Uchokonozi mwingine noma

Wache bana, mwaka wao huu tusubiri hadi wafanye uchaguzi mwakani waanze migogoro labda kanda mbili tutaweza kulipa kisasi...saivi mmmmh...mnyama naona hataki utani hata kidogo
 
Si unajua vilabu vyetu huwa vinayumbishwa na ukata tu??? mwaka huu hakuna tatizo la kifedha ndio maana mambo yanaenda fresh kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…