupe darsa kitoka kuhusu hilo la serikali ya kikoloni kuwa muwakilishi wa madhehebu ya Kikatoliki katika wizara ya elimu.
 
Kadogoo;5981465]Mimi pia point yangu hujaielewa! ktk kila viongozi 10 nchi nzima Waislamu takriban 2 kati ya wenzao 8 nani wanaofaidi matunda ya uhuru? mfano hai angalia baraza la mawaziri Waislamu ni wangapi? wakristo? na wapagani? sasa wewe unatutajia Rais na makamu wake ati wanafaidi matunda! mbona huendi mbali zaidi kwani matunda ya uhuru sio Urais na Umakamu! angalia Mawaziri, manaibu na makatibu wakuu na manaibu wao! Wakuu wa Mikoa, wilaya, katibu tawala mikoa, wakurugenzi na vigogo wote wa mashirika ya umma na Serikali, Mabalozi, MaRPC wa mikoa na wilaya, wafanyakazi Serikalini na mashirika ya umma! viongozi wa Jeshi, Polisi na Magereza!, najua jibu lako litakuwa: utajuaje kama huyu ni Muislamu au dini nyingine? au utasema, ajira inazingatia taaluma na sio dini! au pia huenda ukajibu hivi: hata mamilioni ya Wakristo hawana ajira na hawafaidi matunda ya uhuru! wote tunasota sawia!
kama ni hivyo unashauri tuitoe CCM na kuwapa Chadema ili wananchi wote wafaidi matunda ya uhuru?
Kadogoo, hapa ndipo huwa nasema, Mohamed amefaulu sana kuwafanya watu wafikiri kidogo kuliko kufikiri sana. Wakishafanikiwa kufikiri kidogo inahitaji nguvu kidogo sana ili kuweza kuwasha moto kwasababu wakati huo fikra zitakuwa zimefungika na watu wanaangalia katika upenyo mdogo.''Narrow angle''

Abdul Sykes kama alivyokaririwa na Mohamed alisema ''nia ya uhuru ni kumkomboa mwafrika kutoka madhila ya ukoloni''.
Hakusema kuwakomboa watu wa aina fulani.

Matunda ya uhuru si uwaziri, RPC, ukuu wa wilaya au mikoa n.k. Matunda ya uhuru ni yale yanayomwacha Mtanganyika huru kujitafutia maendeleo yake kama mwanadamu mwingine bila kufungwa pingu.
Ni yale yanayomsaidia mwanadamu kuamua hatima ya maisha yake na kwa mipango yake popote alipo na kwa wakati wowote.

Matunda ya uhuru hayaangalii ni nani mkuu wa wilaya ya Kilwa, yanangaalia kwanini wanafunzi 300 wa shule ya sekondari ya Kilwa wameaacha shule na shule hiyo kufungwa.

Matunda ya uhuru ni yale ya mpango wa maendeleo wa mwaka 1963 ulizingatia sana ujenzi wa Hospitali ya Kinyonga pale Kivinje na kwingineko ambako huduma zilikuwa duni wala si kupata mkuu wa mkoa kutoka kivinje.

Nikichukua mfano wako nisioutaka hata kuufikiria, hivi baraza la mawaziri likiwa na asilimia 98 waislam, hiyo itakuwa imemsaidiaje mwislam wa Mjasani Tanga, Nyakanga, Kamunyonge na kule Mikindani?

Ni mawazo ya aina hiyo yanayofanana na yale ya utafiti wa wanafunzi wa kuingia Faculty of art ya UDSM ulihotimisha kuwa waislam ni asilimia 20 tu. Utafiti huo haouonyeshi ni kiasi gani waislam walichaguliwa kujiunga na vyuo vya ufundi vya kati n.k.

Kwamba Faculty nzima ikiwa na asilimia 100 waislam basi matatizo ya waislam wa Mkuzi, Kwasadala, Isevya na Tunduru yatakuwa yamekwisha. Ukishafikiria hivyo basi ujue matunda ya uhuru hutayapata na wala huna mpango wa kuyapata.

Kadogoo, hivi wewe ulishawahi lini kununuliwa sukari na waziri kwasababu tu ni mwislam?
Ukienda kariakoo wateja wananunua nyanya na viazi bila kuonyesha ID kama wanunuavyo sukari na unga madukani.
Wapi unapata ushahidi wa kusema matunda ya uhuru yanaliwa na wachache?

Matunda ya uhuru ni wewe kuwa huru kufanya yale yanayosaidia familia yako na taifa na wala si uwaziri, katibu mkuu n.k.
Ukishaweza kufikiria out of the box tayari una matunda ya uhuru, ukiamua kuamini hadithi za wafanyabiashara wa magazeti na vitabu hakika una tatizo na miaka 20 ijayo utakuwa pale pale unadai matunda ya uhuru wakati wenzako wanaoshughulisha vichwa wapo kivulini wana menya na kula
We unaona hapa hakuna tatizo? Kwanini Waislamu ndio wenye kuandamana kila wakati tangu enzi za Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete? au wanadanganywa na akina MS na Wenzake?
Kuandamana hakujawa suluhu ya tatizo hata siku moja. Kuandamana ni njia tu ya kuonyesha hisia lakini si suluhu.

