Jioni ya leo Simba imewachapa goli 8 - 1 vijana wa Coastal Union kutoka Tanga..
Vijana hao wanaounda kikosi imara, leo wameonekana kuwa legelege kutokana na kuzidiwa na ibada ya kufunga hivyo kukosa nguvu ya kukabiliana na Mabingwa hao watetezi wa TPL.
Inaeleweka kuwa timu ya Coastal Union imesheheni vijana wa kiislamu kwa 90% tofauti na Simba SC ambayo vijana wake karibu wote hawapo kwenye mfungo hivyo walikuwa fiti maradufu..
Jana mchana saa tisa gari yao ambayo wanatumia kwa safari nmeiona Tanga maeneo ya kwa minchi inafanyiwa service nikajiuliza hawa kesho wana mechi alafu mpaka muda huu hawajåsafiri, nikashangaa sana