Jimmywatanzania
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 514
- 274
Kumekuwepo na changamoto kubwa ya uchomaji wa taka kwenye soko la sabasaba jiji Dodoma, nyakati za usiku.
Taka hizo ambazo ni mabaki ya majani ya migomba na mabaki ya matunda kutoka soko la "miti mirefu na PAG" imekuwa kero kubwa kwa sisi wakaazi wa uhindini.
Wahusika watusaidie.
Taka hizo ambazo ni mabaki ya majani ya migomba na mabaki ya matunda kutoka soko la "miti mirefu na PAG" imekuwa kero kubwa kwa sisi wakaazi wa uhindini.
Wahusika watusaidie.