Nakuhakikishia kuwa sehemu kubwa ya waandamanaji huwa hawajui kwa kina wanaandamana kwanini.
Tazama watu wanaokwenda segerea kwa maandamano hakuna mwenye uelewa wake aendae huko.

Ni hawa vijana waliopigika wanaotafuta mahali pa kuteremsha hisia zao kama vijana wengine.
Tofauti ni kuwa wao wanatumia dini badala ya uhalisia wa maisha.
Leo ukiitisha maandamano kuhusu hali ngumu ya maisha utapata watu wa rika zote na imani zote kwasababu dhiki ni across the board.

Kadogoo, kutembea ni sehemu muhimu sana ya elimu. Pengine hilo ndilo linanifanya nijiulize kila siku hivi kuna tofauti gani ya umasikini wa pale kwa father Libaba Nyangao,kule Nandembo, Peramiho, Mchukwi,bumbuli, Magila, Ikizu, Kisiwani Same, Mashati, Oloi toktik, Haidan ukilinganisha na Nanjilinji, Lusanga, Mkongo, Mtimbira, Mlimba n.k.?
Jibu ni hakuna ! maana yake ni kuwa afadhali ipo kwa mtu na wala si watu!

Namshukuru sana mungu kwa kuniwezesha kuishi maeneo ambayo ni lazima mtu ajiulize kabla hajanijengea hoja za uwaziri, ukatibu mkuu, takwimu za UDSM n.k. kwasababu nimeishi na kuona mtoto akifariki kwasababu tu wazazi hawamudu kununua dawa ya sh 1600.

Na wala si katibu kata, tarafa, mkuu wa wilaya au mkoa, waziri aliyesimama na wazazi hao wakibeba mtoto wao wa miaka 6 kwa machungu kwenda kufanya maandalizi ya mazishi.

Leo tunaambiwa matunda ya uhuru ni majina ya John, Hussein,Rose na Halima!
Kwamba ukiitwa majina hayo hatakama huamini yanatokana na nini basi uwezekano wa matunda ya uhuru kukufikia ni asilimia 100.

Watu wazima wamekaa katika majamvi wakifundisha ujinga huu tena kwa bidii na wakitokwa jasho
kwanini ni viongozi wa Kiislamu na waislamu ndio wanakamatwa na kufungwa jela?
Hivi nchi itakuwaje ukiwa na akina Ilunga kila mahali.
Kwamba mtu anahubiri kumtoa roho mtu mwingine, kwasababu tu kavaa msalaba au Baragahashia basi huyo aachwe.

Uongozi ni responsibility na si kila mwehu ni kiongozi. Hatuwezi kuacha nchi ivurugwe na wapuuzi kwasababu tu ni viongozi wa dini.
Dini gani inaamuru kumtoa roho mwanadamu mwingine?

Kiongozi asiyejiheshimu akamatwe hadharani, avuliwe msalaba au baraghashia na atupwe katika karandinga!period
kwanini Polisi huingia Misikitini na viatu wanapiga waumini wakiswali na kuwasweka rumande bila hata dhamana?
Na kwanini wahalifu wakimbilie misikitini au makanisani? Huko misikitini kuna watu wanaiba viatu na wanaadhibiwa ndani ya misikiti tena bila kusikilizwa. Labda ujiulize kwanini wahalifu walkimbilie misikitini kwanza!
ulishasikia Polisi wanavamia Makanisa na kupiga waumini wakiabudu?
Nadhani kuna upungufu wa kulielewa hili. Katika miaka 70 namwanzoni mwa 80, kule Sumbawanga kuna kanisa la watchtower. Si kuwa Polisi waliingia na kukamata viongozi bali kanisa hilo lilipigwa marufuku kabaisa. Mgogoro wa Meru n.k.

Kitu cha muhimu hapa si kulinganisha nani anafanya maovu, muhimu ni kwanini maovu yanatokea tena kwa kupangwa ndani ya nyumba za ibada ziwe za kikristo au kiislam.
Ndugu yangu Mwanakijiji:Waislamu wana dukuduku na simanzi! chama chako kinamikakati gani ya kujibu hoja zao?
Nadhani tumewahi kumuuliza Mohamed duku duku ni lipi na anafikiria suluhu ipi.

Hakika hajaweza kuja na jibu isipokuwa lile la serikali kutakiwa kutoa majibu. Kinachoshangaza ambacho ni uchochezi wa dhahiri ni kuwa Mohamed yupo kila mhalai kuelezea madhaila ya waislam, hajawahi kusema suluhisho liweje.

