RASHID ATHUMAN MSIRI
Member
- Apr 24, 2024
- 9
- 7
Uchoraji wa tattoo ni sanaa iliyokuwepo katika eneo la uso wa dunia miaka mingi iliyopita ila sanaa hiyo imeendelea kukua hivi sasa kwa kiasi kikubwa baada ya ongezeko la asilimia kubwa ya watu kuvutiwa na sanaa hiyo huku wengi wao wakiwa na nia ya kuonesha upendo kwa ndugu, marafiki na ndugu jamaa zao wa karibu ama matukio wali