kuna yale matenk ya maji ya chuma hivi mnaujuzi nayo..Tunahusika na uchomeleaji na uhunzi wa vyuma, tunatengeneza machine za kilimo, ujenzi, upakiaji, machine sector za madini, viwanda, tela za trekta n.k, tunabuni na kutengeneza mitambo kulingana na mahitaji ya nteja, kwetu mteja ni mfalme
YEMARATECH LTD tunapatikana msalato Dodoma, +255757123115 au +255787123115
Karibuni sana
Ndiokuna yale matenk ya maji ya chuma hivi mnaujuzi nayo..
hayo matenk ni yale ya kuvuta na trecta ama yale pembe nne bossNdio
Ndio tunakutengenezea, tupe oda, na utapata mzigo wako Kwa wakati, ila nashauri utengeneze la mviringo, pembe nne sio zuri Kwa mitikisiko na utarepair mara Kwa mara, ila kama ni tank stationed (sio la tractor or lorry) basi pembe nne linafaa +255787123115hayo matenk ni yale ya kuvuta na trecta ama yale pembe nne boss
lita elfu moja sh ngapi na je kulisafilisha naweza kulifungua lote vipande vpande likasafiri kwa urahisiNdio tunakutengenezea, tupe oda, na utapata mzigo wako Kwa wakati, ila nashauri utengeneze la mviringo, pembe nne sio zuri Kwa mitikisiko na utarepair mara Kwa mara, ila kama ni tank stationed (sio la tractor or lorry) basi pembe nne linafaa +255787123115