Kitu ambacho ni cha hatari sana ni kuchagua wataalam kwa kutumia imani zao.
Hutuwezi kuwa na Daktari kwasababu tu ana jina la John au Hussein.

Utaalam unasomwa na hivyo imbalance itakuwepo endapo jamii fulani itadhani kuwa kupata Chartered account unatakiwa uteuliwe.
Kuwa, mwalimu unatakiwa uteuliwe, na kuwa profesa kama Safari au Mikidadi unatakiwa uteuliwe.

Hili hiliwezakani na kwa msingi huo huwa najiuliza kwanini mtu afikirie kuwa tatizo la waislam ni mawaziri 20 na siyo milioni zaidi ya 20! This kind of mentality ni hatari sana Kadogoo kwasababu imelenga kupoteza jamii na si kuisadia.

Ni nzuri kwa mtu anayeuza vitabu lakini si nzuri kwa jamii husika
hangamkieni kura za Waislamu 2015 sio mbali la sivyo baada ya uchaguzi tutakuona ukija na makala mengine ya kuwasuta Waislamu kwa kuwauliza nilini CCM........................!
Mentor wako Mohamed anasema waislam wananong'onezana wamchague nani.Huyu ni mtu na degree zake na paper ulaya na marekani!!!!

Kwamba imefika mahali hatufikiri nani atatusaidia kuondokana na maradhi, ujinga na umasikini tunafikiria kuchagua mtu kwasababu ana kanzu kuubwa au msalaba mkuubwa!

Hapa ndipo nasema matunda ya uhuru hayatapatikana maana kama yangekuwa yamepatikana mawazo ya kijima kama haya yasingepewa nafasi.

Kadogoo labda hapa nichukue nafasi ya ''uwakili '' kwa Mwanakijiji.
Wakati wa Nyerere waislam walisema CCM haifa na hakukuwa na chaguo ila kuishi nayo kutokana na mfumo wa siasa wakati huo. Fair enough!Wakati wa Mwinyi waislam wakasema CCM safiii maana ndicho kimeleta uhuru wa nchi hii na wapinzani ni mamluki tu.

Wakati wa Mkapa wakaja akina CUF na siku ya Ijumaa ikawa ndiyo siku ya maandamano ya CUF na kila linalohusu CUF.
Kwamba sera zake zinatoa haki kwa wote. Haaki ! sawa!

Wakati wa Kikwete CCM ndicho chama kinacholeta mabadiliko na hivyo wakanong'ezana kuichagua.

Kwa mwendo huo, haihitaji mtaalam kujua kuwa Waislam na siasa ni vitu seasonal.
kwamba leo huyu mbaya kesho yule yule mzuri.
Mbaya wa wazee wa Mohamed ni CCM leo ndiye anapiga baragumu mbaya huyo huyo achaguliwe.

Kwanini inakuwa seasonal politics? Jibu ni rahisi sana, waislam wameacha kujitambua kama wao wamekabidhi akili zao kwa kikundi kidogo kuamua wao waweje na wafuate nini.

Kwa mtu mwenye akili haiwezekani ageuzwe mara kadhaa kama nyuzi ya kushonea nguo na asihoji, vipi leo mnasema hivi kesho mnasema vile kulikoni.

Nimalizie kwa kukujibu kuwa tatizo letu ni viongozi si dini. Ukimchagua mtu kwa jina umejidhalilisha na kudhalilisha utu wako.
Nani kasema Ukiwa John lazima uwe Mkristo? au ukiwa Yusuph lazima uwe mwislam.

Majina na imani ni vitu viwili tofauti, hivi ni imported things kutoka Ulaya na Uarabuni ndivyo vimefunga akili na macho yetu kupigana na ujinga maradhi na umasikini tumebaki tukidhani John au Hemedi waziri ataleta neema majumbani kwetu na wala siyo sisi kutafuta neema kwa fursa ya uhuru.
 
Sasa angalau wewe tunaweza kuzungumza na kujadiliana. Ngoja niangalie madai yako kwanza na kuyaonesha kama yana ukweli au la. Unasema:

Ili niweze kujibu swali hili ni lazima nikuulize umepata wapi hizi namba kuwa kila kati ya 'viongozi 10 nchi nzima' Waislamu ni 2. Una maana yakuwa asilimia 80 ya viongozi Tanzania ni Wakristu na asilimia 20 ni Waislamu. Kabla hatujafikia kwenye nani anafaidi matunda kwanza nisaidie hii namba ya ratio umeipata wapi na vipi?

1. Nadhani hujaelewa sana dhana ya nani mwenye nguvu;katika mifano yote hii 'hai' anayewateua ni Rais; Baraza la Mawaziri, mabalozi, wakuu wa mikoa wote wanateuliwa na Rais. Rais ni Muislamu. Yeye ndiye mwenye nguvu. Kama mfumo ungekuwa unawapendelea Wakristu Rais asingekuwa Mkristu. Unaposema 'viongozi' hujatuambia kwa mfano ndani ya CCM Waislamu ni wangapi?

