Uchovu asubuhi na ukichelewa kula

Uchovu asubuhi na ukichelewa kula

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Unapata uchovu wa hali ya juu asubuhi unapoamka mpaka unatetemeka.

Lakini ukipata kifungua kinywa uchovu unapotea. pia ukichelewa kupata mlo wa mchana unaapata njaa kali mpaka unatetemeka.

Ushauri tafadhali.
 
Back
Top Bottom