2. Lakini pamoja na hilo unapata wapi wazo kuwa uongozi wa nchi ni kugawana kwa kuangalia dini? Hili halijawahi kutokea nchini. Hata mara moja hatujaangalia parity katika uongozi. Ukishakubali 'parity' ya dini wengine watauliza vipi makabila. Kwanini dini ndio iwe kigezo kikubwa zaidi?

Sasa, kama unajua jibu langu kwanini unaniuliza. Hata hivyo jibu langu siyo ulilodhania. NI lazima tuweke swali kwa usahihi kwanza kabla hatujajaribu kulijibu swali hilo.

Suala la kuitoa CCM madarakani si kwa ajili ya kuleta parity ya kidini katika uongozi. Tutakuwa ni watu wa ajabu kama lengo letu litakuwa ati tuwaingize wengine ili Waislamu na Wakristu wagawane sawasawa madaraka. La hasha; tunataka kuwaondoa CCM madarakani kwa sababu utawala wao umeshindwa. Simple as that.

Maswali yako yote ndani yake hayana ukweli; Waislamu siyo watu pekee wanaoandamana nchini - jaribu kuangalia TV utaona makundi gani mengine yanaandamana! kuanzia wazee wa Jumuiya ya EA, wanafunzi, wafanyakazi, wanasiasa n.k! Kuhusu viongozi wa Kiislamu pia halina ukweli; kwani kina Slaa, Mbowe na wengine waliokamatwa na kina Mtikila aliyefungwa kisiasa labda kuliko Mtanzania mwingine yeyote ni Waislamu hawa? So, maswali yako hayana ukweli.

Hilo la kuingia msikitini na viatu nitawaachie wataalamu wengine wa dini; lakini kama umeangalia vyombo vya habari utaona kuwa polisi na maafisa wa Usalama wameingia misikitini kila mauaji yanapofanyika huko (Iraq, Afghanistan na hata Pakistani). Je polisi Waislamu wanaruhusiwa kuingia na viatu? Je mwalifu akifanya uhalifu akakimbilia Msikitini au Kanisani ina maana vyombo vya dola vinatakiwa vikae nje na kumsubiria atoke? Vipi kama akiingia huko akawa ni hatari kwa wale waliomo mle? Hili nitawaachia wataalamu wa dini walijibu lakini binafsi sijawahi kushangaa kwani nimeona polisi wakiingia na viatu kwenye misikiti kwenye nchi za Kiislamu!

Unajua kama unataka majibu yangu niache niyajibu usiyadhanie kwani hauko kichwani mwangu. Umeuliza maswali mazuri lakini unadhania naweza kutoa majibu ya kijinga.

Ooh boy; hilo unatakiwa kumuuliza Pengo kwani anasimamia maneno yake mwenyewe. Binafsi nilipinga wakati ule kama sasa hivi na ninaamini Mkapa angeshtakiwa kwa makosa ya dhidi ya Binadamu. Ningelikuwa na uwezo ningemvua kinga ya Rais ili ashtakiwe - kumbuka Mkapa ni Mkatoliki pia! Bahati mbaya unafikiria kwa kuangala dini ya nani aliuawa! WEngine kilichotuudhi kama ilivyotokea Mwembe Yanga ni mauaji ya Watanzania wenzetu. Wengine wanaweza kuwa wanajali kwa sababu waliouawa ni "waislamu"; hicho kinawauma zaidi!

Chama changu unakijua?

Bora ungekaa kimya kuliko kuandika ulichokiandika.

Bahati nzuri au mbaya siku zinavyozikwenda fikra zako dhidi ya Uislam na Waislam zinazidi kuwa wazi zaidi unaonyesha chuki za wazi.

Ungejikita zaidi katika mambo ya siasa kuliko kupambana na Waislam heshima yako inazidi kuporomoka kwenye jamiii ya Kiislam.

Unatoa mifano ya kijinga eti hata Pakistan polisi wanaingia na viatu misikitini, hivi Tanzania kumeishawahi kutokea mauaji Misikitini.

Madai na dhulma walizofanyiwa Waislam wanazijua wenyewe siyo wewe mtetezi wa mfumo Kirsto.

Wewe unaangalia tu rais anavyochaguwa mabalozi, wakuu wa mikoa mbona hautumbii HR wa kwenye wizara zetu na mashirika ya umma nao watumishi wao wanachaguliwa na rais.

Unauliza chama chako kipi tena wewe na wenzako wote wanaopambana na Mohamed Said wote ni mateka wa Chadema hakuna kingine kilichowasukuma kuwa Chadema zaidi ya Ukirsto wenu.
 
Sisi sio Fanatical blind sawa boss kwakweli nimemfuatilia mzee anaitwa BILAL WAIKELA nashukuru nimemfuatilia sana kwenye kesi ya sheikh Ponda amezungumza point nyingi sana na nimejua mengi aliyoyafanya Nyerere juu ya uislam

Boko Haram,
Hivi ndivyo nilivyomshukuru Sheikh Waikela katika kitabu changu:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]I wish to pay special gratitude to Bilali Rehani Waikela, a Manyema gentleman and a devout Muslim.

At twenty-five years of age in 1955, Waikela was one of TANU founding members in Tabora.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Waikela educated me about how Muslims as a political force supported Nyerere and the struggle for independence.

He also briefed me about his days in detention with my grandfather at Uyui Prison for ‘mixing religion and politics.'

I am indebted to him for putting at my disposal photographs of the period and his personal papers on the Muslim ‘crisis'which emerged soon after independence .

I am grateful to Waikela for encouraging me to write this book and to write on the plight of Muslims as a result of their marginalisation by Nyerere's regime.

Unlike many of my informants, Waikela allowed me to quote him without any fear.

He was pleased to see that the information he had was being put to good use in preserving the history of our country for the benefit of future generations.

He also put me in touch with other patriots like Mohamed Mangiringiri, Ramadhani Singo and others, whom I interviewed at length.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[SUP][SUP]1[/SUP][/SUP]
 
Sawia kabisa Moh Said...

Mimi nafurahishwa sana kwa jinsi unavomwaga data zako,yani hubakishi hata chembe,

Nakufananisha kama na mwanamasumbwi Mohammad Ally,jins unavojimwaga mwaga ni kama vile Ally anavodance dance ulingoni na kumtandika opponent wake taratibu bila papara wala pupa ili kuwasterehesha watazamaji,yani anajua fika pambano hili nalimaliza ndani ya round ya tatu ila analipelekapeleka hadi round za mbele ili watazamaji wafaidi pesa yao waliyoitoa..

Mpambano huu ulishaumaliza tokea mda mrefu sana,ila unawadokoa dokoa ngumi za mbavuni ili kuwatenza nguvu,
Wamechooka na hawajiwezi,wameshindwa kabisa..

Wanalia na kusaga meno..

Big Show,

Kuhusu Ali.

Dk. Pacheco daktari wa Ali aliyekuwa kwenye kona ya Ali anasema
alishtushwa pale Ali alipomwambia kuwa, ''Huyu mimi nampiga.''

Dk. Pacheco akamwambia, ''Maliza basi pambano."

Ali akamjibu akasema, ''Ngoja nistarehe na yeye kwanza.''
Hakika alimpiga kwa knock out.

Kama alivyosema mwenyewe nitamchukua katika nchi ambayo hajawahi
kufika.

Hawa jamaa zangu mimi nimewachukua katika historia ambayo hawakuwa
wanajua ipo.

Nimewakaribisha katika nyumba na kuwafahamisha kwa watu hawakupata
kuwasikia hata siku moja.

Cha ajabu wanapandisha ghadhabu na kutoka matusi.
Hii ndiyo ijaza yangu.
 
Boko Haram,
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]I wish to pay special gratitude to Bilali Rehani Waikela, a Manyema gentleman and a devout Muslim.
At twenty-five years of age in 1955, Waikela was one of TANU founding members in Tabora.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]Waikela educated me about how Muslims as a political force supported Nyerere and the struggle for independence.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Manyema gentleman and devout Muslim!
Waikela anasema mwaka 1955 alikuwa mmoja wa TANU founding members in Tabora
 
Hivi ndugu zangu matunda ya uhuru yanatafutwa kwa kufuata itikadi za kidini ? Matunda haya uhuru yanatafutwa kwa kukaa kijiweni , kucheza bao na kunywa kahawa ?mfano wa watu wanaofaidi matunda ya uhuru ni wasukuma( wapagani) wahamiaji waishio maeneo ya mtimbira ,ifakara ,mlimba na maeneo mengine wanavyojishughulisha na kilimo na kujipatia riziki bila shida lakini sijawahi kuwasikia wakidai hawajafaidi matunda ya uhuru je matunda ya uhuru yanapatikana kwa kukaa vijiweni na kucheza bao?
 
Bora ungekaa kimya kuliko kuandika ulichokiandika.

Bahati nzuri au mbaya siku zinavyozikwenda fikra zako dhidi ya Uislam na Waislam zinazidi kuwa wazi zaidi unaonyesha chuki za wazi.

Ungejikita zaidi katika mambo ya siasa kuliko kupambana na Waislam heshima yako inazidi kuporomoka kwenye jamiii ya Kiislam.

Unatoa mifano ya kijinga eti hata Pakistan polisi wanaingia na viatu misikitini, hivi Tanzania kumeishawahi kutokea mauaji Misikitini.

Madai na dhulma walizofanyiwa Waislam wanazijua wenyewe siyo wewe mtetezi wa mfumo Kirsto.

Wewe unaangalia tu rais anavyochaguwa mabalozi, wakuu wa mikoa mbona hautumbii HR wa kwenye wizara zetu na mashirika ya umma nao watumishi wao wanachaguliwa na rais.

Unauliza chama chako kipi tena wewe na wenzako wote wanaopambana na Mohamed Said wote ni mateka wa Chadema hakuna kingine kilichowasukuma kuwa Chadema zaidi ya Ukirsto wenu.

Mzee Mwanakijiji,

Muulize Ritz ni kwanini anashindwa kukujibu ni nani anachagua mawaziri na manaibu wake. Kwa mie ninavyojua hakuna raisi anayelalamikiwa kuwapa watu nafasi kwa fadhila kama kikwete hata makamu wa raisi 2010 alimpanga zhakia na kampeni zake familia yake. Pia ameishapangua baraza mara mbili na kupangua wakuu wa mikoa na wilaya - wamejaa waislamu. Pia Hata Lissu ameishalalamikia sana uteuzi wa majaji haufuati vigezo. Pamoja na kuonesha wazi kwamba anania ya kuifanya nchi yote kuongozwa kidini ni wazi kuna mambo hawezi kufanya kwasababu ya misingi Nyerere aliyoiacha. Kifupi Nyerere hakua mdini na angekua mdini kama raisi wetu waislam sijui wangekua wapi leo. Mtu asitudanganye kuna upendeleo wa kielimu ni wazi kati ya watu wasomi nchini ni pamoja na wapemba wamesoma sana tu na kama kungekua na efforts za wazi za kuwadidimiza wasingekua hivyo.
 
Hivi ndugu zangu matunda ya uhuru yanatafutwa kwa kufuata itikadi za kidini ? Matunda haya uhuru yanatafutwa kwa kukaa kijiweni , kucheza bao na kunywa kahawa ?mfano wa watu wanaofaidi matunda ya uhuru ni wasukuma( wapagani) wahamiaji waishio maeneo ya mtimbira ,ifakara ,mlimba na maeneo mengine wanavyojishughulisha na kilimo na kujipatia riziki bila shida lakini sijawahi kuwasikia wakidai hawajafaidi matunda ya uhuru je matunda ya uhuru yanapatikana kwa kukaa vijiweni na kucheza bao?

Ukifuatilia sana wanaoongoza harakati hizo ni wapemba (uamsho na wengine) na wamesoma sana na wako nje ya nchi baada ya kuwabagua waunguja ndio wanataka kuleta siasa zao za ubaguzi na huku na waislamu wa bara hawajui hawa jamaa wanawaona ndugu zao nia yao ni kudominate na huku na wasijue huku mwalimu alishaiweka misingi ambayo haita bomoka kirahisi.
Kuna nchi zina ubaguzi lakini sio tanzania.
Hao watu ni wa kukwepa ~ Nyerere.
 
Kadogoo, hapa ndipo huwa nasema, Mohamed amefaulu sana kuwafanya watu wafikiri kidogo kuliko kufikiri sana. Wakishafanikiwa kufikiri kidogo inahitaji nguvu kidogo sana ili kuweza kuwasha moto kwasababu wakati huo fikra zitakuwa zimefungika na watu wanaangalia katika upenyo mdogo.''Narrow angle''

Abdul Sykes kama alivyokaririwa na Mohamed alisema ''nia ya uhuru ni kumkomboa mwafrika kutoka madhila ya ukoloni''.
Hakusema kuwakomboa watu wa aina fulani.

Matunda ya uhuru si uwaziri, RPC, ukuu wa wilaya au mikoa n.k. Matunda ya uhuru ni yale yanayomwacha Mtanganyika huru kujitafutia maendeleo yake kama mwanadamu mwingine bila kufungwa pingu.
Ni yale yanayomsaidia mwanadamu kuamua hatima ya maisha yake na kwa mipango yake popote alipo na kwa wakati wowote.

Matunda ya uhuru hayaangalii ni nani mkuu wa wilaya ya Kilwa, yanangaalia kwanini wanafunzi 300 wa shule ya sekondari ya Kilwa wameaacha shule na shule hiyo kufungwa.

Matunda ya uhuru ni yale ya mpango wa maendeleo wa mwaka 1963 ulizingatia sana ujenzi wa Hospitali ya Kinyonga pale Kivinje na kwingineko ambako huduma zilikuwa duni wala si kupata mkuu wa mkoa kutoka kivinje.

Nikichukua mfano wako nisioutaka hata kuufikiria, hivi baraza la mawaziri likiwa na asilimia 98 waislam, hiyo itakuwa imemsaidiaje mwislam wa Mjasani Tanga, Nyakanga, Kamunyonge na kule Mikindani?

Ni mawazo ya aina hiyo yanayofanana na yale ya utafiti wa wanafunzi wa kuingia Faculty of art ya UDSM ulihotimisha kuwa waislam ni asilimia 20 tu. Utafiti huo haouonyeshi ni kiasi gani waislam walichaguliwa kujiunga na vyuo vya ufundi vya kati n.k.

Kwamba Faculty nzima ikiwa na asilimia 100 waislam basi matatizo ya waislam wa Mkuzi, Kwasadala, Isevya na Tunduru yatakuwa yamekwisha. Ukishafikiria hivyo basi ujue matunda ya uhuru hutayapata na wala huna mpango wa kuyapata.

Kadogoo, hivi wewe ulishawahi lini kununuliwa sukari na waziri kwasababu tu ni mwislam?
Ukienda kariakoo wateja wananunua nyanya na viazi bila kuonyesha ID kama wanunuavyo sukari na unga madukani.
Wapi unapata ushahidi wa kusema matunda ya uhuru yanaliwa na wachache?

Matunda ya uhuru ni wewe kuwa huru kufanya yale yanayosaidia familia yako na taifa na wala si uwaziri, katibu mkuu n.k.
Ukishaweza kufikiria out of the box tayari una matunda ya uhuru, ukiamua kuamini hadithi za wafanyabiashara wa magazeti na vitabu hakika una tatizo na miaka 20 ijayo utakuwa pale pale unadai matunda ya uhuru wakati wenzako wanaoshughulisha vichwa wapo kivulini wana menya na kulaKuandamana hakujawa suluhu ya tatizo hata siku moja. Kuandamana ni njia tu ya kuonyesha hisia lakini si suluhu.

Nakuhakikishia kuwa sehemu kubwa ya waandamanaji huwa hawajui kwa kina wanaandamana kwanini.
Tazama watu wanaokwenda segerea kwa maandamano hakuna mwenye uelewa wake aendae huko.

Ni hawa vijana waliopigika wanaotafuta mahali pa kuteremsha hisia zao kama vijana wengine.
Tofauti ni kuwa wao wanatumia dini badala ya uhalisia wa maisha.
Leo ukiitisha maandamano kuhusu hali ngumu ya maisha utapata watu wa rika zote na imani zote kwasababu dhiki ni across the board.

Kadogoo, kutembea ni sehemu muhimu sana ya elimu. Pengine hilo ndilo linanifanya nijiulize kila siku hivi kuna tofauti gani ya umasikini wa pale kwa father Libaba Nyangao,kule Nandembo, Peramiho, Mchukwi,bumbuli, Magila, Ikizu, Kisiwani Same, Mashati, Oloi toktik, Haidan ukilinganisha na Nanjilinji, Lusanga, Mkongo, Mtimbira, Mlimba n.k.?
Jibu ni hakuna ! maana yake ni kuwa afadhali ipo kwa mtu na wala si watu!

Namshukuru sana mungu kwa kuniwezesha kuishi maeneo ambayo ni lazima mtu ajiulize kabla hajanijengea hoja za uwaziri, ukatibu mkuu, takwimu za UDSM n.k. kwasababu nimeishi na kuona mtoto akifariki kwasababu tu wazazi hawamudu kununua dawa ya sh 1600.

Na wala si katibu kata, tarafa, mkuu wa wilaya au mkoa, waziri aliyesimama na wazazi hao wakibeba mtoto wao wa miaka 6 kwa machungu kwenda kufanya maandalizi ya mazishi.

Leo tunaambiwa matunda ya uhuru ni majina ya John, Hussein,Rose na Halima!
Kwamba ukiitwa majina hayo hatakama huamini yanatokana na nini basi uwezekano wa matunda ya uhuru kukufikia ni asilimia 100.

Watu wazima wamekaa katika majamvi wakifundisha ujinga huu tena kwa bidii na wakitokwa jashoHivi nchi itakuwaje ukiwa na akina Ilunga kila mahali.
Kwamba mtu anahubiri kumtoa roho mtu mwingine, kwasababu tu kavaa msalaba au Baragahashia basi huyo aachwe.

Uongozi ni responsibility na si kila mwehu ni kiongozi. Hatuwezi kuacha nchi ivurugwe na wapuuzi kwasababu tu ni viongozi wa dini.
Dini gani inaamuru kumtoa roho mwanadamu mwingine?

Kiongozi asiyejiheshimu akamatwe hadharani, avuliwe msalaba au baraghashia na atupwe katika karandinga!periodNa kwanini wahalifu wakimbilie misikitini au makanisani? Huko misikitini kuna watu wanaiba viatu na wanaadhibiwa ndani ya misikiti tena bila kusikilizwa. Labda ujiulize kwanini wahalifu walkimbilie misikitini kwanza!Nadhani kuna upungufu wa kulielewa hili. Katika miaka 70 namwanzoni mwa 80, kule Sumbawanga kuna kanisa la watchtower. Si kuwa Polisi waliingia na kukamata viongozi bali kanisa hilo lilipigwa marufuku kabaisa. Mgogoro wa Meru n.k.

Kitu cha muhimu hapa si kulinganisha nani anafanya maovu, muhimu ni kwanini maovu yanatokea tena kwa kupangwa ndani ya nyumba za ibada ziwe za kikristo au kiislam.Nadhani tumewahi kumuuliza Mohamed duku duku ni lipi na anafikiria suluhu ipi.

Hakika hajaweza kuja na jibu isipokuwa lile la serikali kutakiwa kutoa majibu. Kinachoshangaza ambacho ni uchochezi wa dhahiri ni kuwa Mohamed yupo kila mhalai kuelezea madhaila ya waislam, hajawahi kusema suluhisho liweje.

Kitu ambacho ni cha hatari sana ni kuchagua wataalam kwa kutumia imani zao.
Hutuwezi kuwa na Daktari kwasababu tu ana jina la John au Hussein.

Utaalam unasomwa na hivyo imbalance itakuwepo endapo jamii fulani itadhani kuwa kupata Chartered account unatakiwa uteuliwe.
Kuwa, mwalimu unatakiwa uteuliwe, na kuwa profesa kama Safari au Mikidadi unatakiwa uteuliwe.

Hili hiliwezakani na kwa msingi huo huwa najiuliza kwanini mtu afikirie kuwa tatizo la waislam ni mawaziri 20 na siyo milioni zaidi ya 20! This kind of mentality ni hatari sana Kadogoo kwasababu imelenga kupoteza jamii na si kuisadia.

Ni nzuri kwa mtu anayeuza vitabu lakini si nzuri kwa jamii husika Mentor wako Mohamed anasema waislam wananong'onezana wamchague nani.Huyu ni mtu na degree zake na paper ulaya na marekani!!!!

Kwamba imefika mahali hatufikiri nani atatusaidia kuondokana na maradhi, ujinga na umasikini tunafikiria kuchagua mtu kwasababu ana kanzu kuubwa au msalaba mkuubwa!

Hapa ndipo nasema matunda ya uhuru hayatapatikana maana kama yangekuwa yamepatikana mawazo ya kijima kama haya yasingepewa nafasi.

Kadogoo labda hapa nichukue nafasi ya ''uwakili '' kwa Mwanakijiji.
Wakati wa Nyerere waislam walisema CCM haifa na hakukuwa na chaguo ila kuishi nayo kutokana na mfumo wa siasa wakati huo. Fair enough!Wakati wa Mwinyi waislam wakasema CCM safiii maana ndicho kimeleta uhuru wa nchi hii na wapinzani ni mamluki tu.

Wakati wa Mkapa wakaja akina CUF na siku ya Ijumaa ikawa ndiyo siku ya maandamano ya CUF na kila linalohusu CUF.
Kwamba sera zake zinatoa haki kwa wote. Haaki ! sawa!

Wakati wa Kikwete CCM ndicho chama kinacholeta mabadiliko na hivyo wakanong'ezana kuichagua.

Kwa mwendo huo, haihitaji mtaalam kujua kuwa Waislam na siasa ni vitu seasonal.
kwamba leo huyu mbaya kesho yule yule mzuri.
Mbaya wa wazee wa Mohamed ni CCM leo ndiye anapiga baragumu mbaya huyo huyo achaguliwe.

Kwanini inakuwa seasonal politics? Jibu ni rahisi sana, waislam wameacha kujitambua kama wao wamekabidhi akili zao kwa kikundi kidogo kuamua wao waweje na wafuate nini.

Kwa mtu mwenye akili haiwezekani ageuzwe mara kadhaa kama nyuzi ya kushonea nguo na asihoji, vipi leo mnasema hivi kesho mnasema vile kulikoni.

Nimalizie kwa kukujibu kuwa tatizo letu ni viongozi si dini. Ukimchagua mtu kwa jina umejidhalilisha na kudhalilisha utu wako.
Nani kasema Ukiwa John lazima uwe Mkristo? au ukiwa Yusuph lazima uwe mwislam.

Majina na imani ni vitu viwili tofauti, hivi ni imported things kutoka Ulaya na Uarabuni ndivyo vimefunga akili na macho yetu kupigana na ujinga maradhi na umasikini tumebaki tukidhani John au Hemedi waziri ataleta neema majumbani kwetu na wala siyo sisi kutafuta neema kwa fursa ya uhuru.
Nguruvi3, sina cha kukupa kwa uchambuzi wa kisomi na busara kama huu.Naomba upokee shukrani zangu za kipekee.
 
Gwalihenzi; huna cha kumpa zaidi ya kulamba buti zake endelea baba kula ngano zake
Huna mpya we makalio! usipo kaa vizuri mzee mzushi Mohamed Said atakufanya vibaya. Alianza kuitafuna akili yako akakuacha mtu! unajua kitakachofuatia?
 
Back
Top Bottom